Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Tar. 15/7/2024 chama Cha kikomonisti Cha China kilifanya mkutano wake mkuu pale Bejing
Agenda kubwa ilikuwa kujadiliana kupungua Kasi ya kupanda kwa uchumi na kuzorota kwa sekta ya ujenzi kutokana na madeni Hali iliyofifisha ujenzi haswa wa MAJENGO makubwa
China hawakutani kuzindua...
Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema wapo baadhi ya wabunge wamezidiwa na vyeo vyao na kuchukulia poa’ mamlaka ya Rais, hivyo amebainisha kuwa jumuiya hiyo haitokubali kuona wabunge hao wakitweza madaraka ya Rais...
Tofauti na hawa choka mbaya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable hawa ni waporipori hawana mvuto. Nawaambia mimi nina mvuto. Siku nikiamua tu kujiunga na CCM napata Ukuu wa Mkoa, Wilaya au Ubunge nije kuwa Waziri.
Wajihi wangu unaunganishwa zaidi na kifua kipana. Nlimsikia Rais akimsifia...
Acha nianze kwa kutoa angalizo kwanza, Mimi sio mtabairi wala nabii lakini nina kipaji cha kuona na kutazama mbali sana.
Ilani ya CCM ya 2025-2030 ni ya mabadiliko ya kweli na inayokidhi matarajio ya wapiga kura na ikiwa imeangazia masuala yote mtambuka ya kizazi hiki na kijacho.
Ni suala la...
GT
Ukifuatilia kwa ukaribu utaona CCM kwa sasa wana lugha kandamizi na za kibabe sana ambazo ndani yake zimejaa jeuri na fitina.
Pamoja na.mambo ya hovyo ya CCM kama ubadhilifu, bado kinaona kina uhalali wakufanya yote hayo mambo ya hovyo.
Amini nawaambia kama tungekuwa na tume huru ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kitendo alichokifanya Askofu Gwajima ni kitendo ambacho kilimuumiza ,kumkwaza,kumsononesha na kumchukiza kila mwana CCM. Ni kitendo ambacho kiliacha na kimeacha hasira ,chuki na maumivu makubwa sana katika vifua vya wana CCM wote ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Wana...
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025.
Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo
"Hii ni Ilani ya CCM ya saba ya uchaguzi mkuu tangu nchi yetu iliporejea katika mfumo wa vyama vingi vya siasa na kufanya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Katika Ilani zote hizi, CCM imeongozwa na Dira ya kuiona Tanzania yenye ustawi kwa wote, nchi inayozingatia na kuheshimu...
Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!.
Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
1. Dar es salaam kujengwa tren ya chini ya aridhi kupunguza foreni hii ni sawa na mabomba kutoa maziwa nchi nzima, kwani mwendo kasi tu tunaona unavyopumulia pua je hiyo treni.
2. Kujengwa viwanda kila mkoa na kila mtaa haaa haaa hii sawa na ile wanafunzi wa vyuo vikuu kufanya practical...
Wakuu,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu akishiriki Mkutano Mkuu Chama cha Mapinduzi CCM siku ya pili Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Dodoma, leo tarehe 30 Mei, 2025.
Soma hapa Ilani > Ilani ya CCM 2025-2030
https://www.youtube.com/watch?v=yXnzuEg-DLk...
Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti.
Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party...
Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao.
Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
Mwaka wa uchaguzi na mambo yanazidi kunoga sana. Hakika tutayaona mengi tu!
Mbunge kupitia jimbo la Kusini Unguja Ndugu Khamis Hamza Chilo akiwasaidia wananchi wake Kukuna nazi 🥥 na Kupeta Mchele.
Kwa kuwa chadema inakufa, haimaanishi hata watu wazuri waliokuwa huko wafe nayo. Tunawakaribisha CCM muendelee kujenga nchi.
Tembo akifa, meno yake yanatolewa, yeye anaachwa aendelee kuoza. Meno ya tembo ni mali
I will be short
kuna theory inasema
" NOTHING IS TO BIG TO FAIL"
ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently.
so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.