biashara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wamiliki huharibiwa biashara zao na wafanyakazi wao

    Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika. Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either kwa bahati mbaya (makosa ya kibinadamu) au kwa kukusudia. Makosa ya kukusudia huwa wanafanya kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  3. JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Bugando hamuwaoni Manesi wanaoacha kuhudumia Wagonjwa na kuwa bize na Biashara kwa Wajawazito?

    Hospitali ya Rufaa ya Bugando iliyopo Jijini Mwanza ni moja ya Hospitali tegemezi zaidi kwa ukanda huu wa Ziwa na hata kwa mataifa ya Afrika Mashariki kutokana na namna walivyojipambanua kuwa wabobezi katika matibabu mazuri kwa binadamu. Ni jambo ambalo wakazi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa...
  5. JamiiForums Tanzania Wajasiliamali tupeane uzoefu wa biashara

    Wajasiliamali tuambizane unafanya biashara gani saizi, ulianza na mtaji wa kiasi ngapi? Na sasa uko wapi kibiashara? Ili na wengine tupate picha wapi
  6. JamiiForums Tanzania Biharamulo: Picha ya mtoto akisomea kwenye taa za barabarani

    Picha inasambaa kama moto wa kifuu Africa na duniani ikimuonesha mtoto mmoja mpenda shule akipigia msuli kwenye taa za barabarani hivi majuzi huku akiwa amevalia tisheti ya timu ya taifa ya Tanzania (taifa stars). Barabara hiyo ambayo haiko busy sana imewekewa taa za barabarani hivi karibuni...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Madiwani Tunduma wabebeshwa lawama za kuua biashara

    08 April 2023 Tunduma, Tanzania BARAZA LA MADIWANI TUNDUMA LAWAMANI KWA KUUA UCHUMI Baraza la Madiwani linaloongozwa na CCM la mji wa Tunduma walaumiwa kuua mzunguko wa biashara na uchumi wa wananchi ktk mji wa Tunduma na matokeo yake sasa wafanyabiashara wanakwepa kununua mizigo ktk mji huo...
  8. JamiiForums Tanzania Biashara gani inalipa kwa huu mwaka 2023?

    Leteni idea, mimi naona biashara ya mazao inalipa. Vipi mnaonaje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post. swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M. Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na kutoka kwa experienced dealers. Sipo hapa kununua au kutafuta dhahabu maana sio sehemu sahihi. asanteni
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mfungo vyakula vinapanda bei, biashara ya pombe, kitimoto na gesti ngumu. Hii ina tafsiri gani?

    Ebu tuelimishane, Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei? Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo? Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu maana si watu hawali chakula. Na kwa biashara za bar na kitimoto ziendelee kama kawaida maana...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya madini

    Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na hasara zake ni zip ?? Msaada tafadhari hiki hapo chini ndio hicho kifaa nimejaribu kukidownlos
  12. JamiiForums Tanzania Wanachuo kwanini mnaongoza kufanya biashara ya ngono nini tatizo?

    Huwa nashindwa kuelewa hii ni kwasababu gani? biashara ya NGONO imetawala vyuoni ukimwi vyuoni dah ni balaa zito. Nini tatizo na nini chanzo mnategemewa kusema mnatafuta pesa za kutunza familia au ni vipi? Emu lete sababu tuwasaidie. Maana asilimia kubwa wanachuo wote ni watoto japo wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanalalamika biashara ya usafirishaji ni hasara ila kila siku wanazidi kuleta magari

    Bila salamu, Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine. Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

    Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote mbili ya Pilot Ndio ilifia pale form four, Hii nyingine nayo iliendelea vyema kbsa hadi ilipokuja...
  16. JamiiForums Tanzania Series ya gold mafia inasikitisha sana. Sasa naelewa vyema kwanini Magufuli alibana biashara ya dhahabu na fedha za kigeni

    Hii series inasikitisha sana. Inaeleza jinsi wahuni wanavyotumia biashara ya kuexport dhahabu kutoka Africa kwenda Dubai wanavyotakatisha pesa. Mapastor fake wamejaa humo ndani. .
  17. JamiiForums Tanzania Do you want to design your website or create a website for your business? Check us

    Attention all business owners! Are you looking to establish a strong online presence for your brand? Look no further than our website design services at KIKIWEB LTD! Our team of expert designers and developers will work closely with you to create a stunning website that reflects your brand...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanachama bora wa 2022 | Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

    Mimi kama mwanachama wa Jamiiforums, nimepokea zawadi kwa mikono miwili na nimefurahi sana kwa kupata heshima hii. Hii imenipa motisha zaidi ya kuendelea kuchangia katika mijadala mbalimbali ya JF. Hili ni jambo la kipekee kwangu kwa sababu hii ni mara yangu ya kwanza kupata heshima hii tangu...
  19. JamiiForums Tanzania Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara mikoani zitakufa, Dar peke yake ndiyo itabaki ikifanya biashara

    Mambo mawili yanaua biashara mikoani na kukuz biashara Dar. 1. Mitandao ya kijamii. 2. Urahisishaji wa kusafirisha bidhaa. 1. Mitandao ya kijamii imerahisisha sana mawasiliano ya muuzaji na mteja Imerahisisha sana namna ya kutangaza biashara. Mteja anaweza kuona biashara maduka mbalimbali na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…