bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  2. Tatu Senkondo: Mwaka mmoja umepita bila kumwona mume wangu aliyechukuliwa na watu wasiojulikana

    Deogratius Mushi *** Ukiwa umepita mwaka mmoja tangu zilipotokea vurugu za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tatu Senkondo, mkazi wa Mbezi jijini Dar es Salaam, anaishi katika maumivu na sintofahamu kufuatia kutoweka kwa mumewe, Deogratius Mushi, aliyedaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana...
  3. Bila uwajibikaji ajali haziishi. Leo wamekufa Waziri yupo anacheza draft

    Tanzania bila viongozi kuwajibika ajali haziishi. Leo Iringa wamekufa Watu 20.. Hakuna kiongozi anayejali japo kutoa pole Samia Suluhu alitoa pole kwa Mtu mmoja alokufa huko Zimbabwe sijui Chivayo, Watanzania zaidi ya 20 wanakufa hatoi pole.. Anapamba kuona Mtanganyika Lissu anafunyongwa...
  4. Nyerere aliona mbali sana. Huwezi kuwa na shirikisho la sarafu bila kuwa na shirikisho la kisiasa. Akasitisha matumizi ya sarafu ya Afrika Mashariki.

    Huu ukweli Nyerere aliuona mbali sana. EU wanakuja kuuona wameishachelewa na inawatesa sana. Msikilize Nyerere. Aliongea haya 1966 "Kuna badiliko jingine kubwa linalotokea katika mambo ya uchumi wetu, ambalo linahusiana sana na maendeleo yetu. Kesho noti za fedha za Tanzania zitatolewa kwa mara...
  5. Hivi unawezaje kuvumilia kuwa kwenye ndoa bila unyumba/ tendo la ndoa (sexless marriage)?

    Ndoa bila UNYUNBA (Sexless marriage) ni ndoa ambayo wanandoa hushiriki tendo la ndoa mara chache sana kiasi kinachokadiriwa kuwa ni chini ya mara 10 kwa mwaka au mara (1) moja kwa mwezi. Sababu za Kawaida • Msongo wa Mawazo wa Kudumu na Kibiolojia. • Shinikizo la Maisha na Malezi • Mvutano wa...
  6. Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Wanabodi, Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS, Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
  7. Hapa bila ya rufaa, kuna ule wimbo ndoto za udaktari, kwisha habari

  8. Bila reforms, 2030 hakutakua na uchaguzi.

    Msimamo ni ule ule . Tunataka tukipiga kura ihesabiwe kwa aliyepigiwa. Tume huru ya uchaguzi, kukomesha uwizi wa kura. Hivyo basi, labda kama ccm imeamua kuik colonize inchi kama makaburu. Bila reforms kufanyika 2030 hakutokua na uchaguzi
  9. A

    KERO Watumishi wa Afya Njombe DC tunahamishwa bila kupewa stahiki zetu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto inayotukabili watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, ambapo DMO na Katibu wa Halmashauri wanafanya uhamisho wa watumishi mara kwa mara bila kuwalipa stahiki zinazotokana na uhamisho huo. Kwa mfano, mtumishi mwenye...
  10. Naona sio sawa kwa hawa waandishi kumhoji Werrason kwa kilingala na kifaransa bila mkalimani wakati wasikilisaji na watasamaji hawajui kabisa hizo lu

    Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza. https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2 https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
  11. G

    Facebook wanadai bila VPN huwezi KUFUNGUA jiandaeni soon inaweza kutokea na Jf pia Lisu anatetea uhuru wa maoni na habar

    Facebook imekuwa jukwaa kubwa la live update ya kesi ya Lisu Kwa muda mrefu . Leo Kuna malalamiko ya uzito wa KUINGIA huko bila VPN
  12. Bila kufungamana na siasa ya chama chochote, Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa HAKI, AMANI na UTU - nasimama na Lissu

    Bila kufungamana na siasa ya chama chochote Mimi binafsi kama msomi na Mtu ninayependa haki, Amani na utu nasimama na wewe Leo . with no any political affiliation , All the best Hon TAL 🤝
  13. Nimejaribu Kutengeneza CV Bure Kwa Simu Tu, Bila Word - Hivi Ndivyo Ilivyokuwa (GridPDF)

    Wadau, Kama umewahi kutuma CV kwenye Ajira Portal, BrighterMonday, Zoom Tanzania au kwenye email ya HR na usijibiwe kabisa, tatizo linaweza lisiwe sifa zako. Linaweza kuwa CV yako yenyewe. Wengi wetu tunatengeneza CV kwa Word, tunaweka picha, tunatumia table na rangi nyingi, tunafikiri...
  14. Haki za binadamu Tunahaki ya kuzisimamia kama nchi ndani bila kuingiliwa na nchi au vyombo vya kimataifa.

    Ila uchumi MIKOPO TOKA NJE SAWA EU, WORLD BANK, PEPFAR , US , CHINA, UAE 🤭🤭🤭
  15. Kama hujaolewa ni Marufuku kubeba mimba. Na ukibeba mimba bila ndoa utalea mwenyewe.

    KAMA HUJAOLEWA NI MARUFUKU KUBEBA MIMBA. NA UKIBEBA MIMBA BILA NDOA UNALETA MWENYEWE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Baba Mtemi! Mkicheka na nyani mtavuna mabua. Endeleeni kuchekea huu umalaya unaondelea mkifikiri ukikomaa mambo yatabaki yalivyo. Hayatabaki hivi yalivyo. Sheria itungwe...
  16. Wakuu, kuna ukweli wowote kuhusu tetesi za kufutwa kwa Sera ya Elimu Bila Malipo/Bila Ada?

    Habari, Nimeona kwenye Group la shule ya sekondari X Mkuu wa shule akiwaambia wazazi kuwa wajiandae mwakani hakutokuwa na Elimu bila malipo yaani wajiandae kulipia ada na michango mingine ndani ya shule Je, kuna yeyote mwenye taarifa rasmi au ushahidi kutoka wizara ya elimu kama kuna mpango...
  17. Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
  18. Kuna watu wana mioyo ya chuma! Jamaa amemaliza miaka 28 akitembea kwa miguu duniani kote bila kupanda boti wala ndege

    Alikamatwa Darien Gap, akakutana na Dubu Siberia, kaogelea hadi Uingereza: Huyu ndiye Karl Bushby, mtu mwenye uthubutu mkubwa zaidi duniani! Je, unaweza kuvumilia miaka 28 ukiwa mbali na familia kwa ajili ya ndoto yako? Fahamu kisa cha Karl Bushby, mtu aliyetembea kwa miguu kutoka Chile hadi...
  19. Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  20. O

    Taharuki Riruta: Nyufa Kubwa Zaibuka Kwenye Jengo la Ghorofa 10, Wapangaji Walazimika Kukaa Nje Bila Mali Zao

    Juma hili, hofu na taharuki zilitanda katika mtaa wa Riruta (Kibiria Road) jijini Nairobi baada ya nyufa kubwa za kimuundo kuibuka kwenye jengo la kisasa la ghorofa 10 linalokaliwa na takriban familia 95. Ingawa jengo hilo halijaporomoka, mamlaka za Serikali ya Kaunti ya Nairobi na timu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…