afya

  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania Kazi za afya ngazi ya jamii

    Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii. Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?). Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
  2. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wenzetu wakifanya upasuaji kwa njia za roboti sisi kwetu bado wahudumu wa afya, maarifa na utendaji viko chini (Tanzania tuitakayo)

    Na Da Vinci XV Chanzo: Forbes Wasalaam Wahenga walisema wakati ni ukuta. Sasa wakati huo ambao mimi nikihangaika kumpigia kelele mbunge wangu nilie mchagua miaka 4 iliyopita anijengee daraja walau niweze kuifikia zahanati kwa urahisi ili mimi na familia yangu tuweze kupata huduma bora za...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Habari ya mjini kwasasa ni Msoga marathon, kuunguruma Jumamosi hii Juni 29 ili kwenda kusaidia huduma ya afya ya mama na mtoto

    HABARI YA MJINI KWASASA NI MSOGA MARATHON, KUUNGURUMA JUMAMOSI HII JUNI 29 ILI KWENDA KUSAIDIA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO 💥Usajili wake unaendelea nchi nzima, Zoezi la Ugawaji Vifaa kwa ajili ya kukimbia na Msoga Marathon linaendelea 💥Jisajili sasa upate vifaa vyako ili Jumamosi tukate...
  4. S

    JamiiForums Tanzania ahadi za uwongo kuhusu ajira za kada ya afya na elimu zinazotolewa na TAMISEMI kila mwaka

    TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira. au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema. mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala. kwa sababu ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 5, 10, 15, Hadi 25 Ijayo katika Sekta ya Afya

    Utangulizi Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuboresha sekta ya afya kwa miaka kadhaa iliyopita, lakini bado kuna changamoto nyingi zinazohitaji ufumbuzi wa kibunifu ili kufikia afya bora kwa wote. Maono haya yanachora taswira ya jinsi sekta ya afya inaweza kubadilika kwa miaka 5, 10, 15, hadi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi, dirisha la vyuo vya afya limefunguliwa? Na anaweza akapata huyu?

    Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B. Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
  9. NAKUKUNDA TANZANIA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini tufanye ili kuboresha sekta ya afya miaka kumi ijayo

    Afya ndiyo mtaji wa maisha ya binaadamu,bila kuwa na afya bora huwezi kufanya shughuli za uzalishaji mali na badala yake ni kupoteza kile ulichokuwa ukikifanya kama chanzo cha mapato, sababu hiyo pia hupelekea umaskini. Kumbe basi Serikali ni watu ili nchi iwe katika hali nzuri ya kiuchumi Afya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 - 25 ijayo katika nyanja ya utawala bora, elimu na afya kwa Watanzania wote

    Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote. Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa namna yao ya pekee sana wanavyoelimisha jamii katika nyanja zote za maisha. Tatu na mwisho...
  12. DMmasi

    JamiiForums Tanzania Mazingira pia ni sehemu muhimu kwenye afya zetu

    Salamu wanajamvii Mabadiliko ya kimiundombinu au miji ni sehemu pia inayogusa mazingira yanayotuzunguka moja kwa moja. Nikigusa moja kwa moja kwenye jiji ambalo nipo na limefanya niwasilishe kero/tatizo/kadhia hii ambalo ni jiji la Dodoma kuna tatizo kubwa la utunzaji wa taka. Utaratibu wa...
  13. Matindi94

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje kupunguza unene wa uume wangu ili mwenza wangu asiumie wakati wa tendo?

    Poleni na majukumu wanajamvi, msaada wenu wa taalamu. Nifanyeje nimridhishe mchumba wangu wakati wa tendo? Maana analalamika uume wangu mnene sana, namuumiza. Msaada, nitumie mbinu gani ili asiumie? Nasubiri majibu.
  14. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Raia wenye afya bora ndio nguvu kazi wa taifa la kesho

    Watu husema afya ni mtaji kwaio ili shughuli binafsi na taifa kwa ujumla zifanyike ipasavyo yahitaji raia wenye nguvu na afya njema.Katika Sekta ya afya changamoto zimekua nyingi ambazo tungetamani zifanyiwe utatuzi ili kupunguza athari kubwa kwa miaka 5-25 ijayo. Changamoto hizo ni kama...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nilidhani Afya ya Wakinamama wajawazito ingekua kipaumbele Kwa sasa

    Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa. NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya...
  16. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  17. Last_Born

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya na Ustawi: Kujenga Jamii Iliyo na Afya Bora

    Afya ni utajiri wa kweli wa taifa lolote. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inajitahidi kuimarisha huduma za afya na ustawi wa jamii kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi wake. Kipaumbele kikuu katika eneo hili ni kupanua upatikanaji wa huduma za afya bora. Hii inajumuisha ujenzi na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa mambo ya afya ifike sehemu mseme tusile kabisa ili kuepukana na magonjwa. Mnazunguka sana.

    Hawa ndugu wa Janabi kuna wakati wanazingua balaa. Yaani kila mtu anajitokeza na kusema tusile hili wala tusile kile. Nimekuta huyu mmoja huko Twitter anadai tusile ugali, wali na kitu chochote kinachotokana na ngano. Kama vipi ifike sehemu waseme tusile kabisa kama kila kitu hakifai. Kaandika...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi mwaka 2020, bila kujali afya zao,umri na demokrasia limesababisha Vifo vya madiwani watatu mkoa wa Geita.

    Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020. Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho. Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee. Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25 ijayo katika sekta ya Afya

    Tanzania Tuitakayo: Miaka 5-25 Ijayo Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inakusudia kuwa taifa lenye ustawi mkubwa, usawa wa kijinsia, na huduma bora za afya. Ili kufanikisha malengo haya, ni muhimu kuhamasisha wanawake kushiriki kikamilifu katika mchakato wa maendeleo na...
Back
Top Bottom