Hapa kichwa kinagonga, koo linakereketa, mwili unauchovu mzito ambao sijui umetokea wapi, no malaria no UTI.
Hapa sitamani kitu chochote zaidi ya kupata ahueni.
Afya inastahili uwekezaji mkubwa sana.
Kuimarisha Uwajibikaji katika Sekta ya Afya: Changamoto na Suluhisho
Afya ni haki ya msingi ya kila mwanadamu, na ni jukumu la serikali kuhakikisha kuwa kila mwananchi anapata huduma bora za afya. Hata hivyo, katika nchi nyingi za Afrika, huduma za afya zimekuwa zikikabiliwa na changamoto...
Kuhusu tetesi za uwepo wa Covid 19; Nawaomba wananchi muondoe hofu. Tunachakata taarifa tulizokusanya kutoka Hospitali/Vituo mbalimbali ndani ya wiki hii tutatoa taarifa kama kuna ongezeko la magonjwa ya mfumo wa hewa au la?
Kwa taarifa za wagonjwa waliopimwa virusi vya UVIKO-19 wiki ya tarehe...
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Serikali na kituo cha afya GAIRO, nimekwenda kupata HUDUMA majira ya saa 14:00.
Nimepokelewa vzr, toka mapokezi mpaka kwa daktari. Baada ya maelezo kwanza nimepimwa pressure.
Kisha nikaelekezwa niende MAABARA. nimechukuliwa vipimo. Jamani hili kipindi cha...
Ujumbe huu kutoka kwa Daktari anayefanya kazi shughuli zake Mkoani Kigoma.
UJUMBE HUU HAPA:
Mi naitwa Dkt. Amos Matajiri nafanya kazi Kituo cha Afya Buhingu kilichopo Mkoani Kigoma, hayo ndio mazingira yanavyokuwa kipindi cha mvua.
Nilifanikiwa kurekodi hiyo video nikiwa naenda Kituo cha Afya...
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!
Ni kweli wazuri Hawafi.
Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.
Kulikuwa na mtu mmoja anayeitwa Mwanaisha ambaye alikuwa amejiandikisha kwa bima ya afya ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanapata huduma bora za afya. Hata hivyo, aligundua kuwa bima hiyo haikuwa na ubora wa kutosha na ilikuwa na mapungufu kadhaa.
Mwanaisha alijikuta akikabiliana na...
Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022.
Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo Bungeni Dodoma ambapo ametoa pole na pongezi kwa Watumishi waliokuwa wakihudumia walioathirika na Ugonjwa huo mkoani Kagera.
Machi 16, 2023 Serikali iliripoti uwepo wa Wagonjwa 7 na...
Salaam Wakuu,
Katika maeneo mbalimbali ya huduma za kijamii kama vile stendi na hospitali ni kawaida mazingira hayo kuzungukwa na biashara mbalimbali za vyakula.
Maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam hasa msimu huu wa mvua kumekuwa na uchafu uliokithiri maeneo ya vituo vya daladala.
Hali...
Chumvi ni kiungo muhimu katika vyakula, na ina athari zake kwenye chakula tunachokula. Hapa kuna baadhi ya athari za chumvi kwenye chakula hasa chumvi ile ya kuunga wakati wa kula kama kuongeza ikiwa imepungua au kuchovya chumvi wakati wa kula kama maembe mabichi nk.
Mzunguko wa maji mwilini...
UTANGULIZI
Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
Naomba kujua tatizo ni nini ngozi ya nje ya jicho inaungua na kutoka magamba yake baada ya mda kama mtu alietembelewa na narrow bee fly ila tatizo sjajua ni nini wana forum kwa anaefahamu msaada tafadhali
Mzazi ana Jukumu muhimu sana katika Kumlea na Kumkuza Binadamu bora wa kizazi cha baadaye. Kupitia Malezi hayo, Mzazi anapaswa kumsaidia Mtoto Kukua na kuwa mwenye Afya Njema, Furaha na Anayejiamini.
Tafiti mbalimbali zinaonesha baadhi ya Watu wazima waliopitia Unyanyasaji wa aina yoyote katika...
Ifahamike kuwa vijana wamekuwa katika kusubiri kwa matumaini kwa muda mrefu tangu 2015.
Si vibaya kama Tamisemi mkatoa ratiba kamili ya ni lini mnatarajia kuachia mkeka wa waliochaguliwa kwenye ajira za walimu na kwenye sekta ya afya!
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya.
Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
Mwanaume mmoja ajulikaye kwa jina la Marco Samweli mwenye umri wa miaka 32 mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kibitilo kata ya Ilula wilayani Kwimba mkoani Mwanza amejikata uume wake na kisha kuutupa kwa kutumia kisu kwa madai kuwa amechoka kuumwa ugonjwa uliokuwa unamsumbua.
Kamanda wa polisi mkoa...
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania.
Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali.
Tunakalibisha taasisi, hospitali...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.