biashara

  1. tamsana

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

    Kazi iendelee! Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS. Sijui nini...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ngono na mazao ni biashara ya kubadilishana, yaani batter trade ya vijijini hivi sasa

    Kuna wimbi kubwa ya biashara haramu ya ngono vijijini hivi sasa. Biashara hii ni mpya kabisa kutokea sio kama inayofanyika mjini. Wadada wanakuja vijijini ,hasa wakati wa mavuno ,wanaweka kambi kwa kupanga vyumba hivi hivi vya tembe. Kisha wanaanza biashara ya kubadilisha . Iko hivi ,kule...
  3. Joshua Deus

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi unavyoweza kumudu kukabiliana na soko lenye ushindani

    Mfanya biashara ni mtu anaye fanya biashara kwa lengo la kupata faida kusudi kuu Ni kukuza kipato chake kwa Mahitaji yake Wengi hunzisha biashara zenye ushinda katika maeneo ambayo watu wengine wanafanya biashara Kama yake ,Hii inapelekea watu wengi wanapo anzisha biashara zao kushindwa na...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo wanalima mazao ya biashara Kama korosho, mbaazi, na tumbaku wanasema mama aongoze hii nchi till she dies

    Jamani nimejitahidi Sana kuzungukia mikoa Kama mtwara, tabora, singida. Nimekuta watu wanamsifu Sana mama kwa masoko ya uhakika kwa mazao hayo tofauti na mwendazake ambaye aliolua masoko kabisa. Wanasema mama for presidency forever
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

    Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate) Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Biashara imenishinda, nimerudisha fremu ya watu

    Hizi biashara bana, zinahitaji commitment ya hali ya juu sana, nawapongeza sana watu wote mliofanikiwa katika biashara. Mimi sijui nilikosea wapi aisee, maana duka lilikuwa na mtaji wa around 10m, sasa hivi limebaki na 3.2m nimeamua kuuza bidhaa kwa bei ya jumla na kulifunga tu hilo duka...
  7. Hamadee

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

    HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu ndiyo nataka kuanza hii biashara
  8. Bexb

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kusajili kampuni na nembo za biashara? Nipigie

    Habari ya jioni wakuu. Endapo unahitaji: 1. Kusajili kampuni, 2. Jina la biashara 3. Alama/nembo za biashara 4. Kufuatilia kibali BoT kwa ajili ya kampuni za kukopesha 5. Nk usisite kunicheki nitakusaidia. 🔥Kampuni ni ndani ya SIKU 3 TU 🔥Business name ni MASAA 24 TU. Huduma zangu ni uhakika...
  9. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nipande ndege nikasome PhD au Nikomae na biashara yangu?

    Haloo is me "Mr. Liverpool" again. Baada ya salamu, hebu tuingie kwenye hoja.. INTRODUCTION Mimi ni kijana mwenye miaka 32. Elimu yangu ni Masters ya mambo ya biashara. Ni mwajiriwa wa Halmashauri moja wapo hapa nchini. Mimi ni baba wa watoto wawili (kila mmoja na mama ake). Wanangu huishi na...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bar

    Habari wana JF. Nimekuwa nikifanya biashara ya grocery kwa mda sasa sema changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni wingi wa madeni(nadai wateja), sasa nikawa nafikiria pengine nikihama eneo na kujipanua nikaanzisha Bar ya kawaida maybe ntakuwa nimesolve hii ishu ya kukopwa sana. Kama kuna mtu ana...
  11. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Ufanyeje Unapokuwa Umekosea katika Biashara?

    Habari za wakati huu; Katika biashara kuna kukosea.Hii ni kama ilivyo katikamaisha ya kawaida.Kukosea ni sehemu ya ubinadamu.Kila kosa huwa lina gharama na matokeo.Haya yanaweza kuwa mabaya sana au ya wastani.Katik biashara makosa huweza kupelekea hasara katika biashara,kupoteza mteja na hata...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Biashara, Fedha na Uwekezaji vifundishwe Shuleni Kwa vitendo nadharia hatufikishi kwenye matokeo

    1. Kidato cha kwanza mpaka cha nne Elimu ya biashara, uwekezaji na fedha itolewe kwa nadharia 2. Kidato cha tano na sita Elimu ya biashara na uwekezaji na fedha itolewe kwa vitendo walau asilimia 10 ya ada itumiwe na wanafunzi kubuni au kuwekeza kwe biashara kwa vitendo... 3. Chuo 20% ya Alama...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wadau wa biashara waiomba serikali kutoipa TICTS mkataba mpya

    WADAU wa sekta za biashara na usafirishaji wameitaka serikali kutoipa kampuni ya TICTS mkataba mpya wa kuendesha eneo la kontena la bandari ya Dar es Salaam kwa kuwa limeshindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo kwa asilimia 37 kwa mwaka na kushindwa kuwekeza kwenye miundombinu ya...
  14. Mshuza2

    JamiiForums Tanzania Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

    Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini) Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
  15. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kununua eneo aanze kuchimba Dhahabu

    Habari za muda huu wadau wa JF? Naomba msaada hapa. Nina rafiki mmoja ameniomba msaada anataka kununua eneo kwa ajili ya uchimbaji wa dhahabu. Anapendelea zaidi Geita na maeneo ya Dutwa (kwa kifupi kanda ya ziwa kwa ujumla) Pia anaomba kujua Gharama za Upimaji wa eneo husika kujua kiwango...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, mimi ni mwajiriwa, ili niweze kuacha kazi

    Wakuu habari. Nimepata milioni 30, mnanishauri nifanye biashara gani, nimechoka kufanya kazi, nataka kujiajiri Nawasilisha
  17. More Chances

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kike VS vipodozi

    Habari wana jamii Ipi ni biashara rahisi kuendesha na inalipa kwa haraka kati ya hizo mbili tajwa hapo juu Pia zipi ni mbinu muhimu katika kufaulu biashara hizo Pia vip kuhusu Location zake sahihi
  18. M

    JamiiForums Tanzania mfumo wa mauzo kwa biashara yako kwa bei nafuu

    Habarini kwa mara ingine tena, Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
  19. Senior masai

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna dawa za biashara?

    Here comes, Waungwana kuna hili swala la kufanya biashara iende smoothie,, kuna rafki yangu kanishauri swala la kwenda kwa baadhi ya mashekhe ili tukapatiwe dawa kwa ajili ya biashara iende vema. Sikufanikiwa kukubali ila yeye alienda na akaanza biashara yenyewe ikaenda vizuri miezi miwili...
  20. Abdul Ghafur

    JamiiForums Tanzania Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

    Abraar (waja wema) Asalaam Alaikum. Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment)...
Back
Top Bottom