afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya changamoto za biashara duniani, biashara kati ya China na Afrika yaimarika na kuchochea maendeleo ya Afrika

    Kuyumba kwa biashara duniani kutokana na vita ya ushuru iliyozushwa na Rais Donald Trump wa Marekani, uhusiano wa kibiashara kati ya China na Afrika umekuwa unaendelea vizuri, na thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili imeendelea kukua kwa miaka 16 mfululizo, na mwaka jana thamani hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Mpunga chotara wa China wasaidia nchi za Afrika kuhakikisha usalama wa chakula

    Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake. Alipiga magoti na kuweka mfuko wa mpunga chotara kutoka nyumbani kwake mbele ya kaburi na kusema...
  4. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa uchumi na biashara kati ya China na Afrika wastawi

    Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika 11 ya kimataifa, na zaidi ya kampuni 4,700 kutoka China na nchi za Afrika. Katika miaka ya hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Afrika apatikana naye ni Olumba Olumba Obu

    Kristo Aliyerudi Mtakatifu Olumba Olumba Obu kaja kulikomboa bara la Afrika na kubwa zaidi Dunia Nzima Amani na upendo ndio Nguzo ya udugu wa Msalaba na Nyota Dunia tuna kila kitu ila Hatuna Upendo baina yetu viumbe yofauti ,dunia na Mazingira yanayotuzunguka Dhambi Vita Njaa Hasira...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa anakubali kukosolewa na wale anaodhani wanamchukia na kutoukubali mtandao wa Machawa unaommiliki huenda angekuwa Rais bora Afrika

    Na kama kuna BOMU KUBWA na la HATARI ambalo Rais Samia ANALIMILIKI bila ya Yeye kujua ni la kukubali KUTAWALIWA na MACHAWA wa ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi pamoja na wale alionao SERIKALINI Kwake hasa Mawaziri wake Waandamizi Watatu (nawahifadhi) ambao kutwa WANAMHARIBIA huku Yeye...
  7. JamiiForums Tanzania Simba kuipeleka timu uwanjani tar 25 ni kuidhalilisha club kubwa na bora barani Afrika dhidi ya club kubwa kisiasa Tanzania

    Hapo vip! Simba ni club kubwa na bora barani Afrika na ni ya tano sasa kwa ukubwa barani Afrika.Hivyo ni club kubwa na bora no.1 Tanzania,Afrika mashariki na kati. Ni aibu kwa club ndogo kama yanga kutumia siasa kuharibu mpira Tanzania. Nb: Tukumbuke yanga tokea Dunia kuubwa na kuanzishwa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka Ahmed Ally akiwa mtangazaji pale radio Free Afrika

    Kwa wakati ule nilikua sihifahamu hata sura yake . Jamaa kwa uwezo wake sidhani kama alistahili kuingia katika siasa za simba na yanga nilitamani kumuona Ikulu . Alinifanya nipende kusikiliza habari za magazeti na michezo asubuhi bila kumsahaua Ivona kamuntu pamoja na ben Mwanantala.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Marekani aweka wazi kwamba, alikwenda Afrika kuilenga China!

    Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa kufuata amri ya waziri wa ulinzi wa Marekani, mkutano huo uliandaliwa na Marekani na lengo kuu ni...
  10. JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  11. JamiiForums Tanzania Messi, Miami washindwa kutamba mbele ya wababe wa Afrika, Al Ahly kwenye Club World Cup

    Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel Messi na wenzake wa Inter Miami katika dimba la Hard Rock, Miami. Wakati mashabiki wa Inter Miami...
  12. JamiiForums Tanzania Ewe Afrika, ni kipi wenye akili, weledi wasio na konakona walikukosea?

    Afrika ni bara lenye utajiri mkubwa wa watu wenye akili, vipaji, na uzalendo. Lakini cha kushangaza ni kuwa mara nyingi watu hawa hawathaminiwi, badala yake wanabaguliwa, kudhulumiwa, au hata kupotezwa. Je, kosa lao ni kupenda haki, kusema ukweli, au kutotaka kujipendekeza? Tunawaona waandishi...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuunde timu ya Trustika | kuunda app itakayobadilisha biashara za mtandaoni Afrika

    Habari, Naitwa Jordan , naongoza mradi wa Trustika, platform mpya kabisa inayolenga kuleta mabadiliko makubwa katika biashara za mtandaoni barani Afrika, hasa Tanzania. Tatizo tuliloligundua: Biashara za mtandaoni zimekua kwa kasi, lakini bado kuna changamoto kubwa ya uaminifu kati ya mnunuzi...
  15. JamiiForums Tanzania Japani ndio nchi pekee wazee wanapenda kuwa nzengo kuliko afrika wawe kama watawala

    Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo. Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee wao sana kwenye maisha yao. Mungu ni saidie nipate mtoto japani
  16. JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  17. JamiiForums Tanzania Mjue Ibrahim Abdalla Akasha: Pablo Escobar wa Afrika Mashariki

    Mtu Aliyetawala Biashara ya Dawa za Kulevya... Alilelewa huko Mombasa na wazazi wa kiPakistani, akianza kama mjasiriamali halali, akiendesha kampuni ya usafirishaji Akasha Transporters, ikiingiza mizigo ndani na nje ya Kenya kupitia bandari ya Mombasa. Je, umewahi kufikiria jinsi Bandari ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nilipotazama Documentary ya Kutisha Kuhusu Afrika, Nilianza Kujiuliza Maswali Mazito

    Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye IQ ya zaidi ya 160, mwerevu sana. Maongezi yao yalihusu hatima ya ustaarabu wa dunia... na Afrika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania China ikiwa imebobea kwenye teknolojia ya uzalishaji yatoa mafunzo ya “Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu” kwa viongozi wa Afrika

    Maafisa 30 wa kilimo na wataalam wa kiufundi kutoka Nigeria, Ethiopia, Kenya, Misri, Gambia, na Cameroon hivi karibuni wamekamilisha "Semina ya Teknolojia ya Mpunga wa Kudumu kwa Nchi za Afrika mwaka 2025 ". Semina hiyo iliyoendelea kwa siku tano ambayo inahusu mafunzo ya teknolojia ya mpunga wa...
  20. JamiiForums Tanzania Kama Ningekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu chochote Tanzania kingeingia kwenye top 5 ya vyuo bora Afrika ndani ya mwaka mmoja tu

    Kama ningekuwa mkuu wa chuo kikuu chochote nchini Tanzania, chuo hicho kingeingia kwenye orodha ya Vyuo vitano (5) Bora Barani Afrika ndani ya muda mfupi sana. Nini ningefanya? Ningehakikisha kuwa chuo kinajikita katika tafiti zenye tija na zenye kutoa mchango halisi kwa jamii, taifa, na dunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…