biashara

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  2. Ibrason

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara kwa laki tano(6)

    Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo. Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es salaam Natafuta mtu tunayeweza kuingia naye ubia katika biashara hii itakayogharimu Tsh 500,000...
  3. Glady michael

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nini kifanyike katika kuinua uchumi katika biashara yako?

    Makala yangu imejikita zaidi katika kuelezea makosa ambayo hufanywa na wafanyabiashara wengi na hata watu ambao huanza kupanga kufanya biashara. Makosa hayo hufanya watu kudidimia Baraka ya kufanikiwa. Je nini kifanyike? Tutaona mbinu, njia, au mwongozo ambao ni muhimu kufuata ili ufanikiwe...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ipi ni biashara nzuri kati ya hizi?

    Habari za usiku huu ndugu zangu. Nina mawazo juu ya biashara aina tatu 1. Vifaa vya umeme mfano nyaya, sockets, extensions nk 2. Vifaa vya simu mfano screens, protectors,covers, chargers nk 3. Pipi au peremende/candy,biscuits za bei ya jumla na rejareja. Naomba kwa uzoefu wenu nifanye biashara...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Lipia 130,000/- TU! Anza Biashara - Utalii

    Lipia 130,000/- Tu! Uaanze Biashara ya bidhaa za kitalii Unapata bidhaa hizi zote ukaanze biashara. Kwa retail price hizi bidhaa zinathamani ya zaidi 260,000/- lakini utalipia 130K Tu! Location: Iringa Delivery: All regions Call: +255 658 700 510
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

    Habari za jioni Ndugu zangu, Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
  7. Mr sule

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 ya kuzingatia katika biashara

    Biashara ni shughuli ya kujipatia riziki au kupata pesa kwa kuzalisha au kununua na kuuza bidhaa. Pia ni "shughuli au biashara yoyote ilifanyika kuzalisha faida. Kuna aina mbili za biashara. Biashara ya kuuza bidhaa na biashara ya kuuza huduma. Twenda moja kwenye mada, mambo gani yanafanya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Danguro jipya laibuka Mbezi Mwisho, wapangaji wahamishwa kupisha biashara

    Wakuu Kwa sasa hili jiji la Dar kila kona hali imeharibika, biashara ya ukahaba imekithiri kwelikweli mpaka kwenye maeneo ambayo hayakufikirika kama siku moja kunaweza kuwa na danguro Madanguro yanaota kama uyoga kila siku na wenye mamlaka wamekaa kimya as if haya madanguro hayaonekani, hii ni...
  9. malibiladaftari

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie mfumo wa kijiditali wa kuendesha biashara yako

    Karibu tuongee. Jiunge na mjadala wa kuendesha biashara yako kwa mfumo wa digital kupitia smartphone yako kiganjani. Sisi hapa tunatoa application ya simu inayosaidia wafanyabiashara kutunza rekodi zao za biashara kupitia simu Kwa mawasiliano zaidi tuma email kupitia service@hesabu.app...
  10. Mr HQ

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza suruali za mtumba

    Ndugu Zangu Nimeanza Kufanya Biashara Ya Kuuza Suruali za Mtumba Kutoka Dar Naenda Kuuza Moro - Dodoma. Naombeni Mawazo ya Kukuza Biashara Yangu Kwa Wazoefu Wa Hii Kazi.🙏🙏🙏 Niwe Nafanya Nini Au Niongeze Nguo Za Aina Gani Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Naombeni Maoni Yenu Wadau.🙏🙏🙏
  11. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwenu biashara zinakwendaje?

    Ndugu zangu Wajasiriamali, wafanyabiashara vipi hali za biashara huko kwenu zikoje? Kadri siku zinavokwenda naona maluweluwe biashara inazidi kuwa ngumu halafu ukicheki unatakiwa ulipe kodi ya pango, huku TRA wanataka kodi zao, mara manispaa wanakagua leseni hujakaa vizuri watu wa taka na fire...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wazo la biashara bila mtaji, ni sawa na ndoto

    Wapo watu wanajivunia kuwa na mawazo ya biashara ila hawana mitaji; ukiomba wakushirikishe wazo lao, wanakataa wakihisi unaweza kuchukua wazo lao na kulifanyia kazi. Unakuta miaka nenda rudi, mpaka anakuwa mzee bado yuko na wazo lake tu, na hataki kushirikisha watu ili lifanyiwe utekelezaji...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Biashara itakayobadilisha maisha yako baada ya kuchukua maamuzi ya kuifanya

    Vijana wengi wame kua wakitoa malalamiko mengi kuhusu kukosa ajira hasa kwa wale walio hitimu elimu zao za juu. Ukweli wa jambo hili ni asilimia zaidi ya 95% vijana kukosa ajira hasa kwa inchi kama Tanzania Ujasiriamali.. Nini maana ya Ujasiriamali? Ni kitendo cha kubuni bidhaa ya kipekee na...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ndogondogo Kariakoo

    Habari za kushinda wana JF Nilikua naomba kuuliza wale wanaofanya biashara Kariakoo kama vile viatu, nguo, vitengee na urembo katika soko la Kariakoo. Wanapataje patajee mali je ni Cash au Mali kauli. Anaefahamu Nisaidieeen🙏🙏
  16. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Tupe uzoefu wako juu ya biashara

    Binafsi nimekaa chini nikafikilia nimeona biashara ya mavazi ni biashara nzuri mno mno mno Sana hasa ukiwa unachukua kutoka kwa wazalishaji (kiwandani) unakuja kuuza Kama retailer utapiga supernormal profit. Wewe kwa upande wako juu ya uzoefu wa biashara ni upi? Ni biashara gani nzuri unaikubali?
  17. G

    JamiiForums Tanzania Tusapotiane kwenye kazi na biashara zetu

    Napenda kuuliza kwann kila Biashara inayo tangazwa umu ina krashiwa ___________________ Watu wengi wamekua wakiwakatisha tamaa wafanya Biashara unakuta mtu anatangaz biashar yake na mtu anakoment kwa miemuko bila kujal kama ile ni kaz ya mtu kuna watu wapo umu ndan kwa ajili ya kukosoa na...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Julai 30: Siku ya Kimataifa ya Kupinga Biashara ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Usafirishaji Haramu wa Binadamu unatajwa kuwa janga linaloendelea kukua, hususan kwa Wanawake na Wasichana ambao ni wahanga wakubwa Mapigano, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Umasikini na Ukosefu wa Usawa vimeacha Mamilioni ya watu bila matumaini. Wanaofanya Biashara hii haramu wanatumia changamoto...
  19. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unavyoweza kutumia mshahara wako kujikwamua kimaisha

    Wapo watu wanaowakejeli waajiriwa wanadai eti kama "Mtu asiye na Elimu anaweza kuosha Magari mtaani na akaweza kukuza kipato” kuna sababu gani ya kuishi Maisha magumu Kazini au Ofisini ? Upo Ukweli wa namna Fulani katika kauli hii kwakua wafanyakazi wengi wanaishi Maisha ya Ukata, kazi yao...
  20. system hacker

    JamiiForums Tanzania Usifunge biashara, ukiona hali sio nzuri tuwasiliane kwanza

    Naendelea kuwakumbusha wapambanaji kwenye uwanja wa biashara. Usifunge biashara. Ukiona hali ni tete tuwasiliane kwanza kwenye email: dodomadaressalaam@gmail.com Pia, wale wenye ujuzi uliotukuka kuhusu masuala ya biashara bado tunaendelea kujenga Team zetu ili tuendelee kucheza kwa ufanisi...
Back
Top Bottom