ajira

  1. Aggrey sallah

    AJIRA: NATAFUTA FUNDI MTAALAMU WA KUSHONA SUTI ZA KIUME (PROFESSIONAL BESPOKE SUIT TAILOR)

    Nina ofisi ya kisasa ya ushonaji iliyopo Mbezi Beach, Dar es Salaam, na kwa sasa ninatafuta fundi mtaalamu mwenye uzoefu na uwezo wa kushona suti za kiume katika viwango vya juu vya ubora (Premium & Bespoke Tailoring).
  2. I

    Mfumo wa kieletronic wa ajira Zanzibar (zanajira)Tokea Jumatatu mpaka leo haufungukii jee wahusika hawalioni hili?

    Mfumo wa kieletronic wa ajira zanzibar (Zanajira)Kuanzia tarehe 12 mpaka leo haufunguki na wala hauruhusu mtu aingie ktk account yake jee wahusika hawalioni hili?
  3. B

    Top 5 websites za kutafuta kazi Tanzania

    TOP 5 WEBSITES ZA KUTAFUTA KAZI TANZANIA 🇹🇿 Toka nilipomaliza chuo, nimekuwa nikikumbana na changamoto ya kujua wapi nitapata taarifa za kazi mpya na ni website gani nitumie kutuma maombi yangu. Changamoto kubwa ninayoiona kwenye baadhi ya websites zetu za Tanzania ni matangazo mengi sana (too...
  4. M

    KERO Kwanini katika mfumo wa Sekretarieti ya ajira ikitangazwa kazi ya astashahada mwenye shahada anaambiwa hana sifa?

    Kuna changamoto katika mfumo wa ajira. Baadhi ya watu wamesoma kozi tofauti katika ngazi ya cheti na diploma, lakini nafasi za kazi zinapotangazwa kulingana na kozi walizosoma katika ngazi ya cheti, mfumo unawakatalia kuomba kwa madai kuwa hawana sifa zinazohitajika. Nashauri mfumo uruhusu...
  5. D

    Msaada tafadhali kwa anayeijua NGO inaitwa AIDS Care Foundation, nahitaji kufahamu uhalali wake

    Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira. Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha...
  6. A

    KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  7. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  8. V

    Je hizi nafasi mpya za ajira King Rumanyika College Kagera ni za amani?

    Chuo husika kimetangaza nafasi nyingi za kazi kwa ufupi wametangaza nafasi za staff nzima (kilingana na ukubwa wa chuo tunavyoufahamu) Je,staff nzima imeondoka kisa ugumu wa kazi na mishahara? Je,wamepata waendeshaji wapya?, je wamebadirisha namuna ya uendeshaji? Je, hawakuwa na staff imara...
  9. F

    Tanesco yatangaza nafasi za ajira 1100 kati ya hizo kazi za degree hazifiki 20. Na tena degree za sayansi tu. Kazi nyingi ni form 4 na cheti cha veta

    Hii ndio dunia inapoelekea. Somo kwa wazazi na wanafunzi kwamba now days ajira nyingi zinataka hands on skills. Kampuni hazitaki degree za theory tu ambazo hazifundishi hands on skills zaidi ya kuwa degree ya kwenye makaratasi. Ni bora umpeleke mtoto veta kuliko kumpeleka chuo kikuu akasome...
  10. A

    KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  11. O

    Mwalimu wa Kamusinga Akamatwa kwa Kudai Rushwa ya KSh300,000 Ili Kuwatafutia Walimu Ajira TSC

    Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imemkamata mwalimu wa shule ya Friends School Kamusinga Boys, Kaunti ya Bungoma, kwa tuhuma za kudai rushwa ya KSh300,000 kutoka kwa walimu watatu wasio na ajira, akiahidi kuwasaidia kupata kazi kupitia Tume ya Kuajiri Walimu (TSC). Mwalimu huyo...
  12. Zack Abdul

    KAMPUNI YA ALMASI YATOA FURSA ZA AJIRA KWA VIJANA WAZAWA 61 MKUTANO WA IPU

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Almasi, Gift Ngowi, amesema kampuni hiyo imepata fursa ya kushiriki katika utoaji wa huduma za picha, video, kurekodi na kurusha mubashara shughuli mbalimbali za Mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika jijini Arusha. Ngowi amesema kampuni hiyo ilipata...
  13. Bichwa ndani ya dryer

    Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  14. Zack Abdul

    Kiwanda cha nguo Sinovest Industry Bagamoyo cha zalisha zaidi ya ajira 10,000

    Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa mbalimbali za nguo ikiwemo jezi, T-shirt na boxers, huku tayari kikiwa kimezalisha...
  15. A

    KERO Sekretarieti ya Ajira uwazi na weledi wenu uko wapi? acheni kuwawekea Watu sababu zisizo za kweli

    Kuna wakati nawaelewa sana, ila kuna wakati mnafanya mambo mengine yanakatisha tamaa sisi tunaojipinda kuangalia status za shortlisted au not shortlisted. Mfumo ulihitaji niweke documents certified na nimefanya hivyo mapema sana. Nikafanikiwa kuitwa kwa interview. Maajabu ni kuwa nimeapply...
  16. A

    KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu...
  17. EricMan

    Nani kafanikiwa kufuta Cheti Ajira portal kupitia njia hii?

    Wakuu, habari za jioni. Nimepitia mijadala mbalimbali kuhusu suala la kuondoa vyeti (qualifications) vilivyowekwa kwenye Ajira Portal, lakini hadi sasa sijafanikiwa kupata taarifa kutoka kwa mtu ambaye amewahi kufanikiwa kuondoa cheti cha qualification, kwa mfano cheti cha Shahada (Degree...
  18. A

    KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  19. Zack Abdul

    Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

    Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...
  20. Zack Abdul

    Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

    Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na...
Back
Top Bottom