afya

  1. Foreverfreed

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya mhh!

    Habari zenu wadau humu. Nina rafiki yangu ambaye alinifuata akiwa na masikitiko kwa yaliyomtokea baada ya kucheza rafu katika mambo Yale ya burudani ya watu wawili wa jinsia tofauti.Baada ya rafu hizo kaenda hospitali kupima Kama yupo salama au la...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha!: Mkutano wa diaspora wa Afya ulisusiwa na Serikali sababu Lissu

    Kila mwaka kuna chama cha diaspora cha US kinaitwa Dicota DICOTA – Diaspora Council of Tanzanians in America kila mwaka kinafanya tamasha la wataalamu wa Afya kwa lengo kubwa la kusaidia utaalamu na kuongeza ushirikiano Tanzania. Kwa sasa mwenyekiti ni Dr ambaye anafanya kazi zake Yale Medical...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubora wa elimu na afya Tanzania

    Wakati tunasikia kuwa jiwe ni Rais anayetamaniwa na mataifa ya nje kwa kufanya kazi zilizotukuka. Hebu sikiliza contribution ifuatayo kuhusu standards za elimu na afya Tanzania. Mataga karibuni kwa hoja. Na ikitokea nikapata jibu lenye mantiki kuanzia saa hiyo nitaacha ku-prove umbumbumbu mlio nao.
  4. Nukta5

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akanusha ongezeko la makato kwa waajiriwa

    Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%. Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000...
  5. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya uzinduzi wa vifurushi vya bima ya afya

  6. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

    Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk. Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  8. Dr Norman

    JamiiForums Tanzania Fahamu vipimo mbalimbali vya picha vinavyotumika hospitalini kuchuguza magonjwa

    Katika tiba vipimo vya radiolojia ni muhimu sana kwenye uchunguzi wa magonjwa mbalimbali, vipimo vingine hutumika kama tiba. Hivi ni baadhi ya vipimo ambavyo hutumika hospitalini. NB : Vipimo hutofautiana ufanisi wa kuangalia viungo vya ndani. 1. KIPIMO CHA ULTRASOUND Ultrasound ni kipimo...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangala alituambia huduma za afya huwa hazitangazwi, mbona hopitali hii inatangaza huduma zake kupitia Fiesta 2019?

    Wakati Dr. Kigwangala akiwa Naibu Waziri wa Afya alituambia ni mwiko kutangaza huduma za afya kupitia vyombo vya habari. Akamfungia Dr. Mwaka kwa sababu hizo hizo za kutangaza huduma za afya ambazo ni mwiko kutangaza sio Tanzania tu bali duniani kote huwa iko hivyo. Cha kushangaza kuna...
  10. apolycaripto

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Tamko la kimaslahi, mimi ni nwanachama hai wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hivyo ni takayo yawasilisha hapa ni kwa manufaa ya ustawi wa chama changu CCM na Taifa letu kwa ujumla. Nimefatilia kwa umakini mchakato mzima wa uchaguzi wa viongozi wetu katika ngazi ya Serika za Mitaa. Hakika...
  11. Informer

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Wakuu, Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake. Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo, benefits na changamoto za bima/kampuni husika. Nawakaribisha kwa mjadala ili tuwasaidie wale wanaotafuta...
  12. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Afya: NHIF kuondoa dawa nyingi kwenye Bima ya Afya, dawa muhimu kwa jamii ya Kitanzania, kulikoni?

    Hsgskw Bajaj hahaha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kuwekeza kwenye elimu na afya

    Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources. Jisomee hapa: ==== Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wasaidie wauguzi wako kwenye hili.

    Nimepata kuwasikiliza wauguzi nikaona wana hoja nzito. Baraza lao la Uuguzi ni rahisi sana kusababisha migomo Kwa wauguzi kutokana na kufanya maamuzi yasiyowashirikisha wauguzi wenyewe. Mfano, kujenga jengo kubwa Sana la Baraza bila kuonyesha ulazima wa kuwa na jengo kubwa kama hilo...
  15. dudus

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya tuondoleeni uchafu huu kwenye mabaa

    Wadau; Kuna tabia moja ni kama umeshazoeleka hususan kwenye mabaa. Kanuni za afya zinawataka wenye mabaa na migahawa kuwa na sink au chombo cha maji safi na sabuni kwa ajili ya wateja kunawa kabla na baada ya kula au baada ya kwenda haja. Kutokana na utaratibu huo, mabaa mengi huweka ndoo za...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utendaji wa wataalamu wetu wa afya hauridhishi

    Watendaji wengi hawafuati miiko ya kitaaluma. Kuanzia lugha wanayotumia hata attitude. Kati ya mgonjwa na mgonjwa daktari anatembelewa na rafiki yake wanaanza kusogoa wakati nje wagonjwa wako kwenye foleni wengine wametoka nyumbani saa 11 alfajiri bila kifungua kinywa. Tulikwenda hospitali na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini maeneo mengine nchini hayajengi vituo vya afya (kipekee Moshi Vijijini/ Vunjo)

    Pongezi kwa Wilaya zote nchini ambazo zimekamilisha/zinaendelea kujenga vituo vipya vya afya kwa fedha za Serikali. Katika Wilaya ya Moshi Vijijini (Vunjo) kwa miaka mingi maeneo ya Kitowo, Kirararacha, Kyala, Komalyango, Nduweni, na maeneo mengine mengi ya Moshi Vijijini/Vunjo hayana vituo vya...
Back
Top Bottom