biashara

  1. JamiiForums Tanzania Usiufate Moyo sana hasa linapokuja swala la Biashara na Utafutaji

    Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake. Nimewahi na nitaendelea kusema unapofanya biashara au unapotaka kuanzisha biashara fata au angalia moyo wako unapenda...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Mawazo ya biashara hapa(hasa kwa wajasiliamali)

    PATA MAWAZO YA BIASHARA HAPA(HASA KWA WAJASILIAMALI). Andiko la leo, nitaongelea kuhusu biashara mbalimbali ambazo mtu mwenye mtaji uwe mkubwa au mdogo anaweza kuwekeza. Hivyo jongea katika huu ukurasa upate au uongeze maarifa juu ya biashara mbalimbali. Nitaanza kwa kuorodhesha biashara hizo...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Gullam Dewji alikataa full scholarship ya kusoma MIT baada ya kuongoza shule IST mwaka 2007 sababu akafunzwe kuendesha biashara zao India

    Habari wadau. Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu. Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST. Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara unahitajika haraka

    Naomba kujua, ni mtaji unaoanzia sh. ngapi unahitajika kwa mfanyabiashara mdogo wa duka la matumizi aliyepanga katika frame anatikiwa kulipa kiasi gani cha kodi TRA? Napenda kujua, ni mtaji kiasi gani ambo mtu anakiwa kuanza kulipa kodi TRA? Ufafanuzi: Duka hili lina mtaji siyo chini ya Mil...
  5. JamiiForums Tanzania Je, naweza kusajili jina la biashara na nisianze kupeleka kodi TRA?

    Mawazo yenu wakuu, yaani nataka tu kuweka security kwenye Jina la biashara yangu hapo baadae ntakapo ianza rasmi. Lakin nmeona moja ya vitu vinavyohitajika ili kusajili jina la biashara ni TIN namba. Sasa nahofia naweza kuingia kwenye sakata la kodi ya mapato mapema wakat biashara bado...
  6. JamiiForums Tanzania Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

    Hata bila ya kuchunguza kwa kina, ukitazama kijuujuu tu utaelewa kuwa vituo vya kulelea Yatima ni biashara ya kujipatia kipato wanaoendesha vituo hivyo. Vituo vyote vya Yatima vina asilimia 1 au 0 ya yatima kweli. Vingi vimejaa watoto waliopatikana kwa njia haramu (watoto wa zinaa na...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Imarisha biashara yako

    FAHAMU JINSI YA KUTAFUTA SOKO NA MASOKO. Utangulizi: Kuwafundisha washiriki wote kufikiri ki- masoko na kuelewa baadhi ya mbinu za masoko kitu ambacho kitawafanya waelewe maana ya maneno “soko na masoko” pia utafiti wa soko na kuyafanyia kazi katika biashara/miradi yao. Soko ni nini? Soko...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

    Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache) - Kama Kuna ubora...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na biashara hii, ni ya kweli au utapeli?

    Wakuu kwema? Kuna jamaa yangu aliniambia kuhusu ku trade instruments(mfano gold, oil, bitcoins, stocks, currency) kama inavyokuwa kwenye forex, ila hii inafanyika kwenye platform inayoitwa MTFE. Kwenye hii kitu kuna group lao, mtu anawatumia signal ya ku buy au ku sell na wao wanafanya tu na...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali wekeni tozo kwenye vifaa vya upako

    SERIKALI WEKENI TOZO KWENYE VIFAA VYA UPAKO Napenda kuishauri serikali kupitia mamlaka ya mapato tanzania kuweka tozo kwenye biashara ya vifaa vya upako inayofanyika kwenye makanisa baadhi ya kilokole,siku za karibuni kumezuka biashara yenye kuingiza mabilioni ya pesa inayofanywa na baadhi ya...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Udhibiti wa taka ngumu ngazi ya kaya, maeneo ya biashara na uzalishaji katika usimamizi wa mazingira

    Utangulizi` Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa sana katika uzalishaji wa taka ikiwemo taka ngumu na aina mbalimbali za taka katika mazingira. Taka...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  13. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri. Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
  14. JamiiForums Tanzania Biashara inayoweza kukutoa ni ile inayokupa faida ya Tsh. 50,000 na kuendelea kwa siku

    Mpaka sasa nipo katika biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nina uzoefu kiasi chake ila nilichojifunza cha kwanza elimu inahitaji Sana katika ufanyaji wa biashara. Kuna umuhimu mkubwa hata Serikali kuanzisha mitaala ili watu wapate elimu juu somo hili. Biashara nyingi bado nazoziona hasa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini biashara nyingi hazifikii malengo(hufa mapema)

    Watu wengi wanapo anzisha biashara huwa kuna baadhi ya mambo wanazingatia mfano; -wateja -Gharama za uendeshaji -jinsi ya kukuza thamani ya bidhaa katika biashara n.k # Lakini husahau kitu cha msingi Sana katika biashara ambacho ni namna ya kusimamia mzunguko au ktiririko wa fedha katika...
  16. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo biashara anzia Sokoni

    KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI. Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushirikishwaji, fursa za kilimo ni biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote yanategemea namna anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini. Wakati maarifa yanaambatana na teknolojia iliyopo, Imani ni maono ya fikra za dini, falsafa ama itikadi. Kwa kuwa binadamu haishi pekee, bali ndani ya makundi yenye mamlaka na dhamana ya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilichagua kusoma, akachagua biashara, nikaenda kumkopa pesa akanishauri nifanye biashara, leo nimemuajiri ananiomba nimsaidie akasome!

    Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii. Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae Mido tulikuwa ni watoto wa mfano sana kijijini kwetu tulipokulia, wazazi wangu na wazazi wa Mido...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

    Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…