The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
Marsabit iko kwa crisis mbaya sana. For 147 days sasa, hospitals zimekuwa paralyzed kutokana na strike ya clinical officers na sasa hii si labour issue tena, ni full humanitarian disaster.
Huduma za afya zimeanguka vibaya. Patients wanalazimika kusafiri long distances kutafuta treatment ama...
Mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa kuishi zaidi ya miaka 20-40 pasipokushiriki mapenzi kwasababu anamtafsiri Mwanaume kama mtu wa kawaida kihisia na wala hashawishiki na uchi wa Mwanaume ikiwa anakubali basi ni kwa mapenzi ya kumhurumia Mwanaume anayemshawishi
Mwanamke anaweza kumpa Mwanaume...
Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
Salaam Wakuu,
Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo?
Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa?
Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk.
Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
Yaani anafanya anavyotaka.
Anateua watoto wake. Na ikibidi anakuwa anatembea nao kama alivyokuwa akifanya Idi Amin.
Anateua mashoga zake hata kama ni majambazi.
Duniani kote kiongozi kama huyu lazima aondolewe kwa nguvu za umma.
Mifano mizuri ni ule wa Misri na Tunisia 2010 na 2011...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56.
Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
Mimi nilikuwa Mfanyakazi kwenye kampuni ya Wachina inayojihusisha na michezo ya kubahatisha inaitwa BONANZA, ni kampuni maarufu sana na huenda ikawa ya kwanza kuingia nchini, nimefanya kazi takribani miaka 10 na bila mkataba wowote.
Niliahidiwa kusainishwa mkataba kila siku zinapoenda mwisho wa...
Anonymous
Thread
bila
kampuni
kazi
kazini
kosa
kupata
miaka
miaka 10
mkataba
stahiki
wachina
Wanabodi
Heri ya Pasaka!.
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya Leo!,
ila kabla ya kukupeleka kwenye makala, mimi pia kama Mtanzania, kwa mujibu wa ile Ibara ya 18 ya katiba, natoa maoni yangu.
Pasaka hii imetukuta, Watanzania tukiisubiria kwa shauku kubwa Ripoti ya...
Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda company lakini iwe ya muda mfupi tu, ukienda kumtembelea kaa nusu saa tembea, ukizidisha unamuona jinsi...
Wakati mwingine, watu unaowaamini wanaweza kuwa ndio wanaokuingiza kwenye matatizo makubwa maishani. Musa Makanga, mwendesha bodaboda wa zamani, anasimulia jinsi alivyosalitiwa na mtu ambaye alidhani ni rafiki yake.Jamaa Aliyetumikia Hukumu ya Maisha
Baada ya Kukutwa na Simu ZilizoibiwaMusa...
Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa.
Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
Anonymous
Thread
ajira
bila
mrefu
muda
muda mrefu
taasisi
tawa
vijana
watalii
Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea.
Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri.
mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani, pesa sio kila kitu… lakini ukweli usiosemwa mara nyingi ni kwamba pesa inatatua karibu asilimia 99% ya changamoto tunazokutana nazo. Ukikosa pesa kwenye dunia ya sasa, ni kama umejitenga na mfumo mzima wa maisha. Unakuwa kama unaishi pembeni ya dunia...
Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.