Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China, hususan wale wanaohusishwa na Chama cha Kikomunisti cha China au wanaosomea fani zinazotajwa kuwa nyeti kwa usalama wa taifa.
Marekani imetangaza kuwa itaanza kufuta viza za wanafunzi kutoka China,hususan wale wanaohusishwa...
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
China tayari Imeanzisha Mtandao wa Broadband wa Kwanza wa "10G" Duniani! 🤯
Kumbuka sio 6 ah 7G ni 10G!... Mshindani wake mkubwa Marekani bado anahangaika na 6G kuitafuta 7G😀
Sisi huku Afrika tuendelee tu kunywa mtorii na kufanyiana figisu za kisiasa, hayo mengine tuyasome Kama simulizi za Alfu...
UTANGULIZI: UTAWALA WA MAARIFA KATIKA KARNE YA 21
Katika karne hii ya 21, nguvu siyo tu silaha, siyo tu fedha – bali maarifa. Taifa linalomiliki maarifa ya kisasa na kuyaendeleza lina nafasi kubwa ya kutawala mustakabali wa dunia. Hivi karibuni, China imeandika sura mpya ya mafanikio ya...
afrika
china
maendeleo ya kisayansi
mafunzo kwa tanzania
mapinduzi
mapinduzi ya nishati
marekani
mionzi salama
molten salt reactor
nguvu
nishati mbadala
nyuklia
Mbunge Musukuma ameelezea kisa cha kumfurahisha kilichomtokea alipokuwa China ambapo dereva taxi aliwashusha kwenye gari yeye na mkalimani wake baada ya kuanza kumjadili rais wa China.
Hilo jambo lilimfurahisha sana Musukuma hadi leo akichangia bungeni akapendekeza na kusisitiza na sisi...
Mustakabali wa intaneti unapokuwa chini ya mamlaka yenye uwezo wa kuzuia mitandao ya kijamii na kuwaruhusu wananchi kuona au kusikiliza kile tu wanachotaka—kama ilivyo kwa China na Korea Kaskazini—huenda ukawa na sifa zifuatazo:
1. Intaneti ya Kitaifa, Siyo ya Dunia
Kutengwa na Dunia...
Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia.
raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd 47300. Na hapo kumbuka ni mwakajana ukisikiwa watumishi na walimu mumeongezewa mshahara mkaanza...
Dear Customers
We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram.
Why Choose Our Service?
Speed: Timely delivery of your goods using efficient air transport routes...
WATALII CHINA NA INDIA WAMEONGEZEKA
Kupitia mikakati mahsusi ya kutangaza utalii kwa kushirikiana na balozi za China na India, Serikali imefanikiwa kuvutia masoko mapya ya utalii.
Filamu ya Amazing Tanzania iliyomshirikisha Rais Samia na nyota wa China Jin Dong imechangia ongezeko la watalii...
KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA
Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
Ushuru uliowekwa na Marekani unaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi zinazoibuka kiuchumi kama China nan chi za Afrika, lakini wakati huohuo, hatua hiyo ya Marekani itawezesha ushirikiano wa nguvu zaidi kati ya China na Afrika katika biashara na uwekezaji kwenye seta muhimu za uzalishaji, nishati...
Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake.
Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki wa jadi ambao umedumu kwa miongo mingi. Urafiki huu unagusa sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya utamaduni.
Hivi karibuni, onyesho lililopewa jina la “Masikilizano ya Ngoma na Muziki” lilifanyika Dakar, mji mkuu wa Senegal, ambapo wapiga ngoma kutoka...
Na Mwandishi Maalumuu,
Shandong - China
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Oganaizesheni, Issa Gavu, amesisitiza umuhimu wa kuendeleza uhusiano baina ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China kwa maslahi ya nchi hizo na watu wake.
Pia, amehimiza kudumisha uhusiano wa...
Wabunge katika Seneti ya Marekani wahoji kuhusu uaminifu wa Kenya kwa Marekani kufuatia ziara ya hivi karibuni ya Rais William Ruto nchini China.
Katika muktadha wa vita vya kibiashara kati ya Marekani na China na mvutano mkubwa kati ya Mashariki na Magharibi, Ruto mwezi uliopita alitembelea...
Mazungumzo ya ngazi ya juu ya uchumi na biashara kati ya China na Marekani yamefanyika hivi karibuni huko Geneva, na kupata matokeo muhimu. Hali ambayo inaonyesha kuwa baada ya mvutano mkali wa zaidi ya mwezi mmoja, nchi hizo mbili zimechakua njia ya mazungumzo kutatua maoni yao tofauti. Matokeo...
Je, China Ilitoa Zawadi au Iliweka Mtego kwa Afrika? – Siri ya Wizi wa Taarifa Katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
Mwandishi: MalekoGJ
On X
@GoodluckMalekoJ
Utangulizi
Mwaka 2012, bara la Afrika lilishuhudia “zawadi” ya aina yake kutoka kwa China — jengo la kifahari la Makao Makuu ya...
“All imperialists are nothing but paper tigers.”
- Mao Zedong
Dunia itakumbuka jinsi siku ya Ijumaa 4, April, 2025 Trump alivyopandwa na wazimu.
Na kuongeza ushuru kwa kila taifa duniani hadi visiwa vya Herd na McDonalds vya bara la Antarctica wanapoishi Penguins tu.
Siku hiyo kwa tambo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.