ahadi

Ahadi is an Iranian surname. Notable people with the surname include:

Ahadi (The Lion King), a character from the fictive world of The Lion King
Mina Ahadi, Iranian Communist political activist
Reza Ahadi, Iranian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Ahadi ya CCM kuwapa wapinzani ubunge ni kuwapa hawa Covid 1

    Naona wote vibaraka wa CCM wamerudi CCM na kuchukua fomu. Ahadi ya CCM kugawa majimbo ya uchaguzi inavyotaka imetimia. Siasa za kitapeli zimetawala Tanzania
  2. President of China

    Lile basi la Simba Marcopolo G8 linafika lini? Au ndio kawaida ya ahadi hewa?

    Zile mbwembwe za muwekezaji wa jezi, kujenga uwanja, mabweni na Basi la kisasa zimeishia wapi? Misifa mingi na kujipa promotion. Hawa watu wanazitumia timu hizi kwa manufaa yao. Ahadi kibao, hakuna hata nukta ametimiza. Pesa za kwenye makaratasi tu. Hazina ukweli.
  3. M

    Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  4. P

    Lucas Mwashambwa karibu ujibu hoja za Gwajima. Ahadi ni deni

    Naona siku imeisha na bado Lucas Mwashambwa anafikiria namna ya kupangua hoja za Gwajima. Nitumie nafasi hii kumkumbusha kuwa Watanzania tuna kiu ya kusikia akizivunjilia mbali hoja za mchungaji Gwajima. Lucas ukisoma hili bandiko, haraka haraka njoo upangue nondo za Gwajima.
  5. Braza Kede

    Dar ni nchi ya ahadi, kijana wa mkoani ukiingia Dar usikatishwe tamaa kizembe pambana hadi kielewe!

    Ukifika Dar kwanza jihesabu wewe ni miongoni wa wateule wenye bahati, hivyo usiichezee nafasi hiyo. Bila kujali umeenda huko kwa njia gani iwe umeletwa kwa kudandia gari ya msiba, ama umeenda kama shamba boi, dada wa kazi, umeenda kama saidia fundi au umeletwa mara moja kubarizi na kupunga...
  6. Kipenzi Changu

    Asante kwa Squad nzima ya Simba SC, ila hawa watu wametufikisha nchi ya ahadi

    Mungu ibariki Simba Sc nzima Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana. Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
  7. nkuwi

    Mzee Azim Dewji acha mara moja kutoa hizi ahadi za mfungaji na mtoa assist

    Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
  8. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki: Wananchi,wao hawanidai chochote, mimi ndio nawadai

    Diwani wa Kata ya Marangu Mashariki Jimbo la Vunjo, Jonas Mawala ameweka wazi kuwa ahadi nyingi walizo ahidi kwa kushirikiana na mbunge wa jimbo hilo Dk.Charles Kimei wamezitekeleza na hakuna wanacho daiwa na Wananchi. Ametoa kauli hiyo Aprili 17, 2025 wakati akielezea mafanikio yaliyopatikana...
  9. E

    PreGE2025 Ahadi za uchaguzi

    Kipindi Cha uchaguzi wa mwaka 2020 zilitolewa ahadi kede kede ikiwemo ujenzi wa "flyovers" Kwa junctions kama magomeni, Morocco, na mwenge. Hizi zingesaidia sana kupunguza foleni katika Jiji la Dar es salaam. Hadi sasa tunaelekea kwenye uchaguzi mwingine na ubao bado unasoma "bila bila"...
  10. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Ndaisaba Ruhoro Atimiza Ahadi ya Kompyuta - Mabawe Sekondari

    Mbunge wetu RUHORO amekamilisha ahadi yake ya kutoa Simu Janja na komputa moja kwa wananchi wa kata ya Mabawe. Ahadi hizo alizitoa kwa nyakati tofauti tofauti alipokuwa ametembelea Kata ya Mabawe mwaka jana. Simu janja inakwenda kuongeza idadi ya Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi...
  11. Knock life

    Mh Gwajima Mbunge wa Kawe umefikia wapi kuhusu hii ahadi yako ?

    https://www.facebook.com/share/r/14jspCwC7r/
  12. Webabu

    Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Bibi wa miaka 74 apewa bajaji na Tv na RC Makonda

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya wanawake Machi 08, 2025. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Elia Kitomo akabidhi mifuko 10 ya saruji kwa shule ya msingi Ibogo, Iringa

    Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Kitomo ametekeleza ahadi hiyo aliyoitoa katika mahafali yaliyopita shuleni hapo akiwa mgeni rasmi...
  15. Rorscharch

    Amkemi Watanzania: Kina Tundu Lissu na Makelele ya Katiba Mpya Hayawezi Kutuokoa – China Imetoa Mwongozo wa Namna ya Kufikia "Nchi ya Ahadi"

    Kwa zaidi ya miongo mitatu, mjadala wa Katiba mpya umekuwa gumzo kuu katika siasa za Tanzania, huku wanasiasa kama Tundu Lissu wakijaribu kuwashawishi wananchi kuwa bila Katiba mpya, maendeleo hayawezekani. Wanapiga kelele kwamba mabadiliko ya Katiba ndiyo yatakayotoa mwanga wa ustawi wa Taifa...
  16. Labani og

    Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
  17. Surya

    Hii ndio ahadi yangu mke wangu siku nikikupata.

    Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂 Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu, Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
  18. The Watchman

    PreGE2025 Halmashauri Singida waidai ahadi ya Dkt. Nchimbi kuwajengea soko la vituguu

    Halmashauri ya Wilaya ya Singida imekumbushia ahadi ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk.Emmanuel Nchimbi ya kujengewa soko la vitunguu ambalo litasaidia kuongeza mapato ya halmashauri ambapo imeiomba serikali kutoa Sh.bilioni 2 ili kufanikisha ujenzi wa soko hilo. Mwenyekiti wa Halmashauri ya...
  19. Moaz

    Sababu za Wanachi kuwa wa athirika wa Siasa za ahdai hewa na nini kifanyike?

    Tatizo la wanasiasa kurudia ahadi zilezile kila kipindi cha kampeni ni kiashiria cha mfumo wa siasa ambao haujalenga kutatua matatizo ya wananchi, bali kudhibiti mamlaka na kulinda maslahi binafsi ya viongozi. Hii ni hali inayojitokeza sana katika nchi za Dunia ya Tatu, ikiwemo Tanzania, ambapo...
  20. Lupweko

    Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
Back
Top Bottom