china

  1. JamiiForums Tanzania Wizara: Ubalozi wa China umesema hakuna vikwazo vya kisera kwa Watanzania wanaoomba visa za China

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAOMBI YA VISA ZA CHINA KWA RAIA WA TΑΝΖΑΝΙΑ Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ubalozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania zimeendelea kutoa taarifa za mara kwa mara kwa umma kuhusu mchakato wa maombi ya visa za...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  3. JamiiForums Tanzania China yaanza kutumia roboti kuongoza magari barabarani

    China imeanza majaribio ya kutumia roboti kwa ajili ya shughuli za barabarani ikiwa ni pamoja na kuongoza magari. Hata hivyo roboti hao hawana mamlaka ya kumkamata mtu pale anapokosea au kukiuka sheria. Maroboti hayo yamepelekwa hasa kwenye makutano yenye shughuli nyingi ya barabara katika jiji...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wa China wapata umaarufu tena kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii

    Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
  5. JamiiForums Tanzania Walokole Wazindua Brand Mpya za Magari yao ya Umeme kushindana na Elon Musk na BYD

    Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya kiteknolojia na viwanda. Magari hayo yamewasilishwa kupitia njia rasmi za huduma hiyo, huku baadhi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Futuhi ya vyakula China! Wanapika mpaka mawe

    Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula hiki kimepewa jina la utani kama "chakula kigumu zaidi duniani" kwa maana halisi ya neno kuliko...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kusafirisha vifurushi kutoka China

    Ndugu zangu habari yenu, Ninahitaji msaada wa kampuni isiyo na longo longo ya kusafirisha parcels kutoka China, Lengo ni kununua bidhaa toka Pinduoduo. Nahitaji inayo kubali kusafirisha parcel ndogo ndogo.
  9. JamiiForums Tanzania Vikwazo dhidi ya teknolojia ya AI ya China vyapingwa na mashirika ya Marekani

    Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya karibu 200 ya Silicon Valley nchini humo, yakishirikiana na makampuni makubwa yakiwemo Meta, Nvidia, na...
  10. JamiiForums Tanzania Masoko ya Magharibi v/s soko la China

    Hivi ni lazima wafanyabiashara wote wakawa wanakimbilia china kufata mizigo yao? Kwanini wengi hawakimbilii usa au europe kufata bidhaa na kuzileta nchini ilihali jeans saivi ya china dukani unaipata kwa 30k. Na jeans kama levi unaipata kwa kuanzia 40k kuendelea? Tshirt pia nyingi unazipata...
  11. JamiiForums Tanzania Rocket ya China yalipuka muda mfupi baada ya kurushwa angani

    Tazama jinsi roketi ya China ilivyolipuka muda mfupi baada ya kurushwa angani Roketi ya China, Long March 7A, ilishindwa kuendelea na kulipuka wakati wa kurushwa kwake Agosti 10 huko Wenchang, Hainan, China. Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa hitilafu hiyo ilitokana na "tatizo lisilo...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: China inavutia sana. Ninawahimiza sana watu kutembelea huko

    "China is awesome. I strongly encourage people to visit." — Elon Musk Hii ndiyo kauli ya Elon Musk kwenye ukurasa wake wa X (Twitter), mtu ambaye si mtazamaji wa mbali bali ni mfanyabiashara mwenye uwekezaji mkubwa China kupitia Tesla Shanghai gigafactory Musk ameiona China kwa macho yake...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Shindano la uvumbuzi linaloungwa mkono na China lawapa vijana wa Afrika uwezo wa kukabiliana na changamoto za ndani

    Wakati alipopanda jukwaani kuonyesha ustadi wake wa matibabu ya jadi ya Kichina (TCM), Rebaone Monama, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Johannesburg nchini Afrika Kusini, aliibua shangwe kubwa kwa hadhira iliyokuwa imetulia kwa baridi ya jioni katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi. Monama alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002!!!

    China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002 ya upelelezi na mapigano ikishambulia shabaha ya baharini inayosonga wakati wa mazoezi ya kijeshi ya hivi karibuni, ikiashiria maonyesho ya kwanza ya umma ya ndege isiyo na rubani ikishambulia shabaha ya uso inayozunguka baharini. KVD002 imeundwa...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kukosa ushawishi dhidi ya China katika ushirikiano wa miundombinu na Afrika

    China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani. Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
  16. JamiiForums Tanzania China tech on Tiktok

    TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  17. JamiiForums Tanzania Ukifika China uwezi kuona haya mapikipiki yao wanayouza Africa wanatumia kwao zaidi pikipiki za umeme

    Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia. Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa au uchafu.
  18. L

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kushuhudia Marekani inashindwa vita na Iran. Wachina na Warusi ni wahuni sana

    Nadhani Washauri wa Trump hawakufanya Tathmini ya kutosha kuingia vitani na Iran. Vita vilipochanganya na Marekani alipoanza kupoteza akaenda Kumuomba RAIS wa china asimuizie silaha Iran,Xi akamuhakikishia hata muuzia. Akamlaumu Putin kua aache kumsaidia Iran,Putin akasema hatomsaidia. Hivi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Visiwa vya Comoro umezaa matunda mengi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa zaidi ya miaka 70, tangu wakati China ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi hizo za Afrika. Katika kipindi hicho, China imedhihirisha lengo lake la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali pamoja kati ya China na...
  20. JamiiForums Tanzania Gharama ya “kujitenga” na China ni kiasi gani? Dola trilioni 23.6 za Kimarekani!

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la Financial Times la Marekani, imenukuu utafiti uliofanywa na kampuni ya ushauri wa kimkakati duniani Ernst & Young-Brexit, ikisema kama Marekani, Umoja wa Ulaya, na Uingereza zinataka kuondoa kwa kiasi kikubwa utegemezi wao kwa viwanda vya China na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…