afya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Jenister Mhagama akiripoti wizara ya afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo vyovyote. Waziri ametoa kauli hiyo jana Agosti 15, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni matizo ya syntax, error, bugs na update security and software brain

    Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani. Wanaokumbuka Y2K basi teknolojia ilikuwa kama CCM mpaka kufanya wajinga wakawa wajinga. Tuje kwenye mada ambazo ni...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

    Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024. Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
  8. Blender

    JamiiForums Tanzania Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  14. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  16. Yuris Dutch

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu!

    Habari wana JF, Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu. Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya. Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Neema Joshua: Uelewa mdogo chanzo cha utapia mlo kwa jamii

    Uelewa mdogo wa jamii kuhusu masuala ya lishe ikiwemo matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali ya nchi ni miongoni mwa sababu zitajwa kuchangamoto utapiamlo ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma Lishe Wizara ya Afya, Neema Joshua, Julai 23...
  19. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na Tatizo la akili

    🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
Back
Top Bottom