Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
afrika
akutana
binadamu
haki
haki za binadamu
janet
kulia
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti
mwenyekiti wa tume
tume
umoja
umoja wa afrika
waziri
waziri kombo
Historia ya Joseph Philippe Lemercier Laroche (1886–1912)
Joseph Philippe Lemercier Laroche alikuwa mhandisi kutoka Haiti, anayejulikana sana kwa kuwa mtu pekee mwenye asili ya Kiafrika aliyesafiri kwenye meli ya kifahari RMS Titanic ambayo ilizama Aprili 1912.
🧑🎓 Maisha ya Awali
Joseph...
https://www.youtube.com/live/TESsdXCNBrU?si=zVojh8cRb2WhaVBx
Mkutano wa Pili wa Mabaraza ya Habari Afrika 2025 umeelezwa kuwa ni fursa ya kihistoria kwa vyombo vya habari barani Afrika kuimarisha ushirikiano wa kikanda, kukuza matumizi ya teknolojia mpya, na kushiriki kikamilifu katika...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
afrika
damu
dhana potofu za upendo
falsafa ya mapenzi
koo
kujiheshimu
kujitambua
kuoa
kuoa na kuolewa
kuolewa
mahusiano
mashariki ya kati
maumivu ya mahusiano
ndoa za mchanganyiko
tamaduni za waarabu
tamthilia za mapenzi
ubaguzi wa koo
ubaguzi wa rangi
uhusiano wa kimataifa
usawa wa kijinsia
waarabu
waarabu na waafrika
wanawake wa kiafrika
Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
afrikaafrika kusini
chama cha mapinduzi
demokrasia ya kiafrika
hadithi
haki za kiraia
jamii za asili
katiba
katiba pendekezo
katiba ya tanzania
kusini
maendeleo ya afrika
mageuzi ya kitaasisi
mapinduzi ya kiutawala
mazingira na maendeleo
mfumo wa kisheria
polepole
rais samia
serikali na wananchi
siasa za afrika
siasa za tanzania
tume ya katiba
uchambuzi wa kisiasa
uhuru wa mahakama
usawa wa kijamii
utawala wa sheria
viongozi wa afrika
vyama vya upinzani
wapinzani tanzania
watanzania
Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa kujadili masuala ya biashara, ushirikiano, usalama na uwekezaji wa kiuchumi kati ya Marekani na bara la...
Kwa wanaopitapita kwenye mitaa ya miji yetu hasa Dar, watakubaliana nami kuwa Tanzania ni mojawapo inayochezewa na kunyonywa na wachina. Walianza wahindi na sasa wanafuatia wachina. Je, sie tuna tatizo gani kama binadamu hadi kila ajaye anatunyonya na kututumia?
Ni mwaka wa 2018, ulimwengu ulizizima kwa uzinduzi wa filamu ya Black Panther, kazi ya Marvel Studios iliyoongozwa na Ryan Coogler. Kwa wengi, ilionekana kama ushindi wa uwakilishi wa Waafrika na Wamarekani Weusi kwenye sanaa ya Hollywood. Watu walifurika sana kwenye kumbi za cinema kutazama...
Hamjambo!
Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako.
Ukimaliza anza kujiandaa na routes za NHS ya nchi. Kama muda utakuwa umekuishia na majukumu yakaanza kubisha hodi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimeipata kwa Micky wa Ghana.
🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍
✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu!
🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo:
2025/26
2026/27
2027/28
📌 Iwapo timu itashinda...
SADC: SEKTA YA NISHATI IWE KICHOCHEO CHA KUIUNGANISHA AFRIKA KUJENGA UCHUMI
📌 Yasisitiza utekelezaji wa miradi ya kipaumbele ya Nishati
📌 Kapinga ataka SADC kuweka dhamira thabiti na mikakati madhubuti ya utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia
Mawaziri wanaoshughulikia masuala ya...
Rais Donald Trump wa Marekani atakutana na viongozi kutoka mataifa matano ya Afrika mjini Washington wiki ijayo, kujadiliana 'fursa za kibiashara' kwa mujibu wa Ikulu ya White House
Trump atakutana na viongozi wa Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal kwa majadiliano na chakula...
Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
Ni kilometre 14 tu kutoka Afrika kwenda Ulaya lakini hakuna aliyependrkeza wazo la kujenga daraja. Wakati tunaelewa Ulaya inapata malighafi nyingi kutoka Afrika na pia inapata wafanyakazi vijana kwa ujira mdogo.
Barani Afrika, dawa za saratani zimegundulika kuwa duni au bandia, hali inayomaanisha kuwa wagonjwa wanapewa dawa ambazo ama hazifanyi kazi au zinaweza hata kuwadhuru.
Takwimu mpya zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watu huenda wanatumia dawa ambazo hazina viambato muhimu vinavyohitajika kuzuia au...
Ni kwa sababu hakuna hata nchi moja ya kiafrika inayo-practice capitalism, na hii ni ktk cairo mpaka cape town, wote wanafwata aidha 100% communism/islam au some sort of communism/ socialism lkn hakuna anayefwata capitalism thats why, afrika iko backward kila mahali kwa maana communism iko...
Nchi za kiafrica (Kibantu)
Zinabidi kuwa na mfumo ambao unaelezea kipi tufanye na kipi sahihi na kipi cha kuzingatia.
Huwa nashangaa Sana kila kiongozi anayekuja madarakani anakuja na plan Zake.
Yaani Africa countries hatupo organized.
Ilibidi Rais akichaguliwa akute Mfumo unaomuongoza na...
Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni.
Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.