The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
NI DAWA INAYOTIBU BAWASIRI BILA UPASUAJI
BAWASIRI FLUD & BAWASIRI POWDER
⚫ Ni dawa asili iliyofanyiwa utafiti wa hali ya juu yenye uwezo wa kutibu aina zote za bawasiri yaani bawasiri ya nje na dawasiri ya ndani(internal and External hemorrhoids).
FAIDA AMBAZO MTUMIAJI HUPATA BAADA YA KUTUMIA...
Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku.
Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani kilomita 12, huku safari ya Kimara hadi Kivukoni/Gerezani ikiwa Tsh 750 na baada kupandishwa...
Tonsillitis ni ugonjwa unanisumbua karibu miaka 7 sasa ila currently zimefikia hatua mbaya.
Nikimeza dawa siponi na nikichoma sindano zinapoa kisha zinarudi tena.
Siwezi maliza mwezi au miezi miwili sijalala kitandani sababu ya tonsils.
Nishajaribu dawa za kienyeji za kukoroga mchanganyo...
Leo Mei 28, 2026 tunakumbuka miaka 13 tangu tasnia ya muziki wa Tanzania ilipopoteza kipaji cha kipekee—Albert Mangwair, msanii aliyekuwa na sauti ya kipekee na ubunifu uliovuka mipaka ya kawaida. Kifo chake kiliacha pengo kubwa katika ulimwengu wa muziki, lakini mchango wake unaendelea kuishi...
Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri...
Maana yake yangemuachia Lissu, kwakua Lissu yeye anachotaka ni KATIBA MPYA NA TUME HURU ambayo ndani yake inajali Kila Lilo la HAKI.
Alafu wakamuita LISSU , wakakaa naye Meza Moja, "Bwanaee tunaendelea na mchakato wa KATIBA Mpya wa Jaji Warioba)
Tume huru ya UCHAGUZI Mpya kuanzia Muundo...
Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa — matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha.
Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua:
👉 kasi ya ukuaji
👉 gharama ya chakula
👉 ubora wa nyama
👉 na mwisho wake… faida au hasara
Kama unataka ufugaji wa...
Mimi ni muathirika wa hali ya sasa katika taasisi ya TANAPA.
Nilifanya kazi moja, na ni miaka miwili sasa imepita bila kulipwa. Mbali na mimi, kuna mwenzangu analalamika kuwa mama yake alifanya kazi tangu mwaka jana akiwa bado hajastaafu, lakini mpaka sasa ni mwaka umepita tangu astaafu na...
Rais Denis Sassou Nguesso amesema kuwa uamuzi huo wa kufuta hitaji la visa kwa nchi yake utaanza rasmi 2027, ikiwa ni sehemu ya msisitizo na dhamira yake ya dhati kuelekea misingi ya Uafrika kwanza (Pan-Africanism).
“Kuanzia tarehe 1 Januari 2027, kuingia Jamhuri ya Kongo Brazzaville...
BAWASIRI NI NINI?
Bawasiri ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama/Uvimbe ambao ndio huitwa Bawasiri.
Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba...
Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo?
Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii
Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
28 Mei 2013 Msanii Maarufu enzi hizo wa Bongo Flavour alitutoka Duniani akiwa kwenye Matibabu huko nchini Afrika Kusini.
Wasanii wa Bongo Flavour wamejipangaje kumuenzi? Naona kimya sisikii watu wakimzungumzia namna ya kumuenzi mwaka huu wa 2026.
Kwangu Binafsi nitamkumbuka kwa nyimbo ya ni...
"Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri.
Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake!
Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari.
Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii inanifanya nisiwe na uhakika wa kazi, maana mwajiri anaweza kunisimamisha kazi muda wowote bila...
Anonymous
Thread
ajira
bila
haki
haki za wafanyakazi
mkataba
wafanyakazi
Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha.
Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake.
NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
Nani anamchanganya huyu mzee? Ni AI generated lakini hadi rais wa nchi kubwa hivi anapost? Tf?
Source: https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116591901587847680
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.