afya

  1. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida.. Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure. Hata kwa...
  4. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mbadilishe Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu hatoshi

    Rais kwanza nikupe pole na heshima yako na nikupongeze sana Mama kwa uwajibikaji wako katika kulisaidia Taifa hili kwa kuliponya kutoka katika mazingira magumu miaka 8 iliyopita. Hakika tunaweza kusema ya kwamba mabadiliko ni makubwa sana katika sekta zote ispokua baadhi ya Watendaji wako ndio...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Taarifa mpya ya NHIF kuhusu Toto Afya Kadi

    Ujue ukweli kuhusu Toto Afya Kadi.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor ya course yoyote ya afya?

    Habari.... Naomba nisaidiwe kutoka diploma ya biotechnology naweza kusoma bachelor yoyote inayohusiana na afya? Naomba msaada wenu
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Shangwe Ayo: Kuhusu Toto Afya Kadi, Serikali Isicheze na Afya Zetu

    Toto afya kadi au bima ya afya kwa wote; Serikali isitafute njia ya mkato kulinda afya zetu Utangulizi Katika mjadala unaoendelea nchini kuhusu hatima ya Toto Afya Kadi baada ya kauli za Serikali kusitisha huduma hiyo (iliyolewa mwezi Machi, 2023) na hivi karibuni kutangaza utaratibu mpya wa...
  8. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Baraza Madaktari Tanzania (MCT) lamgomea Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuhusu Madaktari Watarajali

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida Baraza la Madaktari Tanzania (MCT) ambalo kimsingi ndilo lenye mamlaka ya kisheria katika kusimamia taaluma ya Utabibu nchini linalalamikiwa na Wanataaluma wa tiba hasa madaktari tarajali kwa kukiuka makubaliono yaliyotokana na majadiliano ya kikao kati ya...
  9. Spinal Health

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uti wa mgongo

    Je, unafahamu nini kuhusu afya ya uti wa mgongo?
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ngassa - Tunaendelea Kuboresha Huduma za Afya, Kulinda Ustawi wa Taifa

    MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA" "... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa kwenye huduma za afya kwa ajili ya kuhakikisha Taifa Letu linakuwa imara. Tunafarijika kuona...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyuo vya afya

    Samahani wakuu anaejua ama kuelewa kuhusu sponsorship za kusoma vyou vya afya atusaidie ambao hatuwezi kujiendeleza. asanteni
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  13. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Hivi mishahara ya madaktari na watumishi wengine wa afya katika hospitali za umma inalipwa na nini?

    Swali hili linaniumiza sana kichwa. Je watumishi hawa wa sekta ya afya mishahara yao inalipwa na bima ya afya au ni kutokana na bajeti kuu ya serikali inayotokana na kodi mbalimbali? Kama mishahara yao inatokana na bima ya afya basi serikali haina budi kurekebisha, mishahara ilipwe kutokana na...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Muda wowote kutoka sasa Serikali itatangaza nafasi za kazi kwenye utumishi wa umma

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga kutangaza ajira mpya zaidi ya 47,000 ili kupunguza uhaba wa watumishi. Waziri Simbachawene ametoa taarita hiyo wakati akizungumuza na watumishi wa umma wilayani Chato...
  16. Girland

    JamiiForums Tanzania Magari ya viongozi wa Serikali na afya za wananchi wa Tanzania kipi muhimu?

    MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania. Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya: Nikiona PDF ya Zuhura haipo kwenye Instagram ya Ikulu nakuwa na 'confidence'. Mh. Rais nakushukuru sana kwa mimi kunusurika!

    nyingi Mh. Rais nikiona dereva amechelewa, naenda kwanza kwenye Instagram ya Ikulu, nikiona PDF ya Zuhura haipo basi nakuwa na confidence, namuita dereva. Lakini siku hiyo nikajisahu, nikawa nimeacha Instagram emoj ipo juu, nikaona kama kitu kimepita pale nikaogopa kuangalia nikawa naangalia...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania DC Ludewa azindua Kituo cha Afya na Zahanati

    DC LUDEWA AZINDUA KITUO CHA AFYA NA ZAHANATI Na. Damian Kunambi, Njombe. Mkuu wa wilaya ya Ludewa Victoria Mwanziva amezindua kituo cha afya Mundindi kilichogharimu kiasi cha zaidi ya sh. Mil. 500 ambapo uzinduzi wa kituo hicho uliambatana na mapokezi ya vifaa tiba vvyenye thamani ya sh. Mil...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bima ya Afya (NHIF): Wekeni uwiano mzuri kwa wanufaika wa wachangiaji wa mfuko huo

    Napenda kuishauri NHIF kuwa kama utaratibu unaruhusu watu sita (6) kwa mchangiaji basi aruhusiwe kuwaweka bila vipingamizi ilimradi wasizidi idadi hiyo inayokubalika. Mfano kama mchangiaji hana watoto wanne aruhusiwe kuwaweka wengine bila kikwazo. Kama mchangiaji hana wazazi wote au mmoja...
Back
Top Bottom