Habari wakuu.
Pengine sipo sawa au nipo sawa kwa maana hii ni my own experience. Mimi nimepita mikoa kadhaa na nimeishi miji ya mikoa mingi sana nchi hii. Dodoma, Arusha, Kilimanjaro, DAR, Mwanza , Geita , Bukoba na Shinyanga ni baadhi ya mikoa na miji niliyoishi .
Kwa experience niliyoipata...