dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. Tulia Ackson asipowahiwa kuna dalili akawehuka

    Huyu mama toka atumbuliwe uspika naona hajakaa sawa bado. Mara ajipost huko Instagram anaimba kwaya,Mara amrushie mwenyekiti wake wa chama madongo, Mara ajipost analia, Mara ajipost anacheza muziki. Naona huyu mtu awahiwe kabla hajawa chizi kamili. Tangu akose cheo akili bado haijamkaa sawa
  2. Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  3. Sioni dalili ya Lissu na CHADEMA kunyoosha mikono, Serikali iangalie njia nyingine

    Laiti kama serikali ingekuwa inamfuatilia Tundu Lissu na kuisoma akili yake ingegundua siyo mtu wa kumtishia na kesi. Siyo mtu wa kumtishia na jela, mahabusu wala hukumu ya kunyongwa. Upo msemo kwamba ukimjua adui yako ndiyo unaweza kumshinda. Njia ya kesi na jela ilizaa matunda kwa Freeman...
  4. A

    KERO Kampuni Star Employment Service TZ nirejesheeni 11.2M nilizowapa mnitafutie ajira nje

    Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 20+ naweza kujiita ni muathirika wa tukio ambalo naona linaelekea kuwa la “kitapeli” uliotendwa na kampuni inayojitangaza kutoa fursa za kazi na mafunzo nje ya nchi inayoitwa Star Employment Service Tanzania. Nilianza mawasiliano na Mkurugenzi wa kamouni hiyo...
  5. Dalili Tatu, kuwa wewe umepakwa mafuta mengi (chosen one)

    1. Your undermined by many (Kuhujumiwa na wengi) 2. Your despiced by many (kudharauliwa na wengi) 3. Unahisi majukumu yote ya familia yanakuhitaji wewe ufanye na kutumika.
  6. O

    MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  7. Figo kuanza kufeli: Fahamu dalili na tiba yake ya mimea

    Dozi hii tuloandaa ni elf 50
  8. K

    Je, hii inaweza kuwa ni dalili kwamba nasalitiwa?

    Wadau huyu shem wenu siku hizi akitoka kazini anarudi kaloana na inachukua muda kumkojoza aisee wataalamu hii imekaaje au nakula makombo?
  9. Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  10. IJue U.T.I ,chanzo, dalili, madhara na tiba

    U.T.I NI NINI U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria tunamuita E.coli ZIPI DALILI KUJUA UNA U.T.I 1. Kukojoa mara kwa mara na maumivu ukikojoa. Wengi...
  11. Ujue Ugonjwa wa GOUT, chanzo, dalili, madhara na tiba yake

    Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC. Mtaalamu wao wa tiba Hippocrates aliuita ugonjwa huu “Ugonjwa Wa Kumfanya Mtu Asitembee†na aliuhusisha...
  12. Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate)

    Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2. Kushindwa kuanza mkojo haraka unapokwenda chooni 3. Mkojo kutoka taratibu/dhaifu badala ya kwa nguvu...
  13. Inapofikia mahala vyombo vya ulinzi kushiriki "dirty jobs" za kisiasa ndani ya nchi. Ni dalili mbaya kwa Taifa

    Sheria yenye utata ya Usalama wa Taifa namba 2 ya mwaka 2023, ilitungwa mahususi kwa ajili ya kushughulikia wanasiasa wanaoipinga CCM. Sehemu kubwa ya sheria hiyo inakiuka weledi na misingi ya utawala bora. Waemepwa uwezo wa kukamata na haielezwi wakikamata wanamdetain wapi mtuhumiwa. Imetoa...
  14. Ni muda wa kujitafakari kwa kina kama taifa sababu dalili sio nzuri haiwezekani GenZ na Millenials wote wasiipende serikali iliopo madarakani

    Jana nilikuwepo pale Mlimani City kwenye usiku wa Bongo fleva, audience ilikua ni vijana wa zamani (millenials) kwa wingi. Na hao hao ndio waliozomea pale Mwana FA alipoingiza mambo ya serikali. Ukiingia mtandaoni na mitaani utakuta GenZ hawaikubali kabisa serikali. Je tunaelekea wapi kama...
  15. Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

    Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara. Jee wamefanya jambo la maana?
  16. Kuna ishara gani ambazo hukufanya uone wewe na Mungu mnatafutana sana?

    Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu. Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
  17. Sheikh Kandauma: 2030 kutakuwa na Ramadhani mbili , Ila ni dalili ya Kiyama

    https://www.instagram.com/reel/DZutAh-I5Hn/?igsh=b3U0MnRmd3J2M3M0
  18. Chunguza dalili zako uanze matibabu ( bawasiri)

  19. A

    KERO Ajira Mpya 2026 USHETU DC hali ni tete. Hatujapewa PESA ZA KUJIKIMU

    Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini. Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo. Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…