ajira

  1. C

    Hivi kuna ajira za higher diploma kweli serikalini

    Wakubwa nataka kujua higher diploma huwekwa kundi lipi wakati wa kuomba ajira serikalini?
  2. Akili Mnemba (AI) yatikisa Ajira: Kazi gani ziko Hatarini?

    Kampuni zinazojihusisha na nyanja ya akili mnemba (AI) hutoa madai mapana kuhusu uwezo wa zana zao kuchukua nafasi ya nguvu kazi ya binadamu. Baadhi ya kazi zitaendeshwa kikamilifu na mifumo ya kiotomatiki, huku nyingine zikibadilishwa na kuboreshwa kwa kutumia akili mnemba. Viongozi wa...
  3. N

    Kwenye swala la ajira ukweli niseme ameupiga mwingi.

    Wakuu Mimi siyo mtu wa siasa na Sina chama .ukweli niseme Kila mtu na mapungufu yake lakini tukiacha siasa pembeni, huyu mama kwenye swala la ajira kaupiga mwingi sana yan kaajiri watu wengi sana tokea nchi inapata uhuru haijawahi tokea.
  4. πŸŽ“πŸ”₯ NAFASI ZA AJIRA: LECTURER & ASSISTANT LECTURER – MOROGORO

    Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika ufundishaji, research, publications na consultancy. πŸ‘¨β€πŸ« LECTURER Majukumu makuu ni pamoja na: βœ…...
  5. V

    Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  6. V

    Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  7. M

    Je, Mgawanyo wa Vyuo usio na usawa unalenga kuminya baadhi ya mikoa au kanda na kurahisishia wengine kuingia kwenye taasisi, idara, n.k?

    Serikali ya Tanzania si ya Majimbo, kila taasisi ipo kitaifa, hakuna taasisi za majimbo Watumishi wa Serikali wanaweza kufanya kazi katika mkoa wowote nchini, bila kujali wanatoka mkoa gani. Kwa mantiki hiyo, fursa za kupata elimu inayowawezesha kuingia kwenye ajira za Serikali zinapaswa pia...
  8. A

    KERO Watumishi Halmashauri ya Kakonko wameambiwa wataliwa fedha nusu ya walizosaini

    Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya ajira.
  9. N

    Content Creator jamiiclub: Ajira Mpya Katika Dunia ya Kidijitali

    Habari wakuu, Ninaamini kuwa Content Creator ni aina mpya ya ajira katika dunia ya kidijitali, na inaweza kuwa fursa muhimu kwa vijana kujiajiri na kujenga vyanzo vyao vya kipato. Kwa sasa, mitandao ya kijamii imewezesha watu kushiriki mawazo, maarifa, vipaji na ubunifu wao kwa hadhira kubwa...
  10. K

    Kwa nini Ajira Portal imeondoa option ya kufuta vyeti vyenye makosa?

    Ninaomba kupata ufafanuzi kuhusu mfumo wa Ajira Portal. Kwenye mfumo huo, kuna cheti nilichoweka lakini kina makosa, na ninahitaji kukifuta ili niweke taarifa sahihi. Hata hivyo, nimegundua kuwa hakuna tena option ya kufuta cheti kilichowekwa kimakosa. Naomba kufahamu sababu ya kuondolewa kwa...
  11. AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  12. M

    Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

    Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia zetu,maama hawana KAZI ya kufanya wanakula ugari tu
  13. Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    πŸ“’ FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY πŸ‡³πŸ‡΄ Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  14. Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  15. NATAFUTA AJIRA; zawadi na baraka imng'arishayo mwanamke

    Wasukuma tunasema; MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!! Maashiiine!!!πŸ˜… Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho wa bwana AMENIHUIA kuufikisha kwenu wanawake wenzangu wa jamii forums. Ladies and gentlewomen, I...
  16. R

    Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

    Comrade!ikitokea hatma imekudondokea na hatmae ukawa mkuu wa kiti kikubwa katika nchi hii!Hili nalo lipatie ufumbuzi kama ninavyoandika sasa! Kumbuka nchi yetu Haina tatizo la ajira Bali sera mbovu za ajira ndio zimetufikisha tulipo,unawezaje kumuajiri mtumishi ajira ya maisha !?wakati Kuna...
  17. Hii ni kazi kweli au mi ndo kazi?

    Nipo kwenye group fulani hivi la WhatsApp likatumwa tangazo la ajira kutoka Pepsi (nimeambatanisha hapo) lilikua linahitaji vijana wa kuwaajiri na mimi nikajaribu kuomba hapo baada ya siku kadhaa wakanijibu hivyo(nimeambatanisha pia). Watu mliopata bahati ya kuajiliwa kwenye makampuni makubwa...
  18. Kwenye Soko la Ajira la Leo, Unaweza Kukataliwa Kwa Sababu Yoyote!

    Soko la ajira la siku hizi limekuwa la ajabu sana. Unaweza kuwa rejected kwa sababu yoyote isiyo na mashiko. REJECTED. Your current salary is too high β€” REJECTED. You're over 40 β€” REJECTED. You don't have enough experience β€” REJECTED. You have too much experience β€” REJECTED. Your notice...
  19. Natafuta Ajira ya Bajaji ya Hesabu au Mkataba

    Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na cheti kutoka veta ,pia nipo tayari kuja na mdhamini ambaye yupo serikali, passport zitakazo hitajika...
  20. Ni sahihi serikali kuwatafutia raia wake ajira nchi nyingine?

    Wakati mwingine huwa tunawalaumu Machifu Waafrika waliokuwa wanakamata Waafrika wenzao na kuwauza kama watumwa kwa Waarabu na Wazungu ila tungepata nafasi ya kuwasikiliza huenda walikuwa na sababu za msingi kufanya hivyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…