Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejenga sifa ya kuwa na nidhamu kali ambapo maamuzi yakishafanyika kwenye vikao, sauti ya chama inakuwa moja.
Hata hivyo, katika misimu ya hivi karibuni ya kisiasa, viongozi wa ngazi mbalimbali wameonekana kutoa kauli zinazongana hadharani kwenye masuala ya msingi ya...
Habari wakuu. Leo tarehe 24/7/2026 Makamu wa Rais Dr Emmanuel Nchimbi ametoa kauli za kisiasa ambazo kwangu ni kama mtego kwa CHADEMA. Kabla CHADEMA haijaanza kufurahia kauli hiyo ijiulize maswali yafuatayo.
1. Kwanza, Kama Nchimbi anahimiza watanzania waipiganie katiba mpya, kwanini wanachama...
‼️ALERT ‼️
Muda huu huko Kilwa Madalali wamekusanya Watu wa CCM, wamewavalisha nguo za CHADEMA na kuwarekodi wakimshambulia Mhe. Heche kwa malipo ya laki moja moja.
Muda wowote kuanzia sasa mtaona video yao ambayo inatokana na hii picha niliyowapostia, Vibaraka wa Nduli Idd Amin Mama...
Siku moja nikiwa Ifakara nilikutana na kijana mmoja aliyenimbia kuwa wana kikundi chao ambacho hukodishwa na Manabii na mitume feki.
Kijana yule alinithibitishia kuwa kikundi chao hicho kazi yao kubwa ni kuwezesha "miujiza" ya Manabii au mitume hao kutendeka na kuaminika.
Baadhi ya Manabii...
Kama kuchangia chama cha siasa ni vibaya, basi iwe vibaya kwa vyama vyote.
Lakini kama Agosti 12, 2025, CCM ilichangiwa hadi kufikia Tsh. Bilioni 86.3 pale Mlimani City na haikuonekana kuwa tatizo, leo kwa nini ndugu Gerson Msigwa unaona Wananchi wanaochangia 'ToneTone' ya CHADEMA ndiyo...
Najaribu kufikiri ni sababu gani Chadema wameshindwa kujibu tuhuma za baadhi Wanachama zinazomkabili kiongozi wao Heche badala yake wanatupiana matusi ya kudhalilishana?
Siku zote Tuhuma huwa hazina Ushahidi zinatakiwa kuchunguzwa tofauti na Mashtaka ambayo kisheria huhitaji Ushahidi. Tatizo...
Au zoezi la uhamasishaji uchangiaji limesitishwa kwa muda mitandaoni na linaendelea kimkakati kimya kimya kule field ground, moja kwa moja, nyumba kwa nyumba kwa wananchi?
Maana ghafla tu, updates za trend ya uchangiaji na kilichochangwa zimekoma bila taarifa yoyote.
Nini kinaendelea kwa sasa...
Kwanza kabisa umeongea Pumba. Kwamba CHADEMA inawarubuni wafanyabiashara ili waichangie badala ya kutunisha mitaji yao.
Kumbuka kuwa watu wanatambua kuwa wewe na wanaCCM wachache mnakula keki ya taifa. Hamuwajali Watanganyika.
Watanganyika wanataja CCM iondoke madarakani. Na wameishaichoka...
Kwasababu sote ni mashahidi,
kwamba mikakati hii ya CHAUMMA inaweza kuwaduwaza na kushangaza wengi kwenye kiwango cha makusanyo yao kwenye mikakati yake ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Mpango huu unaweza kua wa uwazi zaidi na wakuaminika kwa wachangiaji ukilinganisha na taratibu za...
Viongozi watatu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutoka mikoa ya Morogoro na Tanga wamewasilisha malalamiko rasmi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, wakipinga hatua zilizochukuliwa dhidi yao walipopaza sauti kuhusiana na tuhuma za ubadhirifu wa pesa za michango ya wadau kwa chama hicho...
My Take
Waliokuwa wanawatumia wenzao kupata pesa Sasa ni wakati wa kwenda kujitetea.
Kwa mujibu wa andiko linalosambaa mitandaoni, viongozi wa CHADEMA, wanaharakati na wahamasishaji katika mitandano ya kijamii wameshtakiwa mbele ya Mahakama ya ICC kwa tuhuma za makosa ya uhalifu dhidi ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Unaweza kusema Kuwa CHADEMA wameamka kutoka usingizi wa Pono ,kwa sasa wameanza kuzinduka ,wameanza kuutambua ukweli ,wameanza kujua mbivu na mbichi.
Hii ni baada ya kutumika kwa miaka mingi,kunyonywa kwa miaka mingi ,kudanganywa kwa miaka mingi ,kuburuzwa kwa...
Ushujaa wa hali ya juu👇
Mahakama ya Wilaya ya Geita imemwachia kwa dhamana Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Vijijini, Neema Chozaile, baada ya kushikiliwa mahabusu kwa zaidi ya siku 20.
Chozaile anakabiliwa na shtaka la kula njama za kumuua askari polisi, shauri ambalo linaendelea kusikilizwa...
"Sio lazima CHADEMA wakisema tunakubali, tutakubali mambo ya CHADEMA ambayo yana make sense...kwa sababu huwezi kutulazimisha kuachia mtu ambae kesi yake inaendelea .tena yeye Tundu Lissu rafiki yangu..anajitetea mwenyewe, kila siku anaweka mapingamizi.."-Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
Azaki amesema Viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakikosolewa mara kwa mara kwa kuendesha harakati zao kwa misingi ya tamaa ya madaraka na ubinafsi badala ya masilahi mapana ya taifa.
Wakosoaji wengi wanabainisha kuwa maamuzi mengi ya kimkakati ndani ya chama hicho, ikiwa ni pamoja...
SIJUI ni ujinga au upumbavu uliokithiri lakini inachekesha sana kusikia kila siku CHADEMA wanaongelea mambo ya maridhiano kama vile yanawahusu wao tu na bila wao hakuna maridhiano.
SIJUI nani anawadanganya kuwa maridhiano lazima wao wawepo na wao ni muhimu kuliko watu wengine linapokuja suala...
Tumeshuhudia viongozi wa chadema wakiishitaki nchi kwa mabeberu eti nchi isipate misaada, sasa hizi ni akili kweli?
Imagine watu wao wanafurahia vifo vya viongozi lakini viongozi wa chadema Wapo kimya tu hivi hii ni kawaida kweli kwa mtu mzima mwenye akili timamu nadhani hawapo sawa.
Imagine...
"CCM iko lock up mikononi mwa Polisi, na CHADEMA iko gereza la Ukonga. Sasa ni lazima, Polisi waiachie huru CCM, na gereza la Ukonga waiachie huru CHADEMA, ndipo maridhiano yaanze kufanyika" Jenerali Ulimwengu
Kwasababu sote ni mashahidi tunaona namna chadema inavyopata tabu na kuhangaika kukusanya milioni mia 3 tu. Ni kama vile inawalazimisha watu wale wale wachangie kwa kurudia.
Lakini pia sote ni mashahidi kwamba, ingekua ni suala la kutukana, kuporomosha matusi, kuleta fujo, kupora, kufanya...
Hali ni mbaya sana, ukiwa kiongozi wa CHADEMA we tayari ni mfungwa/maiti mtalajiwa.
Vibaka wa jeshi la polisi wamekuwa wakivamia usiku wa manane, vunja milango na kuwateka viongozi wa Chadema.
Ila huu uhuni unaendelea coz watanzania wenyewe mmeubaliki.
Mtu anaekuja usiku na kuvunja mlango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.