dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kandauma: 2030 kutakuwa na Ramadhani mbili , Ila ni dalili ya Kiyama

    https://www.instagram.com/reel/DZutAh-I5Hn/?igsh=b3U0MnRmd3J2M3M0
  3. pandex bawasiri

    JamiiForums Tanzania Chunguza dalili zako uanze matibabu ( bawasiri)

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2026 USHETU DC hali ni tete. Hatujapewa PESA ZA KUJIKIMU

    Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini. Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo. Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya dalili kwamba utafeli maisha ni kuchukia wanaokuzuia usifanye mambo Mabaya

    MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake, sio katika Uchapakazi wake, sio katika uhodari na ujasiri wake. 2. Ishara za mwanzoni ukitaka ujue...
  6. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Kuwasha subwoofer kwa sauti kubwa sio dalili za umasikini?

    Miaka hii ya 2026 watu wanatumia smart tv na unlimited wifi bado Kuna watu wanarusha miziki kwenye vibanda na kuja kusumbua wengine wasilale usiku Hivi hii tabia ya kununua sabufa na kufungulia mziki mkubwa ndani na kusumbua watu waliopo nje au majirani Wengine unakuta wamepanga vyumba vya...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuamini ndoa ni Mpaka ifungwe kanisani au Msikitini ni dalili ya utumwa na uelewa mdogo kwa watu

    KUAMINI NDOA NI MPAKA IFUNGWE KANISANI AU MSIKITINI NI DALILI YA UTUMWA NA UELEWA MDOGO KWA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Acha Dotto Magari adharau Wasomi. Ingawaje naamini hawadharau kwa mambo mazuri bali kwa baadhi ya ishu walizonazo. Hasa kifikra. 2. Fikiria binti aliyehitimu...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Simu Yako Inakutawala? Hizi Hapa Dalili 7

    Dalili 7 Zinazoonyesha Simu Yako Inakutawala (Sio Wewe Kui-control) Unafikiri unaitawala simu yako. Hapana. Ndiyo inayokuamsha asubuhi, kuamua unafikiria nini, na kutumia kila sekunde yako ya bure. Hizi ni dalili 7 zinazoonyesha umekabidhi maisha yako kwa screen na ukaita “connection,”...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO UDSM kutotoa matokea ya written interview ya 02/05/2026 kuna dalili za rushwa

    Kiukweli nimesikitika sana UDSM kuficha matokeo ya wrriten interview iliyofanyika tarehe 02/05/2026 pale yombo 4 mapaka sasa matokeo hayajawekwa kwenye website rasmi ya Secretariat ya ajira huku waajiri wengine wakitoa matokea wazi Sasa naanza kuamini ili upate kazi UDSM ni mpaka utoe rushwa au...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya

    Halmashauri ya Wilaya ya Newala Vijijini kuna dalili ya kupigwa kwa hela za kujikimu za Watumishi wapya, muongozo wa TAMISEMI unaeleza kuwa inatakiwa tulipwe Siku 14 ila Newala wamelipa siku 7 na hakuna maelezo yoyote. TAMISEMI waje hadharani watoe maelezo kuhusu utaratibu huo na kinachoendelea.
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi Wafichua Dalili za Mwisho wa Dunia!

    Kama huna habari, wanasayansi wamekuwa wakichunguza mwenendo wa ulimwengu (universe), na matokeo ya tafiti zao yamefichua jambo la kushangaza: ulimwengu hauko tuli, bali unapanuka kwa kasi kubwa sana. Kupitia uchunguzi wa kina wa anga (astronomy), wamegundua kuwa kuna nguvu ya ajabu inayoitwa...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kunywa chai ya rangi inawezekana ni dalili ya umasikini

    Kutokunywa chai ya maziwa kwa raia wengi na badala yake kunywa chai ya rangi zaidi inawezekana ni ishara mojawapo kubwa ya umasikini wa nchi yetu. Sidhani kama watu wanakunywa chai ya rangi na mihogo, maandazi na vitumbua kwa sababu wanapenda tu au kwa sababu chai ya rangi ni tamu kuliko ya maziwa.
  16. Morning Joy Motors

    JamiiForums Tanzania Fahamu Dalili 5 Muhimu Zinazoashiria Hitilafu Kwenye Engine Bearing Zako

    Na Morning Joy Motors Kama ukishindwa kugundua haraka dalili hizi ambazo zinaashiria hitilafu kwenye engine bearing za gari yako basi soon, itakulazimu kulipa gharama kubwa za matengenezo au hata kubadili engine nzima na kuweka mpya kabisa. Nini Husababisha Engine Bearings Kuharibika...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  18. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Marekani na Iran kuna dalili yoyote ya kuepukika au muda wowote toka sasa kuna lipuka huko mashariki ya kati?

    Wakuu kwa yanayo endelea huko mashariki ya kati kuna dalili yoyote ya vita kati ya Marekani na Iran kushindwa kutokea au tuwe tayari kwa breaking news kubwa muda wowote kutoka sasa ? Updates na uchambuzi kuhusu mgogoro wa muda mrefu kati ya Marekani,Israel na Iran shusheni wakuu hapa tupate...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  20. Slobodan Mirosovich

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa Akiba ya Dhahabu ni dalili mbaya ya kushindwa kwa dola

    Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake ya dhahabu ili kufadhili miradi ya miundombinu imenistua sana. Ni jambo linalopaswa kutafakariwa...
Back
Top Bottom