https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana...
First, You never fit in
Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako.
Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi, fikra zako ziko mbele ya muda ndio sababu. wanayoyapenda wengine wewe sio habari hata kidogo...
Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki.
Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili.
Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania.
Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
Anonymous
Thread
dalili
employment
kampuni
kutapeliwa
naona
service
1. Your undermined by many (Kuhujumiwa na wengi)
2. Your despiced by many (kudharauliwa na wengi)
3. Unahisi majukumu yote ya familia yanakuhitaji wewe ufanye na kutumika.
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evarist chahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
U.T.I NI NINI
U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria tunamuita E.coli
ZIPI DALILI KUJUA UNA U.T.I
1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu ukikojoa. Wengi...
Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani:
1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia)
2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni
3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM.
Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali.
Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali.
Je tunaelekea wapi kama...
Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.