dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua dalili za matokeo ya Novena ya Wakatoliki kwa ajili ya Haki na Amani katika Taifa letu? Asomaye na afahamu

    1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu. 2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani. 3: Wenye viburi...
  2. JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu hamfurahii mtu anayesitasita. KANUNi za kimUngu zinazoendesha Dunia hazitakuunga mkono

    “Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.” Waebrania 10:28 👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿 Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo. Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita. Anataka au...
  4. JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

    Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sioni dalili au mkakati wa Simba kumfunga Yanga,tutegemee vipigo zaidi

    Kwa yanayoendele tutakuwa wanyonge kwa miaka mingine zaidi kama tutaendelea kumkumbatia Dewji
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya "Tutasimamisha uchaguzi" Ilionekana Kama NDOTO YA MCHANA, Ila Dalili Sasa ni Kweli NRNE Kutimia

    Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima reforms za muhimu zitafanyika. Sasa tunajiuliza, wale waliokuwa wana mkebehi Lissu, Heche na chama...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Natamani mtu mmoja ajiuzulu

    Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
  8. JamiiForums Tanzania Ukiona hizi dalili jua umeshaachwa unasubiriwa wewe kujitangaza tu

    Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano: 1. Mawasiliano Kupungua Sana Hataki...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi, ujue tayari kuna mtu ameishamuiba mke wako!

    01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine! 02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
  11. JamiiForums Tanzania Kukosea Tahajia(Spelling) Unapoandika Mada ni Dalili ya Ulegevu

    Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha. Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua...
  12. JamiiForums Tanzania Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasiaSaumu Njama

    Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora.SiasaUkraine Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia Saumu Njama Kremlin ilisema haioni njia...
  13. JamiiForums Tanzania Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

    Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima. Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mpango wa Kumuua Tundu Lissu kwa Sumu Ukiwa Kizuizini Ni Dalili ya Taifa Lenye Hofu ya Ukweli na Kukwama Kisaikolojia Kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa? Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

    Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

    Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana. Leo hii tena CCM nchi nzima...
  17. JamiiForums Tanzania Rais kutoa zawadi hadharani (Bahasha) ni dalili za rushwa

    wakuu === Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza. MAONI YANGU Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili Marekani itajiunga na vita ya Iran-Israel. Rais Trump akatisha ziara ya G7

    Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada. Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran. Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena. Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili kwamba Ukraine anampa kipigo kikubwa Urusi baada ya USA kujitoa kumsadia na Ulaya kumruhusu kuwapiga Warusi ndani ya mipaka yao!

    Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao. Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
  20. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…