afya

  1. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi: Majengo ya Kituo cha Afya yaliyotelekezwa Mkuranga sio yetu, iulizwe taasisi iliyohusika

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai majengo ya Hospitali yaliyopo Kijiji cha Hoyoyo, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani yametelekezwa licha ya kukamilika kwa ujenzi na kuwa Wananchi wanalazimika kwenda umbali wa Kilometa 7 kupata huduma ya afya, ufafanuzi umetolewa. Kusoma hoja ya Mdau...
  2. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mikopo hii, Mwalimu huyu sidhani kama afya ya akili ipo sawa

    Mikopo juu ya mikopo, huyu mwalimu kazini anakuwaje na ufanisi? Cc; Mpwayungu Village
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu!

    Habari wana JF, Mwanangu ana tabia ya kujishika usoni na kulia sana wakati wa asubuhi, sasa leo hali naona imezidi mpaka mchana huu analia tu. Naomba ushauri kabla sijampeleka hospitali.
  5. JamiiForums Tanzania Nashukuru kiuno changu ni 36 tu, hivyo ni miongoni mwa wale ambao sipo hatarini kukumbwa na tatizo lolote

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuwa iwapo mwanaume mzunguko wa kiuno chake utazidi 40 (inchi) na mwanamke ukizidi 35 kitakuwa ni kiashiria cha matatizo ya kiafya. Profesa Janabi amesema kuwa iwapo viuno vitazidi inchi hizo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Neema Joshua: Uelewa mdogo chanzo cha utapia mlo kwa jamii

    Uelewa mdogo wa jamii kuhusu masuala ya lishe ikiwemo matumizi sahihi ya vyakula vinavyopatikana katika maeneo mbalimbali ya nchi ni miongoni mwa sababu zitajwa kuchangamoto utapiamlo ndani ya jamii. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma Lishe Wizara ya Afya, Neema Joshua, Julai 23...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na Tatizo la akili

    🔹Kuwa kijana huja na Matukio ya kusisimua ambayo yana Changamoto maradufu. 🔹Akili ya kijana hukua Kulingana na namna anavyoshughulikia maisha yake ya kila siku. 🔹 Tafiti Zinaeleza kuwa 75% ya Matatizo ya akili huanzia katika umri wa ujana. Kijana mmoja Kati ya vijana watano huripoti kuwa na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni bima ya afya

    Asilimia kubwa ya wananchi wana Bima ya Afya lakini hakuna manufaa wanayopata kutokana na Bima ya Afya. Kila hospitali unayoenda ukiisha elezwa na mganga ugonjwa wako na dawa unazotakiwa kutumia basi hapo lazima uingie mfukoni. Jana nilienda kupata chanjo ya homa ya ini katika hospitali...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyetoka diploma ya afya akapata digrii MUHAS?

    Hivi kuna mtu ashawah kwenda muhas kutoka diploma , mfano course ya nurse na kama alienda alienda na GPA ya ngap?? Embu waliofanikiwa kwenda walete mrejesho ili wawasaidie na wadogo zetu wasikate tamaa
  10. JamiiForums Tanzania Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  11. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia kwa waombaji wa ajira za ualimu na afya secretarieti ya ajira

    napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma 1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama 2. unapoandika barua ya maombi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ililenga nini kufuta bima ya AFYA ya watoto chini ya miaka 5?

    Salaam, Shalom!! Huwa ninajiuliza juu ya vipaumbele vya Serikali ya Awamu hii nashindwa kuelewa, hivi bima ya watoto chini ya umri wa miaka 5 kufutwa, lengo Hasa ni nini? Matibabu ya watoto chini ya umri wa miaka 5 yaligharimiwa na Serikali Kwa Kodi zetu, sasa Badala ya kufuta ununuzi wa v8...
  13. JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika

    Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Helkopta ndio "imetonesha" majeraha ya Lissu? Namshauri ashughulikie afya yake, asifanye Urais jambo la dharura kwake

    Inawezekana helkopta ilitua vibaya (kwa kujibamiza chini) ikachokonoa majeraha ya Lissu ndio maana haonekani kwenye kampeni? Namshauri ajipe muda apone vizuri, sio chini ya miaka mitatu au minne. Asichukulie urais kama jambo la dharura kwake. Hili lo nchi lipo tu, aangalie afya yake kwanza.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  16. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii Kijiji cha Mundindi - Wilaya ya Ludewa

    UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa. Kijiji cha Mundindi kimefanikiwa kuandikisha wananchi kwenye mfuko wa Bima ya afya ya Jamii (iCHF)...
  17. JamiiForums Tanzania Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  19. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa Afya ya Uzazi: Mimba za Watoto wa Kike 'Style ni ya Mende' na za Watoto wa Kiume 'Style ni ya Bong'oa' hivyo Kazi Kwenu sasa mnaowatafuta

    " Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za Kiume za Y za Mwanaume zisigusane na X za Mwanamke. Lakini pia ukitaka kupata kirahisi Mtoto wa Kike...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la interveiw kwa kada ya afya naipongeza serikali iwe hivyo pia kwa kada ya elimu

    Habari wakuu? Kwa kweli huyu mama yetu mama samia anaupiga mwingi, kwenye hili la kada ya afya kupitia utumishi na kufanyiwa usaili naipongeza serikali sana kwa sababu kupitia usaili usawa utakuepo lakini pia watapatikana watu competence pamoja na hilo usaili utaondoa dhana ya kuwa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…