Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri
Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda...
Habari wakuu,
Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu ambavyo vinachangia kufanya vizuri kwa bidhaa yako(kupata wateja) ni pamoja na:
1) Brand name hii...
Wakuu a-saamu aleykum...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina mpango wa kuwekeza kwenye biashara ya bodaboda. Nipeni ushauri, aina gani ya pikipiki ni nzuri, ntapataje dereva na kwa siku ataniletea kiasi gani..
Mtaji mil 6.5
Maeneo Arusha Mjini
Nitangulize shukrani🙏
Hello Wadau,
Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri.
Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki.
====
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
Hello,
Hii biashara imeanza tangu zamani sana, ndiyo imefahamika kama Slave trade.
Kuna kitabu kaandika Robert Kiyosaki anasema katika maelezo yake "The High Paid Slave is Still A Slave."
Kuuza watu kwa namna moja au nyingine ni aina ya utumwa, au kumuuza mtu kwa yeye kutaka kipato na wewe...
Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii?
Ukizingatia yafatayo
1. Makato nafuu
2. Huduma nzuri za kiofisi
3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k.
4. Smooth transactions
Share your experience kuhusu good services ulizowahi kuzipata katika bank fulani.
Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu.
Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa.
Kwa mujibu...
Natafuta business partner tufungue kijiwe cha kuosha magari hapa mjini Dar es Salaam. Mimi nina Pressure pump na vaccum cleaner.
Tuchange fedha tupate eneo tuanze mdogo mdogo, aliye tayari au mwenye mawazo zaidi nakaribisha maoni
Au nichek hapa 0685875749
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo ana hakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe afanye hiyo Biashara mwenyewe; (faida watagawana kwa makubaliano)
Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Napita Kinyerezi watu na ndoo kichwani. Nauliza vipi naambiwa mara ya mwisho maji yalitoka January hadi Leo tar 5 March 2023 hayajatoka.
Maboza yanakimbizana njiani kupelekea watu maji majumbani kwao, nimeuliza wanauza maji shilingi ngapi? Naambiwa wanaanzia kuuza lita 2,000 kwa shilingi 30,000...
Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha.
Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani (UTW) Mhe. Hawa Mchafu ameambatana na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Right Center - LHRC) Wakili Anna Henga; Mbunge Jimbo la Bagamoyo Mhe. Muharami Mkenge; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bagamoyo Mhe. Mohamed Usinga na...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unaposoma andiko hili na mengine ninayoandika utapata hamasa ya kuingia katika biashara na uwekezaji wa aina tofauti.
Leo nimeleta mjadala mdogo tu unaohusu Modeli ya biashara.Kuna miundo ya B2B na B2C ambapo B2B ni Business to Business na B2C ni...
Habari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer.
Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara...
Benki ya biashara ya Akiba (ACB) imeburuzwa mahakamani na mteja wake, Aisha Abubakar Hassan baada ya hati yake ya nyumba aliyoiweka dhamana ya mkopo kupotea.
Kwa mujibu wa hati ya madai aliyofungua Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mfanyabiashara huyo wa vipodozi alichukua mkopo wa Sh30...
Huu si utapeli huu.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali.
Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke.
Mwezi uliopita nilienda kumtembelea...
🔹Audio Card readers za watoto
-: Hizi unachomeka kadi yenye pande mbili kisha inatamka hilo neno la kiingereza na pia hutoa milio ya wanyama, ndege nk
-: Ina maneno zaidi ya 200 na inakaa na chaji na inakuja na usb yake ya kuchajia pia ina nyimbo ya alphabets
Bei 28,000 Tsh
🔹Bidhaa ya pili ni...
Wandugu habari za siku,
Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.