Kamaliza form 6,
Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba
Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi.
option mbili
1. Apprenticeship
miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
Bei Ya China Bila Usafiri 60000 kila box (Sabufa Kubwa)
Makadirio Usafiri na tozo za serikali kwa meli 40000 kwa box (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) 20
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 5000 kila box...
Bashe amesema sio dhambi kwa viongozi wa bodi ya pamba kufanya biashara ya pamba, na wala hakuna tatizo kwa wabunge kufanya biashara hiyo ya pamba.
Jana tar 2/9/2023 Lissu aliongelea jambo hili akiwataja viongozi wa CCM ambao akiwepo Mwenyekiti wa Bodi ya Pamba kutawala biashara hivyo na hivyo...
Tundu Lissu ameyasema hayo akizungumza muda na huu tar 9/22023 na Waandishi wa Habari Bariadi, akisema wakulima kila mahali wanalalamika hawapati faida kama awali na hili linasababishwa na watu wanaoamua pamba inunuliwe na nani na kwa bei gani ambao wengi ni Wanaccm.
Akisema Bodi ya Pamba ndio...
Habari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufahamishwa ktk hili..
Kama nilivyomsikia Afisa wao Mmoja ( NEMC ) ni sahihi GENTAMYCINE nichukue tu nafasi hii mapema kabisa Kuuaga Umasikini niliokuwa nao sasa mwaka wa Kumi ( 10 ) kwani naenda kuwa Tajiri wa Kutukuka.
"Tunajipanga kuja na Tangazo la kumtaka Raia yoyote akiona tu Dereva wa Lori, Gari Dogo au Basi...
Bunge la Tanzania Agosti 31, 2023 limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012 ambapo pamoja na mambo mengine, itaondoa vikwazo vya kikodi na visivyo vya kikodi kwa wafanyabiashara wa Tanzania katika nchi za jumuiya hiyo.
Akizungumza na...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012.
Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni jijini Dodoma na Wabunge wa Bunge hilo ambao walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali yaliyolenga...
Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea...
Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 120
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni...
Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo.
Balozi Kairuki...
Salaam alaikum wajumbe.
Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana kuiangalia sababu haihitaji uangalizi mkubwa hasa ikianza kustawi na kuzaa.
Sababu nyinginezo ni kwambaa...
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana.
Karibuni.
Habari zenu wakuu,
Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo walau nipate chochote kitu.
Msaada mkuu nikunisaidia unijuze bei ya hapo hususa ni mikoa jirani...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
#Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi
Ruangwa - Lindi
Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI
Arusha
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi.
Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri".
Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.