chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Nina uhakika Tundu Lissu angeachiwa CHADEMA ingeingia kwenye maridhiano.

    Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano. Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
  2. L

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
  3. Kijana Mara: Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM

    Kijana ambaye amezaliwa Rorya na akakulia Mara, ametoa changamoto zake anazopitia kwa kusema Nilikuwa CHADEMA nimetumiwa vibaya sana na Heche, kwa sasa nataka kurudi CCM hayo ameyazungumza mbele ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Kwa kifupi ametafuta huruma ya kusaidiwa tu!
  4. Ana maadui wengi ndani ya CCM kuliko hao CHADEMA anaowafunga na kuwakamata hovyo

    Hivi hili nalo lina siri? Hana washauri wa karibu wa kumpa ukweli? Maana hata ishu ya Oktoba 29 mwaka 2025 kuwasingizia CHADEMA ya Lissu kuwa walihusika ni uongo na kutwanga maji kwenye kinu. Kundi lake kiongozi huyu linajulikana kuwa ni wanaMtandao na waovu ambao wanaCCM ambao wanajinasibu...
  5. F

    Chuma hawezi kuridhiana na yeyote, CHADEMA shikilieni hapo hapo!

    Viburi,shingo ngumu tangu lini wakasikiza ushauri wa kujenga? Watu wale wale kina Wasira waliomhadaa Mbowe na akahadaika na kuanza kumpamba kuwa aupiga mwingi , watu hao hawafai Kwa lolote Kwenye meza ya maridhiano. Ashindwe kuridhiana na watu wa chama chake waliopigwa risasi Oct 29, ashindwe...
  6. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  7. J

    PostGE2025 CHADEMA hawataki mazungumzo, wana njia gani ya kushinikiza Dola kumuachia Lissu?

    Miaka minne ni mingi, na CHADEMA wakifanya masihara Tundu Lissu anaweza kufungwa miaka minne kweli na mtaani maisha yakaendelea. Nasema hivyo kwa sababu Tundu Lissu alivyokamatwa hakuna mtu aliyetarajia atakaa mahabusu kwa siku 500, ila ndio hivyo siku 500 zimepita, sababu CHADEMA hawakuwa na...
  8. Wafuasi wa CHADEMA, unapotetea hoja si lazima utangulize tusi. Naona wanachama wenzenu akina Mange na Sativa wameshawaharibu

    Humu jukwani si pahala pa vita ni leta hoja ujibiwe kwa hoja bila kuchopeka matusi. Tunashambuliwa sana na matusi kutoka kwa wafuasi wa chadema hasa tukisema chadema kwa sasa haina mwenyekiti chagueni mwingine kwani ni uongo? Niwaombe tuache matusi tujikite kwenye kujenga hoja.
  9. Mpaka sasa ni Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa ndio pekee mwenye furaha zaidi, licha ya kuificha furaha hiyo isionekane hadharani kwa umma.

    But kiukweli muungwana ana furaha kupindukia, kwasababu, licha ya tuhuma za ufisadi kukaribia kumbandua kwenye nafasi yake, ila kwasasa anakwenda kupata fursa mpya ya kua Mwenyekiti wa Chadema taifa kirahisi sana mara baada ya mwenyekiti wa awali kuhukumiwa na kufungwa jela miaka kwa mi4 net...
  10. Nani Kumrithi Lisu Uenyekiti Chadema Baada ya Kuhukumiwa jela hivyo Kupoteza Sifa Kwa Mujibu wa Katiba?

    Heche vs Msigwa ila Heche anafaidika na Lissu kuwa jela. Kina Mbowe wanaweza kurudi Kwa kishindo pia,mda utasema.
  11. C

    CHADEMA:Tundu Lissu ataendelea kuwa Mwenyekiti chama

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
  12. Dkt. Nshala: Tundu Lissu bado ni mwenyekiti halali wa CHADEMA

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
  13. Nani atakalia kiti cha mwenyekiti wa CHADEMA?

    Wadau, Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA kuhukumiwa kifungo cha miaka minne jela, swali ni Nani atakuwa na mamlaka ya kuongoza chama katika kipindi hicho? Je, Makamu Mwenyekiti anachukua nafasi hiyo moja kwa moja, au Kamati kuu ya Taifa ina utaratibu mwingine kwa mujibu wa Katiba ya chama? Je...
  14. K

    Yule jaji aliyewahukumu Chadema wakati wa Magufuli baada ya kesi moja tu ni mgojwa mpaka leo

    Nuksi za uonevu nasikia anajuta kila siku! Magu naye hatunaye. Wanao fuata ni hawa
  15. S

    Baada ya Lissu kufungwa, viongozi wa CHADEMA na watanzania wataona hawana tena cha kupoteza kwa kwenda jela

    Licha kuongeza chuki na hasira miongoni wa wanachadema na watanzania kwa ujumla, athari za hukumu hii ni kuwafanya viongozi wa CHADEMA na watanzania kwa ujumla kuona hawana tena cha kupoteza iwepo na wao watashitakiwa na kufungwa jela
  16. Mange Kimambi anatutukana matusi ya nguoni sisi Watanzania, hii laana hataikwepa.

    Kwakweli Mange Kimambi anatutukana sana ss watanzania, niseme tu kuwa Hii laana haitamuacha salama. nawaasa chadema watamke kutofungamana na kauli za matusi za Mange kimambi otherwise hii laana itaendelea kuwatafuna chadema kwenye maisha Yao yote ya Siasa. Tunachotakiwa kujua kwamba hakuna...
  17. THE POLITICS OF SELF-DESTRUCTION: CAN CCM, CHADEMA AND OTHER POLITICAL PARTIES REDEEM THEMSELVES? (THIS IS MY LAST WISH )

    There is perhaps no greater tragedy in the political history of a nation than witnessing an institution entrusted with safeguarding national unity gradually become a source of institutional dysfunction, political antagonism and recurring societal discontent. My last wish is not to witness the...
  18. CHADEMA mchague mwenyekiti mwingine Lissu amekosa sifa ya kuongoza chama kwa mujibu wa Katiba ya nchi

    Lissu ni mharifu kwa Mujibu wa hukumu ya Leo ya Mahakama, na katiba ya Nchi kifungu no. 25 kifungu kidogo no. 3 cha utumishi wa umma. hivyo basi ni vema mkaitisha uchaguzi kuchagua mwenyekiti mwingine iwe nje ya hawa waliopo kwasababu wanakashifa Nawashauri chadema katika kuchagua mwenyekiti...
  19. Pole sana mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu

    Salaam jamiiforum Tundu Lissu ni mwanasheria msomi na mbobezi lakini pia nimependa ni jinsi gani ana kumbukumbu kiasi kile cha kuhifadhi vitu kichwani. Lakini ameponzwa na Vitu vitatu tu 👉KULEWA SIFA Naam Kwa kujua kwake mambo mengi alijkuta anakuwa muwazi na mkweli kupitiliza ,watu wakamuita...
  20. M

    CHADEMA: Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii. Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…