Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...
Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban.
Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
Miji mitano katika Jimbo la Hubei imetangaza tahadhari baada ya mvua kusababisha vifo vya watu 21 na kulazimisha watu wapatao 6,000 kuhamishwa makazi. Mamlaka zimeonya mvua kubwa zinaweza kuendelea hadi wiki ijayo
Hali mbaya ya hewa imesababisha umeme kukatika huku nyumba zaidi ya 3,600 na...
Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe.
Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji ili kukabiliana nao.
Kirusi Delta kimegundulika katika Miji kadhaa Nchini humo tangu Julai 20. Katika...
China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani.
Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38.
Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje?
Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu.
Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android.
Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
Na Ronald Mutie
Wawekezaji wa kigeni wanaweza kunufaika na fursa mpya za kuingia kwenye soko la China, baada ya serikali kuchukua hatua maalum za kupunguza masharti hasi-maarufu kama orodha hasi.
Hatua hizo mpya zinalenga kuimarisha biashara kati ya China na nchi mbalimbali na zilianzishwa...
Viongozi wa kisiasa na biashara wa Marekani na nchi za Afrika walifanya mkutano wa kilele kati yao kwa njia ya video kuanzia tarehe 27 – 29 Julai, ukiwa na kauli mbiu ya “njia mpya za kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Afrika”. Kwa Marekani mkutano huu ni moja ya hatua za Rais Joe Biden...
Jiji la Wuhan Nchini China ambalo liliripoti mlipuko wa CoronaVirus kwa mara ya kwanza mwaka 2019 litawafanyia vipimo wakazi wote baada ya maambukizi kuripotiwa.
Mamlaka zimehusisha visa hivyo na Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi pamoja na msimu wa Utalii. China inashuhudia ongezeko kubwa...
Idadi ya waliofariki dunia kutokana na mafuriko mabaya ya mwezi Julai imeongezeka kufikia 302 na wengine bado hawajulikani walipo.
Eneo la Zhengzhou katika Jimbo la Henan liliathiriwa zaidi ambapo watu 292 walipoteza maisha kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu.
Kutokana na...
Baadhi ya watu duniani wanahusisha uislamu na ugaidi, ufarakanishaji na vita, na vyombo vya habari hasa vya nchi za magharibi, vimekuwa vikipaza sauti za maoni hayo kuhusisha maeneo ya Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, Afghanistan na kwengineko.
Lakini wachina waislamu, wanaamini kuwa picha...
Ile zama ya vyama na serikali kuwa wadau pekee wa uhusiano kati ya China na Afrika sasa imepita. Mageuzi makubwa ya kiuchumi yamefanyika nchini China na maendeleo makubwa yamepatikana, hali hii imefanya serikali isiwe mdau pekee wa ushirikiano. Tangu China ianzishe ushirikiano wa kimkakati wa...
Serikali ya Norway imeituhumu China kwa kuhusika na mashambulio ya kimtandao katika mifumo ya Bunge lake mnamo mwezi machi 2021.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Ine Eriksen Soereide amesema uchunguzi umebaini kuwa mashambulizi hayo kwenye mfumo wa barua pepe yalifanywa kutoka China.
Asema...
Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
"Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.