Vyombo vya habari vya Marekani vimetoa ripoti kwamba, kampuni za kutengeneza dawa nchini humo zinashawishi Bunge la nchi hiyo kuiwekea China vikwazo, kwa sababu China imefanikiwa kubuni teknolojia mpya ya kutibu ugonjwa wa kisukari.
Timu ya wataalam kutoka Hospitali ya Changzheng ya Shanghai...
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans.
The world's first transcontinental live telesurgery
Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje?
Huu ndio upasuaji wa kwanza kufanywa duniani madaktari wakiwa bara lingine na mgonjwa akiwa bara lingine.
Huu ni mfumo wa...
Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
Kampuni ya Ujenzi ya China (PowerChina) imejenga mradi wa mfumo wa usambazaji maji katika jiji la Arusha nchini Tanzania, ambao unawasaidia wakazi wa jiji hilo kupata maji safi karibu na makazi yao.
Mmoja wa wakazi wa jiji hilo, Anna Emmanuel, mama wa watoto wanne anayeishi eneo la Njiro...
Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa, Komredi DEBORA JOSEPH TLUWAY ni miongoni mwa viongozi vijana wa UVCCM wanaoshiriki Mafunzo kwaajili ya viongozi vijana yanayohusisha Vyama vya Ukombozi Barani Afrika ikiwemo...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation.
Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
Athari ya vita vya Gaza inazidi kuenea duniani kwa vikundi vidogo kujiamini kupambana na wababe wa dunia.
Msemaji wa wanamgambo wa Houth ,Yahya Saree amesema kikosi chake kimoja kimefanikiwa kupiga meli ya kubebebea ndege (Aircraft carrier) iitwayo Eisenhower.
Kwa maelezo ya msemaji huyo...
Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta.
Kwa maneno rahisi kama chaji kwenye battery imeisha unatumia mafuta and vice versa. Model hiyo imepewa jina la BYD Qin L.
Ukijaza...
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho.
Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China.
Vijana hao wenye ujuzi...
"Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
CHINA STATE TELEVISION DECLARES "WILL TAKE TAIWAN IN EARLY JUNE" AND WARNS THE US TO END ALL VISITS TO TAIWAN AND ADHERE TO THE ONE CHINA POLICY
MAY 25, 2024
The video below shows Chinese State TV declaring today that China will reclaim Taiwan, likely in early June. It has begun preparing...
I always wonder why Tanzania and other African countries rely on China as a serious security partner while Beijing has failed to contribute meaningful security in the Red Sea!!!
A-vivid example is, the People’s Liberation Army’s first overseas support base in Djibouti is branded by Beijing as a...
Baadhi ya mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini Tanzania pamoja na nchini Uganda wamekosoa vikali mradi wa Bomba la mafuta ghafi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 1400 kutokea nchini Uganda hadi Tanzania kwenye mkoa wa Tanga kwamba ulipitishwa katika Mazingira yasiyo shirikishi huku wakidai...
Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina.
Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China.
Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Shirika la Uchunguzi wa Maoni la Marekani Gallup umebaini kuwa umaarufu wa Marekani umeshuka barani Afrika, huku umaarufu wa China ukiongezeka.
Utafiti huo uliofanywa katika nchi 36 za Afrika unaonesha kuwa, umaarufu wa Marekani barani Afrika kwa mwaka 2023...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.