1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu.
2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani.
3: Wenye viburi...
“Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani. Naye akisitasita, sina furaha naye.”
Waebrania 10:28
👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni KANUNI. Ikifuatwa hata na mtu asiyemuamini Mungu anaona matokeo.
Mungu na KANUNi zake ambazo zinaendesha dunia hazimsapoti mtu anayefanya mambo KWA kusitasita.
Anataka au...
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima reforms za muhimu zitafanyika.
Sasa tunajiuliza, wale waliokuwa wana mkebehi Lissu, Heche na chama...
Dalili za kuachwa au kwamba uhusiano unaelekea kuisha mara nyingi huanza kwa mabadiliko madogo ambayo huongezeka polepole. Hizi hapa ni dalili za kawaida zinazoashiria kuwa huenda mwenzi wako anapanga kukuacha au tayari amepunguza mapenzi katika uhusiano:
1. Mawasiliano Kupungua Sana
Hataki...
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
01. Angalia mabadiliko ya haraka kwa mkeo: Kila wikiendi jioni, anavaa vizuri na kuondoka nyumbani. Ukimuuliza anasema: "Kinamama tuna maombi ya kufunga na kuomba mwezi mzima kanisani, ntarudi baada ya masaa mawili." Tambua anaenda kufunga ndoa nyingine!
02. Chunguza matumizi ya perfume: Mke...
Nimeona mada nyingi hapa JF zina makosa ya tahajia (spelling) za maneno ya Kiswahili. Na watu hawaoni kuwa hilo ni tatizo. Matatizo wanayoona ni ya kisiasa! Hii ni dalili ya ulegevu wa kiakili, kutokujali na kukosa bidii ya kujifunza lugha.
Lugha ni zana ya hekima na ufanisi. Mtu anayeijua...
Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora.SiasaUkraine
Kremlin haioni dalili ya kusitisha vita kidiplomasia
Saumu Njama
Kremlin ilisema haioni njia...
Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima.
Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
Kwa mujibu wa taarifa rasmi ya CHADEMA, kuna taarifa za kijasusi zinazoibua hofu kuhusu mpango wa kumuwekea sumu Tundu Lissu akiwa kizuizini. Swali kuu ni: tunapoingia uchaguzi mkuu wa 2025, je, hii ndiyo lugha ya kisiasa tunayoruhusu kama taifa?
Kama msomi wa saikolojia ya siasa, jaribio la...
dalili
hofu
kabla
kisaikolojia
kizuizini
kukwama
kumuua
lissu
mkuu
mpango
sumu
taifa
tundu
tundu lissu
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
ukweli
Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana.
Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana.
Leo hii tena CCM nchi nzima...
wakuu
===
Rais Samia akitoa zawadi kwa watumbuizaji siku ya leo, alipotembelea kituo cha utamaduni na makumbukusho ya wasukuma Bujora,Kisesa mkoani Mwanza.
MAONI YANGU
Hiki kitendo nakifananisha na rushwa kuelekea uchaguzi mkuu kwa sababu hakuna ulazima wakutoa zile zawadi hadharani angeweza...
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran ndo basi tena.
Maana hakuna mpinzani wa Marekani ikija kwenye mambo ya kijeshi [ukiacha makomandoo...
Katika miaka yote iliyopita ya vita ya Urusi na Ukraine, Ulaya na USA waliwazuia Ukraine kutumia silaha walizompa kumpiga Urusi ndani ya mipaka yake, japo Urusi iliwapiga Ukraine ndani ya mipaka yao.
Baada ya Trump kuonyesha ukaribu na Putin na kuzuia kuwawekea Ulaya tarifu za biashara, hii...
Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.