Shikamoon wakubwa
Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi.
Mmmh ,nikalipa chumba...