Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
Salaam,Shalom!!
Twende haraka kwenye mada, biashara ya Michezo ya kubahatisha Kwa sasa imetapakaa Nchi nzima Hadi vijijini, na sijawahi kushuhudia wahusika wakifunga biashara hizo Kwa kufilisika,
Betting haihitaji gharama kubwa katika uwekezaji, akishanunua mashine na kujenga ofisi hapo hapo...
Bei ya Hisense smart tv
32" - 380,000
40" - 580,000
43"- 650,000
50" - 899,000
55"- 1000,000
58"- 1,200,000
Warranty mwaka mmoja (miezi 12)
Tv mpya dukani karibuni, location Mwenge.
WhatsApp number 0753430357
Ndugu zangu ,
Naitwa BOAZ SIMON BIGARAGU
Niko iringa kwa sasa naomba kushare ujuzi wangu kwenu juu ya biashara ninayoifanya ya kuuza mifumo simamizi ya uendeshaji wa shule.
Nina mifumo ya simamizi ya shule ya aina mbili, ninayo school management system kwa upande wa secondary na kwa upande wa...
Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :-
Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale.
Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani )
Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa...
1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula
2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile...
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha yake pmj na kufungua min market na barbershop kwenye jengo moja ,,, yaani ndni ya barbar shop Hakuna...
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
guest-1788672427
Thread
biashara
dar
kufungua
kutoka
mtaji
mwanza
n.k
naweza
samaki
samaki wabichi
Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto.
Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc.
Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara.
Sababu kuu ni hii hapa chini:
Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Kukosa muda imekuwa ndiyo kisingizio kikuu cha wale walio kwenye ajira na hawajawa na biashara.
Unakuta mtu yupo kwenye ajira, ambayo inampa kipato kidogo na kisichotosheleza, lakini pia hana biashara ya pembeni ambayo ingeweza kumwongezea kipato.
Ukimshauri afanye...
Wasalaam
Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu.
Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
UTANGULIZI
Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
A: Utangulizi:
Tanzania imefanikiwa kupata fursa ya kuwa mwenyeji wa Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (Pan African Postal Union - PAPU) jijini Arusha, ambapo hatua hii inategemewa kuchagiza maendeleo ya huduma za posta nchini na barani Afrika kwa ujumla. Katika maendeleo ya sayansi na...
Ukahaba mwingine umeibukia kwenye masaluni ya wanawake wanakaa hapo wanajuwa ni rahisi kuonekana. Mambo haya yanachangiwa na maadili mabovu yani hata inapelekea watoto kutopata malezi bora watoto hawalelewi vema mama zao wanawahi kudanga. Je hakuna namna serikali ikakomesha jambo hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.