afya

  1. JamiiForums Tanzania Waliomba Ajira za Afya mjiandae kwa interview

    Sina maneno mengi,vijana mjiandae ,nadhani hii itakya kwa mara ya kwanza Tamisemi kufanya hii kitu.
  2. JamiiForums Tanzania Jiandae kwa usaili kada ya afya

  3. JamiiForums Tanzania Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  4. JamiiForums Tanzania India yapiga marufuku Dawa 156 za FDC, zadaiwa kuhatarisha maisha

    India imepiga marufuku dawa 156 za mchanganyiko zilizotengenezwa kwa dozi maalum (FDC) zinazotibu homa, maumivu, mzio nk Hatua hiyo ni baada ya wasiwasi juu ya kutokuwepo kwa uhalali wa Kisayansi na hatari zinazoweza kutokea kwa Afya ya Binadamu atakayetumia dawa hizo Miongoni mwa dawa hizo ni...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Mpox

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TISHIO LA UGONJWA WA MPOX Agosti 17, 2024, Dodoma. Ndugu wananchi, Itakumbukwa kwamba, Wizara ya Afya ilitoa tadhadhari kwa umma kuhusu ugonjwa wa Mpox mnamo tarehe 3 Agosti 2024. Katika kipindi chote, Wizara imeendelea kufuatilia kwa karibu mwenendo wa ugonjwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tukubali tukatae, ila anayeiweza Wizara ya Afya ni Dr Faustine Ndugulile tu

    Mwendazake hakuwahi kumpa u-full minister wa Wizara ya afya. Na Rais Samia alimpa mawasiliano kisha akamuacha. Lakini huyu ndiye angeweza kuwa waziri bora sana kwa Wizara ya Afya Tanzania. Sasa hivi yeye ni candidate kwenye position ya Director of WHO- Africa region. Tumuombee apate. Asipopata...
  8. JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya utoe udenda wakati umelala

    Mara moja moja ukiamka asubuhi utakuta vialama vya udenda..(Kidogo) Hii ni kawaida.. Ikitokea ukilala unatoa udenda mwingi kupita kiasi huenda shida ikawa ni:- -Unazalisha mate mengi hasa wakati wa usiku -Upande unaolalia (Mara nyingi ukilalia upande wa kusho au kulia) -Misuli ya mdomo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kwanza wa Jenister Mhagama akiripoti wizara ya afya

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuhakikisha huduma za kibingwa za matibabu ya magonjwa mbalimbali zinawafikia wananchi wa hali ya chini bila ya kuwa na vikwazo vyovyote. Waziri ametoa kauli hiyo jana Agosti 15, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
  10. JamiiForums Tanzania Afya ya akili ni matizo ya syntax, error, bugs na update security and software brain

    Afya ya akili inaonekana kuwa tatzio ndio maana imekuwa tatizo kubwa duniani tena kwa nchi ambazo mfano Tanzania wakisingiziwa na CCM kuwa nchi yao ni wapole na wapenda amani. Wanaokumbuka Y2K basi teknolojia ilikuwa kama CCM mpaka kufanya wajinga wakawa wajinga. Tuje kwenye mada ambazo ni...
  11. JamiiForums Tanzania Usizuge kuwa unawahi safari kwahiyo huwezi Kuongea, ukweli ni kwamba Unajishtukia kwa maajabu ya kwa Afya na Wawili uliowatoa kwa Kushauriwa vibaya

    Haya na Mimi GENTAMYCINE sitasema sana kwa sasa kwani nami nataka kuwahi Basi la kutoka hapa Nachingwea kwenda Bonyokwa kuwahi Kikao muhimu cha Vibaka kuwa wengi mtaani Kwetu. Imeisha hiyo......!!
  12. JamiiForums Tanzania Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  13. JamiiForums Tanzania Jenista Karibu Afya:; Fanya Haya Kwa NHIF

    Ninaamini una uwezo na msikivu. Mtego wako mkubwa katika sekta ya afya uko kwenye kusimamia MTBA (NHIF). Fanya haya utakuja nishukuru baadaye:- 1. Tehama haijawekwa vizuri - ili ku-control madai, collusion kati ya watoa huduma na NHIF staff; madai yalitakiwa yawe processed 80% electronically na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini

    Serikali imeendelea kuongeza Vituo vya Afya Nchini. Vituo vya kutolea huduma za Afya 9,693 mwaka 2024. Kwa mwaka 2021 jumla ya vituo vya kutolea huduma za afya vilikuwa 8,547 ambapo Ongezeko 1,146.
  15. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Wanaochangia figo wanaishi muda mrefu

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema tafiti zinaonesha kuwa watu wanaochangia figo wanaishi maisha marefu ikilinganishwa na ambao hawachangii.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

    Kitendo cha kuvibonyeza, kuvikandamiza vichwa vya watoto wachanga ili kuzuia kichogo, bila kutumia wataalamu wa afya, hii inaweza kusababisha hitilafu ya ubongo Kwa Mtoto. Na Kwanza kitabibu hairuhusiwi kufanya kitendo kama hicho. Serikali kupitia wizara ya AFYA, toeni elimu ya kutosha, hasa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mama Ntilie na wauza chips, wauza pweza wanaharibu miundombinu ya mwendokasi. Mabwana afya wasimamie na watoe maelekezo

    Kwanini wahusika wa miondo mbinu nyingi ya mwendokasi imewaacha mama ntilie na wauza chips wanaofanya kazi pembezoni ama karibu na miundombinu hii wamwage maji machafu na mataka taka kwenye mitaro ya hizi bara bara hali inayopelekea kujaa na muda mwingine kutoa harufu mbaya sana. Bwana afya wa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Takataka zahatarisha afya ya wananchi Tegeta Chasimba

    HATARI YA MAGONJWA YA MILIPUKO TEGETA CHASIMBA Wakazi wa Tegeta Chasimba wanaomba msaada wa kuondolewa takataka ili kuepukana na hatari ya magonjwa ya milipuko. Mkandarasi wa taka hajaonekana muda mtefu huku ikilelezwa ni kwa sababu ya miundombinu na sababu nyingine nyingi. Kwa sasa hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa ngozi kuwasha Dar wizara ya afya mpo kimya kama hampo

    Hapa kwenye taasisi nayofanyia kazi karibu kila mtu analalamika ugonjwa wa kuwashwa ngozi na kujikuna as if mtu anapiga gitaa . Huko mitaani nako hali sio hali watu wanajikuna sio mchezo sana na leo nilikuwa hospitali (kitegule) Dk akaniambia kuna huo ugonjwa na watu wengi wanafika hapo wakiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuoga maziwa kunaleta afya ya ngozi?

    Habari, nimepata taarifa kuwa mtu akioga maziwa fresh kutamsaidia sana kwenye afya yake ya ngozi. Maziwa ya wanyama kama Punda, Farasi, Ngamia, Mbuzi na Ng'ombe ni tiba nzuri ya ngozi. Pia kuna sehemu nimesoma kuwa Malkia wa Misri, Cleopatra alikuwa na kawaida ya kuoga maziwa ili apate ngozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…