Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, amelitaka Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali kuwakemea askari polisi ili waache vitendo vya kamatakamata zisizo na sababu na kubambikizia wananchi kesi, akionya kuwa vitendo hivyo vinasababisha mpasuko na kuichafua...
Anasema kwenye Prorata basis Marais kutoka Tanganyika wamatawala kwa miaka 50 huku kutoka Zanzibar walitawala kwa jumla ya miaka 19 tu kwa hiyo Wazanzibar wana nafasi ya kutawala zaidi na hata wakiendelea kutawala mara tatu mfululizo hakuna shida kabisa!
Hivi kwa nini Watanganyika sio...
Maridhiano yanabidi yawe kati ya serikali na wananchi na SIO CCM na vyama vya upinzani kwakuwa waathirika wa October 29 kwa 99% ni wananchi na SIO wanasiasa wala familia zao.
Ila kwakuwa wanasiasa ni jamii za watu wabinafsi wanataka kumaliza hii issues kisiasa
Huku ni mitaa ya Tunduru Namtumbo, jamaa kaingiza nyomi anatoa majawabu ya papo kwa papo. Vipaji hivi viko CCM tu. Hivi huyu akigombea chochote na Heche atakosa kura apewe Heche?
Msisitizo wa Kuwalipa Wakulima Bila Stori:
"Maelezo sitaki mengi sana mimi nataka kujua hela yao watapata lini...
Kuna matukio yanayotokea nchini ambayo yananifanya nitafakari sana. Wakati mwingine unaona kana kwamba baadhi ya watu wanadhani masuala ya vifo, kupotea kwa watu, utekaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ni matatizo yanayowahusu wanachama wa CHADEMA pekee.
Ukweli ni kwamba maisha ya Mtanzania...
Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani.
Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
Jamaa anadaiwa Kodi ya miezi Mitano .
Mke na watoto wake wawili kula kwao inategemea yeye.
Mama yake kaugua sana ila kwa kukoswa Hela , akafariki mwezi ulopita.
Jamaa alidiriki mpaka kumuomba Mchina, ampe Pesa Kiasi, ili amkate kwenye mshahara.
Mchina akadunda !!
Kama mnakumbukumbu, Hili ni...
Jamaa wana akili kubwa sana. Wanatumia akili nyingi na nguvu kidogo. Wana weza kugeuza chochote kwa manufaa yao.
Hata vile vinavyo one kana kuwa kinyume na interest za nyakati ambazo taifa letu linapita wana weza kuvibadilisha na kuvifanya ku work in their favour.
I wish strategist wa...
Sisi wengine hatujui ila tunasikia chadema kila wanapopata jukwaa hata ndogo tu la kusema huwa wanatoa masharti yao magumu ya wao kukubali kushiriki kwenye maridhiano. Sasa hivi shariti lao muhimu ni Lissu aachiwe huru.
Maswali yetu sisi wananchi ni mengi kuhusu haya maridhiano.
1. Maridhiano...
Kwa nini kuna nyuzi nyingi sana za hasira na manung'uniko jukwaani kutoka kwa wana CCM tangu Lissu afungwe ?
Wana CCM wengi pia au mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA bado wanalalimika pia CHADEMA hawataki maridhiano hata baada ya Lissu kufungwa kwenye kesi ya mchongo!
Mimi nilifikiri wana...
Jina Terrorist linatokana na neno Terror, ambalo maana yake ni tishio. Na kutokana na neno hili unapata maneno mengine kama TERRORISE (Kutishia) TERRORISM (utishaji)na TERRORIST (mtishaji). Mtishaji (terrorist) anaweza kuwa mtu binafsi, taasisi, kikundi, chama au hata Serikali. Silaha kubwa...
Lifestyle ya uongozi wa sasa wa chama na serikali yake ni KUTEKA wanaowakosoa.
Order of the day imekuwa leo mteke yule kesho tumeni watu Kenya wakateke wanaotukosoa, hawajihangaishi na maendeleo ya nchi, zaidi ya hapo wanawaza uchaguzi wa 2030.
Hadi leo nchi imeteka wangapi mbona magereza...
Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
"CCM" NI DUDE KUBWA MNO AFRIKA HIVYO WANA "CHADEMA" TUPEWE DARASA NA "CCM"✍️
👉Katika ramani ya siasa za bara hili la Afrika, Chama Cha Mapinduzi hakitambuliki tu kama chama cha kawaida, bali kama taasisi kongwe na kubwa zaidi inayotajwa kwa heshima kubwa kuanzia Cape hadi Cairo...
Nimeshangaa sana tangu huu msiba uanze CCM wameingia mitini kabisa na wamejaribu kujitenga na huu msiba.
Je, ni aibu inawasumbua kwa jinsi walivyoitesa hiyo familia au kuna nini? Sijasikia hata Kiongozi wa CCM ametuma salamu za Rambirambi.
Ila naona Chadema wamekiwasha mpaka watu wameonyesha...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amesema akizungumza leo Novemba 10, 2026, kwenye msiba wa kaka wa Tundu Lissu, Wakili Alute Mughwai, uliofanyika Mkoani Singida, ambapo amekosoa vikali mwenendo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile alichokiita imechagua njia ya damu...
Kuna taarifa kupitia vyombo vya Habari ikiwemo South African Broad -casting Corporation (SABC) kuwa ANC kule Africa kusini imegeuzwa mdebwedo sasa hili genge la watekaji hapa nchini linalotegemea yale magenge ya watekaji wenzao linaloitwa ccm ndio anguko lake au? naomba majibu wakuu.
Gambo kaenda kwa sababu yupo nje ya mfumo, ila angekuwa ndani ya mfumo nina hakika hasingefika msibani kubabeki midomo kama mbete(alisikika mchungaji akiubili).
Nawaasa wana CCM ya Nyerere kesho mjitokeze mkamzike mwenzenu.
Juzi nilimwona waziri mmoja wa enzi za Nyerere alijitokeza kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.