afya

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

    Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya Sh1.97 bilioni kwa ajili ya hospitali za Zanzibar ambao haukutekelezwa ipasavyo. Chini ya mkataba...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Bilioni 8.75 zatengwa kukamilisha Vituo vya Afya 20 nchini

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI imeeleza kuwa katika mwaka wa fedha 2023/24 imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 8.75b kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya 20 katika Halmaashauri nchini Akizungumza Bungeni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais–TAMISEMI, Festo J. Dugange amesema fedha...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wizara Afya mnajiandaaje na Umeme vijijini?

    Ni kweli sasa hivi umeme unasambazwa hadi vijijini kwa kasi. Hii inamaana kuwa hata kule vijijini kabisa kutakuwa na umeme, lakini tunapofurahia faida za umeme kule vijijini lazima pia tusikitie hasara zake. Faida za kuwa na umeme zinafahamika sana hivyo sitahangaika kuzitaja hapa kwakuwa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili kulinda na kutunza Afya yako ya Akili

    Punguza Matumizi ya Teknolojia: Unapotumia muda mwingi kwenye Mitandao ya Kijamii au Michezo ya Video (Games) inaweza kuathiri Afya ya Akili hasa vile unavyochukulia mambo au kufikiri. Jifunze kudhibiti matumizi ya Teknolojia kwa kufanya shughuli za kujenga mwili na akili. Simamia Muda Vizuri...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuwa na Mahusiano (Kuoa /Kuolewa ) na Mtu anayefanana jina na wazazi wako?

    Wala GENTAMYCINE nisizunguke sana katika hili Mimi siwezi abadan ila Majina ya Wazazi wangu nitayatumia tu kwa kuwapa Wanangu ( Watoto Wangu ) ila siyo Vinginevyo. Haya tayari nimeshachokoza Mada ( Uzi ) hivyo Karibuni Great Thinkers wa JamiiForums muweze Kutiririka na Kuserereka katika hili...
  6. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Afya: Ndizi za umeme zina usalama kwa afya?

    Kumekuwapo na uivishaji wa ndizi kwenye makontena ya umeme Dar es Salaam. Sifa ya ndizi hizi ni kwamba zina rangi nzuri, tamu ila hazina harufu sana kama ndizi za kuzalisha kienyeji. Mchakato wa uzalishaji ndiyo unanipa mashaka. Kwanza, ndizi hukatwa chane na kuchovywa kwenye maji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vituo vya afya 234 mwiba mchungu

    Miaka 2 iliyopita baada ya kuapishwa Rais Samia, TAMISEMI chini ya Bashungwa walianzisha ujenzi vya vituo vya afya na zahanati kila kijiji na pesa kupelekwa katika kila halmahsauri vikitakiwa vianze kutumika kabla ya mwezi wa 11, 2022 lakini mpaka sasa ni mwiba mchumngu. Halmashauri nyingi...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mabadiliko kwenye Juice za Azam?

    Jana Jioni baada ya iftar nikaenda kwa mangi nipate juice kidogo nikaagiza Azam embe ya chupa ya plastic. Ikabidi ni shake before use nikaifungua Nikapiga fundo moja nikaona ladha tofauti tofauti. Nikapiga fundo la pili Ile juice Ina Kama Ute Ute flani wa njano, nikachek exp date 2024 na...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  11. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwanza: Mtoto Mchanga adaiwa kupoteza maisha kwa uzembe wa Nesi, Kituo cha Afya Bulale

    Iko wazi kwamba Serikali ya Awamu ya Sita dhamira yake ni kuona wananchi wake hawapati shida, lakini cha ajabu ni kwamba Kituo cha Afya Bulale kilichopo Kata ya Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza badala ya kuwa msaada kwa Wananchi chenyewe kimegeauka kuwa kituo cha "mauaji". Ni kwamba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunapoichukulia poa Ebola hata kuiita majina yasiyojulikana ni hatari

    Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga. Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola. "Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake." Maajabu ya Mussa. Tangu lini uswahilini neno Marburg...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa unaodaiwa na Wizara ya Afya, ulioua watu 5, unaweza kuwa ni Ebola?

    Imetolewa taarifa na wizara ya Afya na Profesa Tumaini Nagu kuwa huko Bukoba vijijini, katika Kata ya Maruku na Kanyangereko, kumetokea ugonjwa usiojulikana, ambao dalili zake ni kutoka damu mfululizo, kwenye sehemu mbalimbali, ikiwemo puani, hadi Figo zinazshindwa kufanya kazi, uliosababisha...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Afya ya Wananchi ni kitu muhimu kuliko vyote. Kwanini tusitoe ruzuku kwenye mifuko hii ya bima za afya zinazosuasua?

    Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho. Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Arusha inapiga hatua kubwa kubwa sekta ya afya

    Katika miaka miwili ya uongozi wa Rasis Samia Suluhu Hassan mengi yamefanyika katika mkoa wa Arusa lakini nimefurahishwa na yaliyofanyika katika sekta ya afya. Kwa uchache mambo hayo ni pamoja na: Katika sekta ya afya, Mkoa wa Arusha umeongeza vituo vya kutolea huduma za afya kutoka 383 kutoka...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Huduma za afya vituo vya Serikali inakatisha Tamaa, viongozi wa mikoa na Wilaya hata kusimamia huduma zitolewe mnasubiri Rais?

    Nani amewahi kwenda kupata huduma kituo cha Afya kipya kilichopo Kimara? Jaribuni kwenda pale kituoni mkae morning to evining mtajionea Hali ya utoaji huduma ilivyo mbovu. Nina rafiki yangu anaishi jirani, nikifika huwa napenda Sana kufanya tathimini ya Afya Tanzania. Ningekuwa Mimi ndiye...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wamgomea Naibu Waziri wa Afya

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida kufika kwa Mkuu wa Mkoa huo ili kujieleza kwanini mradi huo haumaliziki ndani ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF, Wanandoa na Watoto 4 kiwango cha chini Tsh 816,000 cha juu Tsh. 2,220,000 kwa Mwaka

    Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
Back
Top Bottom