Juzi hapa China ilikuta kwamba baadhi ya mifuko ya kuku na kamba ilikutwa ina wadudu wa Corona (Covid-19). KIlichofuata ni kwamba serikali ya China ilianza kujiuliza maswali mengi kuhusu jinsi gani hao wadudu waliingia kwenye kuku na kamba ambavyo viliagizwa kutoka nchi ya Brazil.
China...
Building is skill combined with creativity. Everybody wants to build a unique house,company or anything else that will attract and suprise many.
China has proved to have it all, it's buildings are so weird but at the same time very unique and beautiful.As we know China is a power house in terms...
CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni.
Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration.
Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
Folks , I have seen this serious talk in a forrum, and its quite interesting to hear the argument for and against the fact that, China and the US are too intertwined to have an all out war!
Fact remains, China is developing economically at a faster rate that the US!
Hear this out!
China kulikua na Iphone nyingi kuliko nchi yoyote Duniani ila sasa Iphone inapoteza nafasi ya kua simu namba moja China.
Watumiaji wengi wa Iphone wanahamia Huawei, Iphone inakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa makampuni ya China kama Huawei, One Plus, Oppo, Honor, TCL, ZTE na kadhalika...
Hakuna Rais atakaye tatua tatizo sugu la ajira ila sisi wenyewe kama watu wa China walivyo jielimisha, hata kama CCM ikiondoka madarakani. Kwa sababu tatizo la ajira linatokana na ukosefu wa uzalishaji mali barani Afrika, ukosefu wa wataalamu wa viwanda ingawaje tuna wasomi wengi.
Rais wa...
Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina.
China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara badala ya kutaka kuyawekea vikwazo vya kibiashara makampuni ya kichina.
Juzi jumapili Waziri wa...
Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo
Trump alipanga kuzuia mitandao hiyo Septemba 15, ikiwa mitandao hiyo haitauzwa. Aidha mitadao hiyo ilikuwa...
Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani.
Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
Nimeona ujumbe wa upotoshaji unaozungushwa kwenye mitandao ya kijamii ulioandikwa na Godsen Malisa kuhusu suala la ndege ya ATCL kuja China kuwachukua wanafunzi. Nimeona nitoe ufafanuzi ili umma uwezi kufahamu ukweli na kuachana na upotoshwaji unaofanywa kwa agenda anazozijua mwandishi mwenyewe...
Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
Wizara ya Mambo ya nje ya China imeiagiza serikali ya Amerika kufunga ofisi ya wanadiplomasia huko Chengdu, hatua ya Beijing iliona majibu ya barua-mbili kwa kufukuzwa kwa Washington kwa wafanyikazi wa ubalozi wa China kutoka kituo huko Texas.
Beijing orders US to close its consulate in Chengdu...
Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
Wapendwa kwa unyenyekevu natanguliza salamu kwenu nyote.
Nimeamua kuanza kununua bidhaa kama mikoba na pochi za wanawake moja kwa moja kutoka China kupitia Alibaba na Aliexpress na kuzileta hapa nikauza, sasa nimeout source baadhi ya supplier kwenye hiyo mitandao na kuona bei zao ni rafiki...
Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ".
Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ".
Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
Kwa hii kasi ya maambukizi naanza kuamini kabisa kuwa china walidanganya. inawezekanaje ugonjwa uanzie kwao wadhani ni ugonjwa wa kawaida watu wajichanganye mitaani kwa miezi miwili ndipo mgundue ni pandemic kwa taifa la watu 1.6b halafu muwe na wagonjwa 80,000 tu.
Kama hawakudanganya kwenye...
Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei.
Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya mawasiliano ya 4G na 5G.
Je Huawei itaweza kuishi ama kupambana na vikwazo vya kimarekani...
Toka mwaka jana 2019 Japan imekua ikiyashawishi na kuahidi kuyapa ruzuku ya serikali makampuni yake yote yaliyoko China kuhama nchi hiyo yarudi nyumbani au yatafte nchi nyingine ya Asia nje ya China.
Hadi sasa makampuni 56 yamekubaliana na serikali kuhamisha shughuli zake kutoka China na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.