ajira

  1. Kizumari Technologies

    > USHAURI: Nimechoka kulipishwa $9 na SmallPDF kupunguza PDF ya Ajira Portal - Nimepata alternative ya bure na offline,

    Habari wakuu, Mimi ni msomaji wa humu JF kwa muda mrefu, leo naomba ushauri na pia natoa msaada kwa wanaotafuta ajira. Kama mlivyopitia, mimi ni fresh graduate wa UDSM. Wiki iliyopita dada yangu alitaka kutuma CV yake Ajira Portal. CV yake ilikuwa 3MB, system ya Ajira inataka 1MB. Akaenda...
  2. Roving Journalist

    Lynn Chawala: Alama za Ufaulu Ajira Portal ni 50, ila kupangwa kazini inategemea na ufaulu wa juu na mahitaji

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika mchakato wa ajira, huku uteuzi ukitegemea pia mahitaji ya taasisi husika. Amesema mfumo hupanga waombaji...
  3. Akilindogosana

    Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

    Ewe Mzazi Somesha mtoto kwa gharama Nursery lipa ada (mwaka 1) Primary lipa ada (miaka 6) Secondary lipa ada (miaka 4) A-level lipa ada ( miaka 2) Chuo lipa Ada (miaka 3) Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m Jumla ya miaka ni 16 Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
  4. Ntemi_Ntale

    Imagine kutumia miaka 4 chuo halafu ugundue CV yako inafanana na ya kila mtu!

    Kila mwaka... Maelfu ya wanafunzi wanahitimu. Wote wana... Degree CV Coursework inayofanana ______ Sasa waza...Wewe Ni recruiter umemaliza ? Kama Umesema Ndiyo...lets assume Una CV 500 mezani Una dakika 2 tu kuchuja Nani ataonekana? ________ Kama kila CV inafanana... Wewe utajitofautisha vipi...
  5. sepema

    Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

    Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
  6. A

    KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  7. BigTall

    Prof. Shemdoe: Serikali inawekeza kwenye madini kukuza uchumi wa viwanda, kuongeza fursa za ajira

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira bora ya uwekezaji na usimamizi wa rasilimali madini, kwa lengo la...
  8. E

    Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  9. A

    KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  10. Doubleg Malafyale

    KERO Halmashauri ya Meru (Meru DC) haijawalipa pesa ya kujikimu Walimu ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026

    Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026. Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
  11. M

    Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

    Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
  12. Adharusi

    Serikali iliwezaje kutoa ajira za ualimu kwa watu wasio walimu na kuwaacha waliosomea ualimu, pachunguzwe

    Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata...
  13. A

    HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Ninaandika makala hii si kwa sababu nimekosa kazi, wala si kwa sababu nina malalamiko binafsi dhidi ya Benjamin Mkapa Hospital (BMH). Ninaandika kwa sababu nilishiriki katika mchakato wa ajira wa Hospitali ya Benjamin Mkapa na nikakutana na baadhi ya matukio ambayo, kwa mtazamo wangu, yanazua...
  14. Wauzaji wa Container Tz

    Hawa ndugu zetu waliotoka South Africa, ni aina Gani za ajira walizokuwa wanasema wamezichukua mpaka kufukuzwa?

    Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua? Je ni ajira zipi. Najaribu kuangalia hili swala
  15. M

    Ni kitu gani kifanyike kupunguza tatizo la ajira kwa vijana mkoani MBEYA ?

    Miezi michache iliyopita nilikuwa Mbeya kikazi, nilijionea mazingira ya kuwepo kwa tatizo la ajira kwa vijana Mandhari ya jiji la Mbeya imesambaa kwenye wilaya tatu ambazo ni, Mbeya CBD, UYOLE na MBALIZI. Kuna vijiwe vya vijana asubuhi utawakuta, mchana utawakuta, jioni utawakuta Mbeya kuna...
  16. A

    KERO Kozi ya 'Community Development for Water Supply and Sanitation' kwanini fursa zake za ajira haziwekwi wazi?

    Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu kozi ya Community Development for Water Supply and Sanitation (CDWSS) inayotolewa na Chuo cha Maji (Water Institute) chini wa Wizara ya Maji. Kozi hii ni specific kwenye sekta ya Maji na usafi wa mazingira lakini cha kusikitisha, hakuna utaratibu wa wazi...
  17. A

    KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  18. Burn the bridge _Tz

    Udereva ndio fani inayoongoza kwa ajira, ajira portal vijana tupambane tuwe madereva.

    Kila mwezi kuna matangazo ya udereva ajira portal kupitia halmashauri. Hata kama una degree na bado hujaupload Jitahidi sana utumie udereva itakuwa rahisi sana kwako kuingia kwenye system na kupata check Number
  19. M

    Mshirikishe Mungu katika kutafuta ajira

    Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi. Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu sana kupata kazi mara baada ya kumaliza chuo, nakumbuka siku moja tukiwa ibadani chuoni aliyekuwa...
  20. Fifteen

    Jinsi ya kujaza profession qualification ajira porta

    Habari wakuu, Ajira portal Kuna sehemu ya kujaza professional qualification lakini Kwa upande wa engineering graduate anapewa namba tu wakatu ajira portal inataka certificate hapa natakiwa kufanyaje?
Back
Top Bottom