ajira

  1. J

    HOJA Kuimarisha utaratibu wa ajira kwa wauguzi kulingana na kiwango cha elimu

    Naomba Serikali kupitia Wizara ya Afya na mamlaka zinazohusika na ajira za afya zifuatilie changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wahitimu wa Shahada ya Uuguzi (Nurse Degree). Kwa sasa, nafasi nyingi ambazo zingehitaji wataalamu wenye shahada ya uuguzi zinadaiwa kutolewa kwa wahitimu wa...
  2. V

    Pongezi kwa sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umna

    Pongezi ni kwa sababu ya urahisi katika 1.kupata email na password vilivyosahaulika kupitia mfumo 2.kutatua changamoto nyingi Za kimfumo bila kuhangaika kama zamani 3.Jumla ya yote kupunguza gharama za kuomba ajira,usaili,pamoja na taratibu za kuripoti kazini kwa kutuma barua za kuitwa kazini...
  3. M

    Wahitimu wengi wasiotulia baada ya wakiitwa written interview hawapo serious, mhitimu mwenye malengo ya ajira husoma kila siku kwa starehe

    Hakuna kipindi kizuri cha kusoma kwa utulivu kama baada ya kuhitimu chuo, hasa ikiwa lengo lako ni kuajiriwa kwa kupass written interview. Kujisomea baada ya kuhitimu kunaweza kuwa hobby kwasababu hakuna presha ya mitihani, hakuna deadline na hutapoteza muda kwenye masomo ya ziada yasiyohusiana...
  4. J

    Mfumo upi unaweza punguza nguvu ya mfumo wa Kidigitali? Maana unazalisha ajira nyingi sana kwa vijana

    𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 𝗪𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗡𝗔 𝗔𝗝𝗜𝗥𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗩𝗜𝗝𝗔𝗡𝗔: 𝗝𝗘, 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗙𝗨𝗥𝗦𝗔 𝗜𝗟𝗜𝗬𝗢𝗣𝗢? 𝘔𝘸𝘢𝘬𝘢 2025 𝘞𝘢𝘵𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 𝘸𝘢𝘭𝘪𝘱𝘪𝘵𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 255.13 𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘪𝘢 𝘱𝘦𝘴𝘢 𝘻𝘢 𝘴𝘪𝘮𝘶, 𝘴𝘢𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 109 𝘺𝘢 𝘗𝘢𝘵𝘰 𝘭𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢. 𝘓𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘴𝘦𝘬𝘵𝘢 𝘺𝘢 𝘐𝘊𝘛 𝘣𝘢𝘥𝘰 𝘯𝘪 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 1.6 𝘺𝘢 𝘗𝘢𝘵𝘰 𝘭𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢, 𝘬𝘢𝘮𝘢 𝘪𝘭𝘪𝘷𝘺𝘰𝘬𝘶𝘸𝘢 𝘮𝘸𝘢𝘬𝘢 2019. 𝘜𝘵𝘢𝘧𝘪𝘵𝘪 𝘸𝘢...
  5. youngkato

    Content creation: Ujuzi muhimu wa kukuza biashara na kutengeneza fursa za ajira

    Katika dunia ya sasa ya kidijitali, Content Creation imekuwa moja ya ujuzi muhimu kwa wafanyabiashara, wajasiriamali, kampuni na vijana wanaotafuta fursa za kipato. Content Creation ni mchakato wa kutengeneza maudhui yenye thamani kwa ajili ya kuwafikia, kuwafundisha, kuwaburudisha na...
  6. F

    Maamuzi ya JK kurasimisha bodaboda kuwa ajira, yamegharimu maisha ya watanzania wangapi Hadi Sasa? Je tusitishe ama..

    Hili ni swali tu, Kwamba bila kujali faida za kiuchumi zitokanazo na maafisa usafirishaji wa bodaboda, tuangalie upande wa pili wa shilingi wa maamuzi haya, 1. Ni watanzania wangapi wamepoteza maisha au kusababishia mauti wengine kutokana na ajira hii ya bodaboda? 2.Je kusitisha shughuli hii...
  7. N

    KERO Watumishi wapya wa RUWASA tulioajiriwa Septemba 2025 hatujapata mafunzo elekezi wala fedha za kujikimu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto zinazotukabili watumishi wapya tulioajiriwa katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuanzia Septemba 2025 hadi sasa. Tangu tulipoajiriwa hatujapokea fedha zetu za kujikimu, huku pia hatujapatiwa mafunzo elekezi...
  8. T

    Bureau 121 : North Korea na Ajira Rasmi ya Wadukuzi wa Mitandaoni

    APT - Advance Persistence Threat - Maana yake hawachoki wala hawapoi Fikiria serikali ya nchi inaamua kuunda kitengo cha udukuzi mahususi kuiba hela mitandaoni Mnamo 1998 chini ya amri ya kiongozi wa zamani Kim Jong-il, Serikali ya Korea Kaskazini iligundua mapema kuwa vita vya mtandaoni ni...
  9. kingphisher

    Wiki tano sijaona status updates Ajira Portal

    Wakuu toka nimeApply kazi ajira portal hadi sasa ni mwezi toka deadline ya kuomba kazi. kumbuka hii ni mara yangu ya kwanza kuApply kazi za government. Lakini ukiangalia kwenye hiyo attachment, nilikosea anwani, ikawa rejected, lakini nyingie hadi sasa sijaona status update yoyote. Swali...
  10. Jaji Mfawidhi

    Ajira: sifa za kuwa Kondakta Mabasi ya Mikoani

    Ukondakta wa mikoani sasa unasomewa, chuo cha DIT na NIT ndio wanasomea, sasa tunaomba na mikoani kuwe na chuo. 1. cheti CBE na NIT 2. Umri miaka 20-28 3. Mtanzania. 5. Ajue kiswahili fasaha. 6. Kingereza cha kuombea maji. 7. Uwe na mwonekano [Sexy] 8. Usiwe na mimba
  11. Pfizer

    Bandari Mbamba Bay yafungua fursa za ajira, biashara

    Ajira, ujuzi wa ufundi na kuimarika kwa biashara ndogo ni miongoni mwa fursa ambazo wananchi wameanza kupata kutokana na ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay, wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma, ambao umefikia asilimia 78. Baadhi ya vijana wanaoshiriki ujenzi huo wamesema wamepata kipato cha kuendesha...
  12. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama tumelipwa 250,000 tu ya fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo. Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
  13. Isenye

    Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Habari za leo wakuu? Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania. Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc. Asanteni
  14. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya Handeni tumelipwa pesa ya kujikimu Tsh350,000 tu

    Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
  15. M

    Tunatafuta mtu atakayeweza kuuza nyama buchani, maeneo ya Mlimani City

    Tunatafuta kijana wa kike au wa kiume mwenye uzoefu wa kazi za buchani kujiunga na timu yetu katika eneo la Mlimani City, Dar es Salaam. 📌 SIFA ZA MWOMBAJI ✅ Awe na uzoefu wa kazi za buchani wa angalau miezi 6. ✅ Awe na ujuzi wa kukata, kusaga na kupima nyama. ✅ Awe mwaminifu, mchapakazi na...
  16. Gerdha

    Nina Shahada ya Elimu, nataka kufanya kazi nyingine, naombeni ushauri

    Habari wanajukwaa. Ninaomba ushauri kutoka kwa wenye uzoefu kuhusu namna bora ya kupata ajira. Nina Shahada ya Elimu (Bachelor of Education in Geography and History) na uzoefu wa miaka miwili katika kazi ya ualimu nimekuwa nikijitolea. Nahitaji kupata connection ya Shule zenye uhitaji, Hata...
  17. B

    Latest Opportunities in Tanzania

    Latest Opportunities in Tanzania | besttalentreach Are you looking for the latest job opportunities in Tanzania? Best Talent Reach (BTR) brings together job openings across multiple industries, helping job seekers discover relevant vacancies and simplify their job applications. Here are 10 job...
  18. B

    Jinsi ya Kujibu Swali la “Tuambie Kuhusu Wewe Mwenyewe” Kwenye Interview ya Kazi

    Jinsi ya Kujibu Swali la “Tuambie Kuhusu Wewe Mwenyewe” Kwenye Interview ya Kazi | By BestTalentReach Habari zenu Leo tuzungumzie swali ambalo watafutaji wengi wa kazi hukutana nalo wanapoingia kwenye usaili (job interview): “Tuambie kuhusu wewe mwenyewe” (Tell me about yourself). Ingawa...
  19. B

    Je, CV Yako Inakukwamisha Kupata Interview? Haya ni Mambo 5 ya Kuangalia

    Je, CV Yako Inakukwamisha Kupata Interview? Haya ni Mambo 5 ya Kuangalia by besttalentreach platform Watafuta kazi wengi hutuma maombi kwenye nafasi nyingi lakini hawapati mwaliko wa interview. Ingawa ushindani wa soko la ajira unaweza kuwa mkubwa, ni muhimu pia kuangalia kama CV yako inaonyesha...
  20. B

    Kazi 5 Zenye Ushindani Mkubwa Tanzania na Vigezo Vyake — By Best Talent Reach

    Title: CV za Maandazi EP. 001: Kazi 5 Zenye Ushindani Mkubwa Tanzania na Vigezo Vyake — By Best Talent Reach Habari zenu wana JamiiForums, Leo kupitia Best Talent Reach (BTR), tunaanzisha mfululizo wa CV za Maandazi — mada inayochambua nafasi za kazi zenye ushindani mkubwa Tanzania, vigezo...
Back
Top Bottom