dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Usafi aliotangaza Chalamila kufanywa na Majeshi ya Ulinzi tar 23 na 24 Januari leo siku ya kwanza umefanyika mtaani kwako?

    Wakuu, Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. Tangazo lililokuja mara tu baada ya CHADEMA kutangaza kufanya maadamano tar 24...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam sasa inafanya kazi 24/7

    Salaam Wakuu, Kumekuwa na malalamiko mizigo kichelewa kutoka Bandari ya Dar es Salaam. Hali hiyo imeboreshwa kwani hivi sasa Meli kubwa zinaingia Bandari ya Dar es Salaam hata kama usiku wa Manane. Wqnafanyakazi muda wote iwe Jumamosi au Jumapili. TPA imeelezwa kwamba, Mwezi wa 11 na 12...
  3. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mpya: Chini ya Mabwawa na Mito inayofufuka, Viongozi Wamekaa Pale.

    Waafrika tuna dharau sana hasa viongozi walioshika mpini. Mwaka fulani hapa jijini Dasalam kuna project flani ililetwa nadhani na UN kuhusu kuboresha miundombinu ya jiji na bahati flani niliwahi kuwepo as mdau wa taasisi flani. Kutokana na karabrasha nililonalo lenye michoro yote ya jiji...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Current situation at the port of Dar es Salaam heavy traffick of vessels

    Tulijua ni mwisho WA mwaka ila Bado hali inaendelea. Watendaji wizara husika msaidieni Rais .... Mizigo ya Xmas ndo inafika Leo ya kuuza ya shule January haijulikani itatoka lini
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania Za ndani ni kuwa Ole Sabaya anaenda kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam. Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mfumo wa uzoaji taka mitaani unaweza kusababisha athari za kiafya kwa Wananchi

    Wakati Mikoa kadhaa ikiripotiwa kuwa na mlipuko wa Kipindupindu na Magonjwa ya Tumbo ikiwemo Mwanza, Shinyanga na Simiyu, upande wa Mitaa mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam ina changamoto ya kukosekana mfumo mzuri wa utunzaji na uzoaji kutoka kwenye makazi ya Watu na sehemu za biashara. Baadhi...
  11. Jadda

    JamiiForums Tanzania Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Heri ya mwaka mpya wakuu Hivi kwanini serikali isiunganishe mikoa ya Dar na Pwani kisha huo mkoa uitwe Dar na tubaki na mikoa 30 tu, hakuna haja ya kuwa na mikoa mingi huku maendeleo yakiwa ni madogo na idadi ya watu ikilundikana kwenye vimiji vichache tu, kusema kwamba tutamaliza mapori na...
  12. Ryan The King

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua zilipo Ofisi za Mganga mkuu(RMO) Mkoa wa Dar es salaam

    Hello! Kama kichwa kinavyojieleza, hivi hizi ofisi ziko wapi? Natanguliza Shukrani
  13. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya makumbusho, Kijitonyama na Sinza bei kuanzia 50-60 kwa dalali naomba mnisaidie ni mwanafunzi
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Malcom X in Dar es Salaam

    This is photo of Malcolm X on the beach in Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 The year (1964) just months before he was assassinated in the US 🤲🏽 . During his travels, he met with various leaders and explored Pan-Africanism, emphasizing unity among people of African descent around the world.
  15. monotheist

    JamiiForums Tanzania Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

    Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanikiwa kwa urahisi hapa jijini Dar es salaam. Nenda kaishi Chanika

    Kwa sababu Chanika kuna " uhai" . Huhitaji kuwa expert wa kusoma alama za anga na alama za ardhi kun'gamua kwamba chanika kuna " uhai" . Kama sauti yako ya ndani ( inner voice) ipo active and effective, siku ukifika Chanika uta detect " uhai" juu ya ardhi ya chanika. Siku hizi wafanya biashara...
  17. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mbagala hali ni hii

    USINYWE BIA KUNYWA MAJI YASIYO YA BARIDI YA KUTOSHA.
  18. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam

    Sichagui kazi kikubwa iwe ya halali Umri: 23 Elimu form 4, diploma Niko na uzoefu wa kuuza Duka la chakula kwa miaka 4. Pia, nina uwezo mzuri kuhusu mipango ya biashara na pia natoa ushauri wa kibiashara kwa mtaji kuanzia million moja. 0622998765
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rapa Naziz afiwa na mtoto wake wakiwa Hotelini Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam. Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Basi gani linaenda Johannesburg Afrika Kusini kutokea Dar es Salaam, Tanzania?

    Tafadhali mwenye taarifa anisaidie. Kuna basi jingine tofauti na Mkombe Luxury Coach? Asanteni🙏
Back
Top Bottom