biashara

  1. SirMayombo

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

    Habari wana JF, Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini 1. Hatua gani za kufuata kisheria? 2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji? 3. Changamoto zikoje na faida? Tafadhari naomba msaada ili...
  2. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Kopesha milioni 3.6 urejeshewe milioni 6 ndani ya miezi 10

    Habarj wakuu Naomba niende moja kwa moja kweny mada husika. Baada ya kufanya research yangu kwa kipindi cha miezi 2 na kugundua sasa kumbe kweli fursa ipo na inalipa. Nimeona ni muda sasa wa kufanya kweli katika hii business. Kwa kipindi cha miezi miwili nimekuwa humu jamiiforums kuagizishia...
  3. Hajulikani

    JamiiForums Tanzania Biashara nzuri(side husle) kwa mfanyakazi inayohitaji usimamizi mdogo

    Wadau naomba ushauri nifanye biashara gani ambayo haihitaji usimamizi kuanzia saa 2 asubuhi napoingia kazini mpaka saa 11 jioni
  4. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa mikoani ni fursa pia

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  5. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Biashara ya Clearing and Forwarding Agent

    Habari za wakti huu; Leo nimeona nilete mjadala kidogo kuhusu Biashara ya Clearing and Forwaring Agency.Kabla ya kuingia kwenye mjadala niweke wazi kwamba mm sifanyi shughuli za C&F.Hivyo basi maoni na mtazamo wangu upo zaidi kibiashara na kiujumla na ninaamni kwamba wengine watajifunza na wale...
  6. The Eric

    JamiiForums Tanzania Dini zimefanywa biashara, michango imekuwa mingi

    Salaam! Mimi nafikirishwa sana na hizi dini za leo za kizungu, binafsi mimi ni mkatoliki lakini naona uchafu uchafu tu. Hawa wakristo tuwape muda tu hii karne ya 21 ikipita najua hatuta kuwepo wengi humu ila ukristo utakuja kuwa kituko cha karne (22) kutokana na yale tunayo yaamini viongozi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mkopo wa kuongeza kwenye biashara yangu

    Mimi nimefanikiwa kujenga nyumba ya kupangisha eneo la chuo cha mipango Dodoma, ina vyumba kumi na tayari watu wanaishii. Nina shida ya mkopo mil 20 kwa ajili ya kuchimba kisima na kujenga uzio nimeenda bank wanataka cash flow ambayo mimi sina. Msaada tafadhari.
  8. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya gadgets mtandaoni

    Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo. Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake. Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi. Karibuni kwa ushauri.
  9. Siwamilele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji location nzuri yenye mzunguko kwa biashara ya stationary

    Wakuu poleni na purukushani za kujitafutia mkate wa kila siku. Kwa mwenye kufahamu wapi nikifungua biashara tajwa hapo juu naweza kupata mzunguko mzuri? Tafadhari share nami location nikapambane mwenzenu, maana hapa nilipo hainilipi kabisa. Napendekeza iwe mkoa wa Morogoro au Pwani. Hata...
  10. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amekuja ofisini akidai ametumwa kuchukua rekodi za watu na biashara zao

    Kuna mtu limekuja office leo linadai limetumwa sijui na mkurugenzi uko serikalini kuchukua record za watu na biashara zao to do God knows what? Jamani hawa watu sijui TRA, Serikali wananichefua kwa kila kitu. As if wanataka kufanya vitu vya muhimu.
  11. Beberu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Hardware kwa 13M

    Wakuu, kila mtu atasalimiwa kwake, Wakuu, nataraji kuanzisha hio biashara tajwa kwa mtaji huo hapo juu (13M) hadi kodi ipo humo humo, Kwa kuanzia nataka nianze na vitu vidogo vidogo sana sana electricals na vitu vikubwa vya sample tu, Eneo la biashara ni kibaha, nataka niiweke hio biashara...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  13. Salahan

    JamiiForums Tanzania Biashara Saa za Kiume

    PACK 1 Business Watches Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pisi 20 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila saa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyeanzisha biashara ya parking Muhimbili?

    Ni nani alieanzisha biashara ya parking MUHIMBILI? Pesa inayopatikana inamnufaisha nani? Ni haki kumtoza pesa mgonjwa kwa kupaki gari lake tu? Ni kweli binadamu mtanzania amekosa utu na huruma kiasi Cha kutoza pesa WAGONJWA?
  16. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gereji na changamoto zake

    Habarini wakuu, Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia mwaka wa tatu katika mwaka ujao wa masomo unaoanza mwezi novemba. Kwa kipindi kirefu nimekuwa...
  17. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Biashara inapangishwa, lipia na uanze kuingiza maokoto

    I have two houses in a compound with one big house and a guest wing ambayo naifanya hostel na ni fully furnished.....Napangisha. Iko opposite na LANDMARK HOTEL na DELTA APARTMENTS Main house 3/4 bedrooms. Two master and two normal Small house 2 bedrooms, 2 kitchens, Big house 3 bathrooms...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa dola unaweza kuangusha biashara: Deogratius Temba, Mfanyabiashara

    "Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda ikaenda 1600 lakini leo tunazungumzia kwenye 2550," Deogratius Temba, Mfanyabiashara "Benki wanauza...
  19. Salahan

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya watoto wa kiume

    Bei Ya China Bila Usafiri 3500 kwa pea Size 20-33 Pack 1 Makadirio Usafiri kwa meli 1000-2000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 300 Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 200 kila pea...
  20. Salahan

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara simu za mtumba

    Picha hapo juu ni miongoni mwa simu izo za mtumba Simu Zimetumika China na ni Global Version Zinatumika nchi yoyote Gharama ya usafiri kwa meli kila moja 30000 wiki 4-6 Gharama ya usafiri kwa ndege 60000 wiki 2-3 Simu ni Brand Original Simu ni 80%-90% New Gharama za usafiri zimejumuisha tozo...
Back
Top Bottom