Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Huwezi sifiwa na CCM kama hawana Masilahi nawewe.
Huwezi kutaka huruma za CCM badala ya Utawala Bora wa Sheria , Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji .
LEMA Tumekupuuza !!.
Habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tujiandae kuona msiba wa Mzee Alute ukivamiwa na watesi wake, wa ndugu yake, na ukoo wao mzima.
Tusisahau kwamba hakuna kiongozi wa CCM, Bunge, wala Serikali, aliyewafariji wahanga wa OCT 29.
Miezi michache ilopita, Mliaanza kulia lia mliposikia Kuna Orodha ya Viongozi watawekewa VIKWAZO na Marekan/EU.
Bungeni mkaanza kulia lia na kupayuka.
Sasa Mfungeni Lissu JELA !!!
Nyie simna Majeshi, mna honga makamouni yawatetee.
Haya mfungeni!!.
Dunia Haijawahi kalia Kimya, Mauaji ya...
Huyu LEMA alimkimbia Magufuli na kukimbilia Canada na Familia yake kwa msaada wa akina Maria Sarungi .
Alipata Hifadhi Canada, kwa sababu tu ni MWANACHADEMA , Mpinzani na Mkosoaji wa Magufuli ambaye aliamua kwenda Canada kutafuta Hifadhi
Magufuli amekufa, na kwakua Amekufa, LEMA akapigiwa...
TULIENI SASA NA MSOME VEMA UZI HUU
Huyu Charles ni mchambuzi mzuri, ndiyo naenda na hiyo hoja yake ya pili.
Hoja ya kwanza kwamba Godbless Lema kasaliti, binafsi mimi siiamini sana mpaka tujiridhishe....
Hoja ya tatu ni kwamba ni kweli CHADEMA kuna ufinyu wa Demokrasia?
Si vibaya, na pengine...
CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM.
Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea...
Habari wadau, baada ya kumsikiliza Lema, Kuna mambo nimeyaona
1.Bado anaishi enzi za mwenyekiti Mbowe za siasa biashara
walikuwa wanakula posho na fursa nyingi pia wakipewa upendeleo fulani na serikali. Magu ndio alietusanua akawatupilia mbali na mfano alimtosa Zito kabwe na ACT yake...
Mwalimu Julius Nyerere alisema Vyama vya upinzani vinawekeza kutokana na mapungufu ya CCM na siku CCM Ikipunguza kufanya makosa baadhi ya Vyama vitakosa sera. Alikuwa akisisitiza sana Vyama vijikite katika kutengeneza sera. Ukichunguza Vyama vya NCCR MAGEUZI, CUF, CHADEMA wengi wamepata nguvu...
Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge.
Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa .
Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi
Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka.
Habari za kupewa...
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
Wenye akili wana msemo usemao "Za kuambiwa changanya na zako".
Lema anajaribu kumrudisha Mbowe chamani ili aturudishe Misri kule kwenye siasa za wanamtandao, Yani Rimoti iko msoga inaendesha Ferry,Lumumba na Ufipa Kwa wakati mmoja .
Lema una uchungu upi Kwa waliouwawa ilhali uliomba mwenyewe...
Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??.
Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe???
Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.