biashara

  1. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wa Huduma za Posta ili Kuwezesha Biashara Mtandao (Electronic Commerce) Kuendana na Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia

    A: Utangulizi: Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
  3. JamiiForums Tanzania Tulizoea biashara ya ukahaba kufanyika baa lakini sehemu nyingine hatari zaidi ni kwenye saluni

    Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto hawalelewi vema mama zao wanawahi kudanga. Je hakuna namna serikali ikakomesha jambo hili?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  5. JamiiForums Tanzania FURSA YA BIASHARA.....

    Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi. Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach yao. Jamaa ndo anahusika na oda zote zinatoka kwa kawateja, wao hawauzi dukani, ni watu wenye maduka...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu biashara ya nyumba (AirBnB)

    Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre. Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani sana biashara ya kudaka mitumba na kuitembeza mtaani!

    Wakuu nisaidieni kunipa mbinu,nina ka mtaji kama laki hivi nataka daka mitumba kadhaa na kupita nayo kitaa kuizungusha, Mm ni mgeni mwanza ila nataka hii iwe starting point yangu ya kuijua mwanza, ni eneo gani zuri nitapata hii mitumba na je ni sehem zipi nzuri naweza tembea mitumba yangu...
  8. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kubadili TIN number ya kawaida kuwa ya biashara

    Habari wakuu, naombeni msaada, nahitaji kubadilisha TIN number ya kawaida kuwa ya biashara online, kwa aijili ya chombo cha moto aka bajaj, sasa huku online naona mapichapicha tu nimefika level ya business location sasa hapo mtihani. au sio lazima kujaza vipengele vyote?
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kuna biashara haramu ya utoaji wa vibali vya uagizaji wa Sukari nchini. Siku nikitaja majina mtashangaa

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kuna mchezo haramu unafanyika kwenye utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nchini, na kama wahusika watabisha (watakanusha) tuhuma hizi basi atawataja hadharani. "Kuna biashara inafanyika na mimi nitataja majina mtashangaa, kuna siku nitataja...
  10. JamiiForums Tanzania Badoo ni danguro rasmi la biashara ya umalaya Tanzania.

    Asilimia kubwa ya wanamke wanaotumia mitandao hii, Match.com, Eharmony, Plenty of Fish, OkCupid, Bumble, Hingem Tinder, EliteSingles, Happn, Grindir, Tinder na Badoo wanafanya ukahaba na kiwango kikubwa cha wanaume ambao wapo na programu hizi kwenye simu zao wanatafuta makahaba. Mwezi ulioisha...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu Tofauti kati ya Jina la Biashara na Kampuni

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mko salama na mnaendelea na shughuli mbalimbali za Ujenzi wa Taifa.Wakati ninapofanya kazi na watu ya kusimamia mchakato waowa usajili wa Kampuni na majina ya biashara huwa ninakutana na maswali mbalimbali kuhusu tofauti iliyoko kati ya Jina la...
  12. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya Afrika na Utajiri wa Mansa Musa na Biashara ya Dhahabu katika Karne ya 14 na 15

    HISTORIA Mansa Musa, ambaye alikuwa mtawala maarufu wa Dola ya Mali kati ya karne ya 14 na ya 15, alikuwa mwenye utajiri mwingi sana na anajulikana kwa utajiri wake mkubwa wa dhahabu. Utajiri wake mkubwa ulitokana na utawala wa eneo lenye rasilimali nyingi na biashara ya dhahabu.Eneo la Dola ya...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao

    Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu muhimu navyotaka kujua 1. Bei ya chainsaw 2. Bei za miti 3. Bei za wachananji/fundi 4.Bei za mbao...
  14. JamiiForums Tanzania Kanye West kuanza biashara ya video za ngono hivi karibuni

    Rapper Kanye West ana mpango wa kujiingiza kwenye biashara ya ndoto zake ambayo ni kurekodi watu wakifanya mapenzi mbele ya camera. Tayari mambo za studio zinaendelea na kwenye hio brand yake tayari mkewe Bianca kuna picha za uchi kaanza kuzipiga. Ameshaongea na storm Daniel producer mzoefu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  16. JamiiForums Tanzania Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja. Mambo ya customer care, location, research, demand and suply watakazokuambia humu hazina nguvu huku mtaani ziache...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya lodge

    Nataka kunadilisha nyumba ya kupanga iliyopo Dodoma karibu na chuo Cha mipango kuwa lodge.. Ushauri wenu na namba nzuri ya kufanya
  18. JamiiForums Tanzania Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

    Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja -Kuwashusha wateja katikati ya safari na kudai hawafiki hadi mwisho kwasababu watakosa abiria...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

    Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni; 1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa 2. Nawezaje kupata mfumo wa betting 3. Leseni yake inapatikanaje 4...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…