afya

  1. JamiiForums Tanzania Corona ni nani?

    CORONA NI NANI? ___________________ Corona wewe ni nani? Corona umetoka wapi? Una sura gani? Mlimwengu mimi siwezi kukaa kimya juu yako. Mara ya kwanza tuliposikia jina lako kila mtu alitamani kukujua wewe ni nani?, lakini kadri zilivyosonga tukaijua rangi yako halisi tukaona unamsaidia kazi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

    Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwa wa kweli na wawazi kwenye maswala ya afya

    Dunia imekua kijiji kidogo kutokana na tekinolojia. Binadamu wanapenda ku socialise. Ni rahisi kusafiri kwenda sehemu nyingi duniani. Miaka ya 80-90 Uganda walipata dhoruba kubwa ya UKIMWI, kilicho wasaidia Waganda kupambana na ugonjwa huu ilikuwa ukweli na uwazi. Waliweka idadi ya vifo na...
  4. JamiiForums Tanzania COVID-19 : Naibu Waziri wa Afya aipongeza JamiiForums kwa elimu iliyotukuka

    Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona . Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona . Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Shirika la afya Duniani lasena chanjo ya Corona itapatikana baada ya mwaka 1 au mwaka 1.6

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la Afya duniani amesema kwamba chanjo dhidi ya virusi vya cororna itapatikana ndani ya mwaka 1 au mwaka 1 na nusu. Shirika la Afya duniani (WHO) latoa maelezo kuhuiana na chanjo ya virusi vipya vya Corona Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa. Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unajua tofauti kati ya social isolation (kujitenga kijamii) na health quarantine (kifungo cha afya)?

    Sasa tunaelewa social distancing? Nikuibie kiduchu: - Working from home instead of at the office/kufanya kazi kutokea nyumbani. Hii mambo ya kila mtu kwenda ofisini tuache. Kwanza tunaenda kusoma magazeti na kuongelea Bunju Arena! - Closing schools or switching to online classes/ kufunga...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Afisa afya JNIA: Wanaowekwa karantini huchagua Hotel wenyewe na bei ni kati ya sh 30,000 na sh 150,000

    Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa. Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yaonyesha ukomavu waweka itikadi pembeni Waziri wa afya kutoka chama cha upinzani aongoza mapambano!

    Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa. Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii. Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
  10. JamiiForums Tanzania Hospitali au Kituo cha Afya Binafsi chenye ubora Mwanza

    Naomba kujuzwa hospitali au kituo Cha afya Cha PRIVATE ili nimuanzishe kliniki mama mtarajiwa wa mwanangu. Ana mimba ya wiki 17. Nahisi nimemchelewesha kuanza kliniki ndio maana sitaki kelele za manesi wa hospitali zetu za serikali.
  11. JamiiForums Tanzania Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

    Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA; Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali. Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Handbook of COVID-19 Prevention and Treatment - Aione Mhe. Waziri wa Afya

    Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we can prevent and control the coronavirus. This thread is intended to leverage in research and...
  13. JamiiForums Tanzania Maofisa wa Afya South Sudan wakimpima afya mkwe wa Malkia Elizabeth airport

    Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege. Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
  14. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni daktari wa magonjwa ya afya ya akili jitokeze tafadhali

    Hello JF, Msinichoke na mada zangu za afya ya akili…lol Ila humu ndani kama mmeobserve wengi sana tunahitaji msaada… Mada za watu kutaka kujiua zimekua nyingi sana. Hivyo basi ningependa kutoa wito, Kwa madaktari wa afya ya akili kuja foward… Currently Dr. Wansegamila nimeona ndio...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

    Leo hii hata ukienda Uchina nchi ambayo mlipuko ulianzia, lazima wakuweke karantini siku kumi na nne haijalishi umepimwa umekutwa na virusi vya corona au hukukutwa navyo. Kitu kingine wataalamu wanasema Mtu mwenye Corona anaweza kuonyesha dalili za Corona Corona lakini ukampima mara kadhaa...
  16. JamiiForums Tanzania Mtaalam wa kutengeneza database ya shirika la afya

    Habari za leo wanajamvi, Kuna mchongo fulani hivi naifukuzia, nahitaji kujua kama kuna mtaalam yeyote (wewe au unayemfahamu) ambaye ana uzoefu wa kutengeneza electronic database ya shirika la afya k.m. chama cha madaktari, chama cha wauguzi (nk) Focus ni kujua inatengenezwaje, uzoefu na...
  17. JamiiForums Tanzania Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

    Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Tahadhari:Corona imekuwa fursa kwa matapeli ,wanajifanya wametoka Wizara ya afya wanataka kupuliza dawa ya Corona na kuiba majumbani, kuweni makini

    Habari wana Jamvi, Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19. Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha . Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima. Lakini kwa wenzetu...
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya

    Tangazo na orodha ya majina waliochaguliwa kada ya Afya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…