ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    Ahadi ya Iran haijaweza timizwa mpaka sasa. Nini kinawachelewesha?

    Iran hoiiiiiiiii..... Ritz alikuwa anakuja na vinyuzi vyake uchwara... Mara imepandisha bendeera nyekundu, mara imesema itaifuta Israel. Israel bado ipo mpaka leo na inaendelea kusambaza kichapo kwa magaidi wa Kipalestina. Iran haijatimiza ahadi yake... Imejichokea kiasi Rais anaomba wananchi...
  2. Zack Abdul

    Ahadi za Ajira kwa Watoto: Mtego au Fursa?

    Watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha kuanzia Tarehe 12-28 Oktoba na mafunzo kwa ahadi ya Ajira na vipato zaidi #NeverAgain
  3. H

    Waziri Mkuu atimiza ahadi ya kumpatia Kitimwendo Helena Joseph

    WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum), Ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Waziri Mkuu aliahidi kumpatia Helena kiti hicho katika...
  4. L

    Tizama Hapa: Rasmi Magari Yapunguzwa Katika Msafara Wa Rais Samia ili Kutimiza Ahadi Yake. Yatembea Katika Mfumo Wa Kikomandoo Na Kijeshi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
  5. M

    Salma Kikwete: Majaliwa hakutimiza ahadi ya kujenga barabara ya lami, Serikali ina mpango gani?

    Salma Kikwete: Kutokana na kwamba Waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa hakutimiza ahadi aliyotuahidi ya kutujengea barabara ya lami ya urefu wa kilomita 4.5 watu wa jimbo la Mchinga, nini mkakati wa Serikali kujenga barabara hiyo ambayo mpaka sasa haijajengwa hata kilomita 0.5? Serikali: Kwanza...
  6. C-C Digital Pro

    Wanasiasa wasio timiza ahadi na wasio fuata Katiba watungiwa wimbo

    Hii rabuda inaweza ikawa njia nzuri Sana kusikika kuliko tunavyojaribu kudai haki kwa maaandammano. Bahati nzuri mwimbaji aliwahi kuwa Mwanasiasa CHADEMA, NCCR MAGEUZI na CCM kabla hajaacha Siasa rasmi. https://youtu.be/DTSA0cQ6Xxk?si=aYZ8VP9NHdHoxlI_
  7. Dalton Elijah

    SI KWELI Waisreal wanakimbia nchi yao kuukwepa moto wa Iran

  8. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Mo Dewji: Wanasiasa wengi hawatimizi 'ahadi' zao, wakitaka Kura wanaenda kuahidi uongo

    Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
  9. Dalton Elijah

    Ahadi ya Njia Nne Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) Imefikia Wapi?

    Mwaka jana, Serikali ya Tanzania ilitangaza mpango wa kujenga barabara ya Usagara – Mwanza Mjini (KM 25) kwa kiwango cha njia nne (dual carriageway) ili kupunguza msongamano na ajali zinazoendelea katika lango kuu la kuingia Jiji la Mwanza Lakini leo, zaidi ya mwaka mmoja baadaye, wananchi...
  10. A

    KERO Ahadi hewa ya Utekelezaji wa Muundo wa Utumishi kwa Sekta ya Afya (Kada ya Uuguzi na Ukunga) kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS – MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MWEZI MEI 2025? Habari, Kwa masikitiko makubwa napenda...
  11. Waufukweni

    Ado Shaibu: Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina, vijiridhishe kama waliokamatwa Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru kama alivyoahidi Rais

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
  12. Ibilisi Mjalaana

    Halmashauri nchini zimejipanga kumchafua Rais Samia kwenye ahadi yake ya siku 100 kada ualimu na afya

    Habari za asubuhi Katika hali ya kushangaza halmashauri karibu zote Tanzania zinataka kuchafua jitihada kubwa za Mh Rais Dr Samia Hassan Suluhu alizoweka kwa kutoa ajira takribani 12,000 kama ahadi yake ya siku 100 alivoitoa na kwa asilimia 100 kaitekeleza. Kipembepembe kinakuja kwa hawa...
  13. A

    KERO Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka

    Mwezi Julai 2025 ndipo ahadi ya Serikali kuwalipa mafao wastaafu wa jeshi waliopigana vita ya kagera. Taratibu za kuwakusanya wazee hao zolifanyika uku wakitoka sehemu mbali mbali za nchi na kukusanyika mahali walipo pewa taarifa kukutana ili wapate mwongozo.. wakapewa mwongozo wakafungua...
  14. Damaso

    Goli la Mama, lakini Kombe halionekani: Taifa Stars Kati ya Ahadi na Kampeni

    Kauli ya Serikali kwamba “goli la mama lipo… safari hii tutavunja rekodi” imeamsha mjadala mzito miongoni mwa wadau wa soka nchini. Wakati fainali za AFCON zikikaribia Desemba 21, 2025, matumaini yanapandishwa juu kupitia kauli tamu, zawadi nono na misafara ya wajumbe. Lakini swali la msingi...
  15. U

    Ndugu zangu hakuna ahadi hata moja waliyoitoa kwenye msiba wa mama yetu wameitekeleza

    Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena mbele ya Mjomba nduguye marehemu mama kunisaidia mimi ndugu yao kumbe ni bure
  16. The patriot man

    PostGE2025 Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi

    Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana. Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
  17. Pascal Mayalla

    Oktoba 29 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa! Je, Watanzania Watachagua nini kati ya Visible, Tangible Deliverables vs Empty Promises?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 29, Watanzania tunakwenda kuingia kwenye uchaguzi uchaguzi wa 2025 ambao ni uchaguzi wa mashindano kati ya...
  18. Tanzania Nchi Yetu Sote

    GE2025 CCM na ahadi za kiini macho

    Kilichoshindikana siku 1000 kitawezekana siku 100?
  19. Stability

    Bora nikusanye mbwa na paka wa mtaani niwalee kuliko kusomesha mdada eti kisa mapenzi na ahadi ya kuoana

  20. W

    GE2025 Wagombea wasiishie tu kutoa ahadi za Ajira kwa vijana Uchaguzi 2025. Je watalitekelezaje hili?

    Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu." Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
Back
Top Bottom