chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Hismastersvoice

    Ruhusa ya mikutano ni mtego kwa CHADEMA

    Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani. Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema, kinachokosekana ni viongozi wake na njia ya kuwapata ni kupitia majukwaa ya mikutano, hali ya kisiasa kwa...
  2. figganigga

    CHADEMA kueni Makini Mikutano ijayo,wekezeni kwenye Ulinzi na Drone

    Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari. Punde si punde wakairuhusu. Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA. Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA. Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
  3. Tlaatlaah

    Kwanini CHADEMA wanaona aibu kukemea ufisadi ndani ya chama chao?

    Wanaogopana au ufisadi ndani ya chadema ndio mtindo wa maisha ya viongozi wao hasa wa kitaifa? Chadema hawajui kwamba ufisadi ni adui wa haki? Au chadema wanapambania haki za mafisadi kama yule kiongozi anaekabiliwa na tuhuma nzito sana za ufisadi na matumizi ya rasilimali za chama kwa maslahi...
  4. Tlaatlaah

    Tuhuma za ufisadi zimepunguza kasi ya uropokaji wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa.

    Ni wazi ana mfadhaiko, wasi wasi na majuto makali sana hasa baada ya wanaojaribu kutetea ufisadi wake ndani ya chadema kukosa ushawishi na hoja zenye mashiko za kumsafisha na tuhuma hizo za ufisadi. Ni wazi anajiona na anahisi ana hatia, na hana tena nguvu na uhalali wa kuendelea kua kiongozi wa...
  5. Fbn

    Kama maandamano yamepigwa marufuku, sasa haya kusema Heche kajinufaisha mmewezaje kuruhusu?

    Tukisema CCM ni takataka wakina Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable Crocodiletooth na wengine vinara. Haya mtueleze haya maandamano ni ya pesa yapo uhuru kupitia wizara gani. Mkija na jibu naomba kuuliza kama vibari hivyo na kuitisha hayo walipata kwa waziri wa kikosi cha ugaidi wa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Heche amchana vibaya Wasira "umri wako huu wote hujui kazi ya mbunge"?

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amevaa Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira Hahaaha Mzee yaani mmekua madarakani miaka 65 hamjaweza kupelekea watu barabara wala maji.. Alafu unasema Mimi miaka mitano nilishindwa? Hebu mzee wangu tuliza panic kidogo...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mwenyekiti wa Chadema Kilwa: CHADEMA yetu inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kilwa, Abdshakuru Abubakari Mohammed amesema kwa sasa CHADEMA inatumia mabavu na haifuati katiba ya chama. "Leo tunapoizungumzia Chadema tunaamini sisi ni chama ambacho kinafuata katiba na sheria lakini mpaka sasa ndio chama...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Heche: Nchimbi anasema Rais anataka Katiba na yeye pia anataka Katiba. Sasa inakwamia wapi ambapo anataka sisi tukomae?

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameihoji Serikali ya Tanzania akitaka itaje wazi ni nani anayekwamisha mchakato wa Katiba Mpya, kutokana na kauli ya Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, iliyowataka Watanzania ‘kupambana’ ili kuipata...
  9. Tlaatlaah

    Stephen Wasira awahurumia CHADEMA na kuwaasa wananchi cha kufanya ili wapate maendeleo

    Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa, mh. Stephen Wasira ameonyesha hali ya kuwahurumia na kuwasikitikia Chadema baada ya kupata viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika historia ya vyama vingi vya siasa nchini. Hebu msikilize hapa kwa upupi jinsia ambavyo ndugu Wasira akielezea masikitiko yake na...
  10. The Palm Beach

    Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  11. R

    Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  12. Tlaatlaah

    Ni kwanini Chadema huwachukia na kuwabagua wa Zanzibar?

    Na ni kwanini Chadema ina wachukia na kuwabagua sana waisilamu na hata ukiangalia uongozi wa Chadema taifa hawapo? Lakini pia hakuna muisilamu na wala hakuna mzanzibari kamati kuu. Na kama wapo, kwa faida ya wadau wote wa JF, anae wajua aelezee kinagaubaga jukwaani, nadhani itapendeza zaidi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kilwa: Heche achunguzwe tuhuma za Fedha ndani ya Chama

    Kelele za ajenda hii zimekuwa nyingi kweli! Acha nione mwisho wake ========== CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Kilwa kimetoa msimamo wao juu ya tuhuma za Fedha ndani ya Chama hicho zinazomuhusisha Makamu Mwenyekiti John Heche. Soma Pia: Katibu wa CHADEMA Jimbo la Handeni...
  14. M

    Nimefurahi Sadaka yangu ya mwezi huu July kwenda CHADEMA

    Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu. Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
  15. kavulata

    CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  16. Roving Journalist

    Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Rugemeleza Nshala kuzungumza leo Jumatatu Julai 27, 2026

    https://www.youtube.com/live/pnUzy-lmNrA?si=OenV3rhwlyxFnEbk
  17. Dogoli kinyamkela

    Nimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kkuchang.

    Nimetoa 7,000,000 sio kuwa naipenda Chadema sana Hapana ni kwa sababu naunga sera na misimamo ya chama hicho hata CCM wakinifurahisha naweza kuchanga anytime! Tuchangie zaidi
  18. Idugunde

    Uovu wa viongozi wa CCM aliousema Polepole ndio sababu ya CHADEMA kukubalika kama chama cha ukombozi.

    Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai. Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa. CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
  19. Idugunde

    Gerson Msigwa huko ulipo unapata usingizi? Bado mil 7 CHADEMA wafikishe mil 245.

    Alizuia wafanyabiashara wasiichangie CHADEMA👇 Soma Msigwa: Inasikitisha sana, yaani wanahamasisha Vijana watoe pesa walizonazo wawapatie pesa wao waweke mifukoni mwao
  20. Mshana Jr

    MPASUKO CCM vs UKUAJI WA CHADEMA

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejenga sifa ya kuwa na nidhamu kali ambapo maamuzi yakishafanyika kwenye vikao, sauti ya chama inakuwa moja. Hata hivyo, katika misimu ya hivi karibuni ya kisiasa, viongozi wa ngazi mbalimbali wameonekana kutoa kauli zinazongana hadharani kwenye masuala ya msingi ya...
Back
Top Bottom