afya

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

    Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
  2. Transistor

    JamiiForums Tanzania Taa za umeme za LED huleta nafuu katika bili ila ni hatari kwa afya

    Heri ya mwaka mpya wakuu, Taa za LED zimepata umaarufu miaka ya hivi karibuni kutokana na kuwa na mwanga mkubwa huku ulaji wake wa umeme ukiwa ni kidogo. Licha ya faida hiyo kutokana na tafiti mbalimbali taa za LED,zimeonekana kuwa na madhara kiafya,licha ya wataalamu wanao unda taa hizi...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ikikosa thread mpya kwa siku afya yangu inatetereka

    Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida . Mfano mafua makali Kichwa kuuma Mwili kuchoka haraka Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk. Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf? Kuna wakati...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shirika la afya la ulimwenguni (WHO) kujadiliana iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vya Corona kuwa janga la Dunia

    Shirika la afya la ulimwenguni, WHO kwa mara nyingine linataraji kuitisha kikao cha kamati yake ya wataalamu baadae hii leo ili kujadiliana kuhusu iwapo wanaweza kutangaza mripuko wa virusi vyaCorona kama dharura ya afya duniani. Virusi hivyo tayari vimeshawaua watu zaidi ya 160 na zaidi ya...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Shule ya sekondari nzuri kwa mtoto wa kike

    Heshima mbele wakuu, Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike Ninachohitaji: 1. Iwe nzuri kitaaluma. 2. Kimazingira. 3. Kimalezi. I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Bima ya afya ni nini?

    Watanzania wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu madhumuni ya mifuko ya Bima ya Afya na jinsi inavyotenda kazi. Kukosa elimu hii huongeza malalamiko kuhusu uchangiaji na kujiunga na mifuko husika. Mimi kama mtanzania niliyebahatika kupata elimu ndogo nimewiwa kutengeneza thread hii kwa nia ya...
  7. Ngatele

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za afya zichunguze vifaa vya kuua vidudu vya maambukizi (Sterilizers) kwenye saloon za wanaume

    Hapo nyuma nilikuwa na mazoea ya kwenda saloon fulani ambayo nilikuwa nimeizoea kama ilivyo kwa watu wengi. Mara zote nilipokuwa nanyolewa mashine ya kunyolea ilikuwa ikitolewa kwenye sterilizer ambayo huwa wakati wote kitaa cha ON (Chekundu) kinaonesha kuwa ipo ON na kwa hiyo ina maanisha...
  8. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

    Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi. Shukrani!!
  9. senzoside

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

    Habari za wakati huu wanajanvi, Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F Je anaweza kusoma kozi gani ya afya? Ahsanteni
  10. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya nini cha kufanya Wizara ya Afya

    Mapendekezo ya cha kufanya Wizara ya Afya Niweke wazi tu kabla ya yote kuwa mimi kwa miaka zaidi ya 10 sasa nimekuwa nikifanya kazi kama consultant kwenye kampuni za Afya. Mwaka wa uchaguzi nitatumia muda kutoa mawazo yangu kwenye sehemu na wizara tofauti. Nianze na machache kwenye Afya Mfumo...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu; Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Najiuliza Yondan alijuaje kuwa Kagere ana bima ya afya uwanjani?

    Niko najipongeza na droo sio kwa bahati mbaya ni hela ya mhindi kalia. Kama mtu amekasirika ajitokeze ajifanye kama anajikuna Umejiuliza Yondan alijuaje jamaa Kagere kavaa bima ya afya uwanjani? Hivi unajua yule mshabiki wa Yanga alivyoingia uwanjani akadondoka Kilichoendelea upande wa Simba...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Achanwa tumbo hadi kutolewa utumbo kwa kuhoji matumizi ya Tsh. 10,000 aliyoacha asubuhi

    Benedictor Gogogo (48) mkazi wa kijiji Cha Itabagumba Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza nchini Tanzania amenusurika kifo kwa kuchanwa tumbo na kitu chenye ncha kali hadi utumbo kutoka nje baada ya kutokea ugomvi kati yake na mke wake. Akizungumza na Mwananchi kwa simu leo Alhamisi Januari 2...
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Adolf Nkenda: Maendeleo vigezo Kipato, Elimu na Afya

    December 18, 2019 Prof. Adolf Mkenda anaelezea vigezo vya maendeleo ya binadamu . NI NGUMU KUJENGA DEMOKRASIA KAMA KUNA TOFAUTI YA KIUCHUMI :prof Aldof Mkenda Kichambua taarifa ya maendeleo. Kipato: Prof Aldof Mkenda amesema tofauti ya kipato katika demokrasia inasababisha kupoteza haki ya...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

    Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya naomba mnisaidie kujajili vipimo hivyo hapo na ushauri pia

    Hiki kipimo ni cha 2017 full blood picture Na hiki cha chini ni cha 2019 Sasa naomba wataalam wa kufanya analysis ya vipimo hivi vya damu watoe ushauri kipi kiko kwenye hatar na nini kifanyike pale penye mapungufu Nawasilisha.
  19. kibokomchapaji

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri wakati wa mkutano wa mkurugenzi mkuu wa mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF)

    BW. BERNARD KONGA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAFANIKIO YA MFUKO HUO KATIKA KIPINDI CHA MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LEO DESEMBA 12, 2019* NHIF imetumia jumla ya Shilingi Bilioni 13.7 katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano kuwezesha ukarabati na ununuzi wa vifaa...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, majasusi kutoka ughaibuni wanatumia NGOs za Afya kuja kupeleleza nchi za kiafrika?

    Haya ni mambo fikirishi kutokana na experience yangu ya kuona mambo mbalimbali. Je kama watanzania tumejiandaa vipi kukabiliana na uwezekano wa hali hii? Ieleweke kuwa Afya ni eneo nyeti katika mustakabali wa nchi na wananchi. Aidha ni muhimu kujua kuwa vita baridi vinaweza kutumia mbinu...
Back
Top Bottom