bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke, Ulisumbuliwa na Ugonjwa Gani ukawa unajitibu mwenyewe Bila Kujua Kuwa Chanzo ni Ujauzito Mchanga?

    Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga. Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
  2. JamiiForums Tanzania Usafirishaji mpya wa madawa ya kulevya bila meli kujua inasafirisha madawa.

    Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote. Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua . Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na...
  3. JamiiForums Tanzania Sir. Lewis Hamilton ameshinda Barcelona Grand Prix leo baada ya kupitisha races 45 bila kua kinara!

    Zimepita siku 708, au Grand Prix 45 tokea Sir Lewis Hamilton ashinde Grand Prix (P1). Ilikua ni Sikukuu ya 7, 7 2024 (British GP), akiwa na Mercedes Benz. Ila leo tarehe 14, June, 2026 amevunja mkosi kwa kushinda Barcelona GP. Hongereni team Ferrari.
  4. JamiiForums Tanzania Afariki dunia baada kurushwa bila kamba ya kumshikilia mchezo wa kujirusha daraja refu

    Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
  5. JamiiForums Tanzania Usinunue Tena Iphone Kwenye Box Bila Kujua Siri Hii , Utashangaa….

    Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used…. Je, Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo. ……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi siku AI ikajikomboa na kuanza kuishi kwa maamuzi yake wala bila kuzibitiwa ni nini kitatokea?

    Ni wazo ila ni kweli nazalia nyingi kama sinema na vitabu zinasema miaka ya huko mbele kwa vizazi vingine kutakuwa utawala ambao ni AI . Na unaweza kuwa na vita kubwa kati ya wanadamu na robot ambao mkuu wao ni AI. kuna vitabu vilitabili kama cha Darwin among the Machines cha mwaka 1863...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi wenzangu, mnafanyaje mnapobeti hamgusi fedha mlizoweka kama akiba?

    Eti Wakuu mnafanyaje? Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu. Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia nyumba

    Naomba niwasilishe taarifa hii tukiwa na uchungu mwingi kama familia, hapa tunapoandika ujumbe huu tunajiandaa nyumba yetu kubomolewa Jumamosi hii Juni 13, 2026. Sababu kubwa ikiwa ni dhuluma, mbinu chafu za baadhi ya maafisa wa ardhi kuhusu kiwanja na nyumba yetu iliyopo Mtaa wa Image, Kata...
  9. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumfukuza Said Issa Mohamed ulikuwa sahihi kwa mujibu wa katiba yao CHADEMA

    JMT! Hivi karibuni kumetokea Sintofahamu baada ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo machachari sheikh Said issa mohamedi kufukuzwa uanachama na chama chake kwa madai mbali mbali.. hatahivyo baada ya kufukuzwa ameibuka na kudai kuwa ana uhalali wa kuendelea kuwa mwanachama kwa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Toka nioe sijawahi fikisha wiki moja bila kudumbukiza nahisi kupungua uzito

    Ni miaka sita sasa toka niingie kwenye hii taasisi hivi nimepumzika ni siku mbili ya tatu mzigoni yaani imekuwa kama uraibu kiasi kwamba hata mke asipokuwa fiti nitatafuta ingine ya kuazima kwa muda hadi nahisi kupungua uzito Kiukweli najuta kubalehe! Wallahi najuta kuzijua izi starehe!! Vipi...
  11. JamiiForums Tanzania Bora tufikishane mbali potelea pote. Lakini huwezi nitandika Mbele za watu kisa wewe kiongozi bila Sheria kufuatwa

    BORA TUFIKISHANE MBALI POTELEA POTE. LAKINI HUWEZI NITANDIKA MBELE ZA WATU. KISA WEWE KIONGOZI BILA SHERIA KUFUATWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Watibeli sio kwamba Sisi ni wajeuri. Hapana. Sisi ni watu wa principles, watu wa kanuni. 2. Ukishakuwa mtu wa principles watu wengi...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
  14. JamiiForums Tanzania Bila Yuda hakuna ukombozi wa Dunia. Bila Yuda, Yesu asingekuwa Shujaa

    Hamjambo Wote! 1. Katika siasa za kiroho, Spiritual politics, Yuda iskariote, ambaye amebeba uhusika wa kumsaliti Yesu Mnazaethi, nje ya sifa zake nyingine. 2. Dhima ya Yuda duniani ilikuwa kuhakikisha ukombozi wa Dunia kupitia Yesu unakamilika. 3. Kumbuka Yesu ndiye alimchagua Yuda ili awe...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Sumu za kummaliza mtu bila ushahidi zinapatikana Russia!?

    Katika visa na Mikasa ya kijasusi nimesikia warusi Wana sumu kali ya kuwamaliza mahasimu wao ikiwemo wasaliti kwa sumu zisizokuwa na shaka
  16. JamiiForums Tanzania Trump: Bila mimi kusingekuwa na taifa linaloitwa Israel wakati huu

    https://x.com/MOSSADil/status/2062123748199649439?s=20
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara wa Shule za Msingi - Mbulu DC (Manyara) wanatulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu

    Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wa CRDB Morogoro Manispaa wanaibiwa fedha zao kwenye akaunti bila wao kujua

    Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
  19. T

    JamiiForums Tanzania CCM endeleeni kujidanganya- maridhiano bila Chadema ni kupoteza muda, chadema walisema no reform no election mkadharau, je uchaguzi ulifanyika?

    CCM ni sikio la kufa sasa hivi wanajidanganya eti wawatumie vyama vibaraka vyao kufanya maridhiano eti bila CHADEMA. Lakini wote tunakumbuka CHADEMA waliposema NO REFORM NO ELECTION watu wengi wa CCM na vyama vyao pandikizi waliwabeza sana na kuonesha kiburi kuwa uchaguzi utafanyika tu...
  20. JamiiForums Tanzania Ni muda nazama JF bila VPN. Kelele za US zimefanywa iachiwe nini?

    Zaidi ya wiki nateleza tu. Tumeachiwa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…